Siri za Magufuli kuwa Rais zavuja

Siri za Magufuli kuwa Rais zavuja

marryan

Senior Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
108
Reaction score
37
SIRI ZA MAGUFULI KUWA RAIS ZAVUJA.

Katika hali ambayo siyo ya kawaida siri za ndani ya ccm na watanzania kumchagua John Magufuli zimevuja na sasa zinazagaa mtaani na sio siri tena .
Katika mambo ambayo yatasababisha Magufuli kuapishwa na pia kutangazwa hapo tarehe 29 oct kuwa rais wa awamu ya tano ni yafuatayo.

Uwezo wa kujinadi, hasa baada ya kupewa mgombea mpinzani ambaye ni mdhaifu ambaye hawezi hata kujinadi kwa zaidi ya dakika tano, hali hii inamfanya Magufuli kuwa rais na siyo diri tena.

Pili, Team yake ya ushindi ina watu makini ambao ni washauri wazuri na ambayo wamekuwa wakisikilizana na kupanga mikakati mizuri ya ushindi, mikakati ambayo haijawahi kuvuja na imekuwa ikitekelezeka.

Ilani nzuri na yenye maslahi mapana kwa vijana na wananchi wote hai inayosababisha kujinadi na kujiuza kwake kuwe ni kazi rahisi mno kwa wananchi.
Nne ni adilifu na uzalendo wa hali ya juu aliouonyesha wakati akiwa kiongozi mdogo tuu katika wizara na idara mbali mbali za serikali hali inayo mpa sifa ya kuendelea kuwatumikia watanzania.

Watanzania hawapendi kiongozi mbaguzi na mdini, kitu ambacho Magufuli amekuwa si mdini wala mbaguzi, tofauti na mpinzani wake ambaye amekosa sifa hiyo na ameonesha hisia zake hadhari kwa kuwaambia watu wamchague kwa misingi ya dini yake.

Sera yake ya kuwafunga mafisadi na wala rushwa wote nchi pili kuhakikisha kuwa huduma mhimu zinawafikia wananchi imempa kura nyingi na kusababisha Watanzania kumwamini na kumchagua hapo oct 25.Amekuwa mkali sana juu ya watoa na wapokea rushwa ili kuondoa mfumo huo mbovu unaosababisha wananchi kukosa huduma mhimu na za lazima kwa kizuizi cha rushwa, kitu ambacho ni kero kubwa kwa jamii hasa wanapokuwa wanatafuta huduma mhimu za kijamii?

Kwa hali hiyo hizo ndizo siri ambazo Ccm wamekuwa wakificha Kwamda mrefu, ndiyo siri za magufuli kuapishwa na kuwa rais wa awamu ya tano.
 
marryan

Naona mmeongezewa dau na makamba ili muendelezs vioja.

naomba unigeie 071 yako nikushghulikie kenge wewe.

Lowassa ndiye rais wako
 
Last edited by a moderator:
Kwakweli acha zivuje tu lakini magufuli ndio rais wa tanzania awamu ya tano. Magufuli mzalendo, mchapa kazi, mfuatiliaji na mwadilifu.
 
Mtafute sehemu za kwenda nyie ukawa kwa kuwa rais ni MAgufuli sasa sijui mnatarajia nini baada ya oktoba 25,mwalimu alimkata na sisi tutamkata jmpili hii,hana nafasi hapa
 
Hakuna mbaguzi kama yule jamaa magufuli maana yeye akiwa mwanza kuna mambo sikumuelewa, anaongea kisukuma kinanihusu nini mimi matanzania? Pumbafu anafikiri mwanza ni ya wasukuma tu? Hafai kuwa raisi

pili huyu jamaa ni kichaa kwa nini nasema hivyo:-
1: Anaisifia ccm wakati huo anasema wananchi wanasumbuliwa sana ni nani anaye sumbua wananchi? Ni ukawa? Pumbafu akili matope
2: Anasema hakuna rais kama kikwete, huku akidai mafisad ndio waliotufikisha hapa
3: Anasema hakuna rais kama kikwete, huku akidai viwanda vimeuwawa vyote je akiulizwa swali nani kaviuwa atasema ni chadema ama cuf? Akili za pumba
4: Umeme tatizo anasema wanaofanya kazi hiyo sasa ndio wanaomhujumu wakati wanaagizwa na kikwete huku akisema hawajawa kuona raisi mzuri kama kikwete- hiyo ni akili?

Wote mnao pigia kampeni huyu jamaa akili zenu zitakuwa na mushkeli, au zina wadudu wanatakiwa wakatolewe- nyamambafu zenu hivi hamjaenda hospitali kucheck tu?
 
mzalendoalltz

Angekuwa mbaguzi ukawa si wangekuwa wamemshtaki tume au hujielewi sheria inaongea nn kuhusu kutumia lugha za kibaguzi au kidini? Refer lowassa kanisani na onyo alopewa na tume
 
Last edited by a moderator:
Nilidhani kuna jambo la maana kumbe ni hii pumba.Leo hujapata buku zako nini!?
 
Kama Magufuli ndio rais kuna haja gani ya kuwa na uchaguzi?mpira haujachezwa wewe unapanga matokeo je yakiwa tofauti utajinyonga?

Kila dalili za ushindi zilishaonekana na tunasubilia aapishwe tuu
 
HAKUNA MBAGUZI KAMA YULE JAMAA mAGUF MAANA YEYE AKIWA MWANZA KUNA MAMBO SIKUMUELEWA, ANAONGEA KISUKUMA KINANIHUSU NINI MIMI MATANZANIA? PUMBAFU ANAFIKIRI MWANZA NI YA WASUKUMA TU? HAFAI KUWA RAISI

PILI HUYU JAMAA NI KICHAA KWA NINI NASEMA HIVYO:-
1: ANAISIFIA CCM WAKATI HUO ANASEMA WANANCHI WANASUMBULIWA SANA NI NANI ANAYE SUMBUA WANANCHI? NI UKAWA? PUMBAFU AKILI MATOPE
2: ANASEMA HAKUNA RAIS KAMA KIKWETE, HUKU AKIDAI MAFISAD NDIO WALIOTUFIKISHA HAPA
3: ANASEMA HAKUNA RAIS KAMA KIKWETE, HUKU AKIDAI VIWANDA VIMEUWAWA VYOTE JE AKIULIZWA SWALI NANI KAVIUWA ATASEMA NI CHADEMA AMA CUF? AKILI ZA PUMBA
4: UMEME TATIZO ANASEMA WANAOFANYA KAZI HIYO SASA NDIO WANAOMHUJUMU WAKATI WANAAGIZWA NA KIKWETE HUKU AKISEMA HAWAJAWA KUONA RAISI MZURI KAMA KIKWETE- HIYO NI AKILI?

WOTE MNAO PIGIA KAMPENI HUYU JAMAA AKILI ZENU ZITAKUWA NA MUSHKELI, AU ZINA WADUDU WANATAKIWA WAKATOLEWE- NYAMAMBAFU ZENU HIVI HAMJAENDA HOSPITALI KUCHECK TU?
Kama ni akili matope imejaa ukawa huwezi badili ngozi ya chui ikawa ya pundamilia saizi mnakula maptapishi yenu watu mliowatuhumu na kuwachafua kwasasa mepata wapi jik yakuondoa uchafu wao? Baada ya uchaguzi mkapimwe akili.
 
HAKUNA MBAGUZI KAMA YULE JAMAA mAGUF MAANA YEYE AKIWA MWANZA KUNA MAMBO SIKUMUELEWA, ANAONGEA KISUKUMA KINANIHUSU NINI MIMI MATANZANIA? PUMBAFU ANAFIKIRI MWANZA NI YA WASUKUMA TU? HAFAI KUWA RAISI

PILI HUYU JAMAA NI KICHAA KWA NINI NASEMA HIVYO:-
1: ANAISIFIA CCM WAKATI HUO ANASEMA WANANCHI WANASUMBULIWA SANA NI NANI ANAYE SUMBUA WANANCHI? NI UKAWA? PUMBAFU AKILI MATOPE
2: ANASEMA HAKUNA RAIS KAMA KIKWETE, HUKU AKIDAI MAFISAD NDIO WALIOTUFIKISHA HAPA
3: ANASEMA HAKUNA RAIS KAMA KIKWETE, HUKU AKIDAI VIWANDA VIMEUWAWA VYOTE JE AKIULIZWA SWALI NANI KAVIUWA ATASEMA NI CHADEMA AMA CUF? AKILI ZA PUMBA
4: UMEME TATIZO ANASEMA WANAOFANYA KAZI HIYO SASA NDIO WANAOMHUJUMU WAKATI WANAAGIZWA NA KIKWETE HUKU AKISEMA HAWAJAWA KUONA RAISI MZURI KAMA KIKWETE- HIYO NI AKILI?

WOTE MNAO PIGIA KAMPENI HUYU JAMAA AKILI ZENU ZITAKUWA NA MUSHKELI, AU ZINA WADUDU WANATAKIWA WAKATOLEWE- NYAMAMBAFU ZENU HIVI HAMJAENDA HOSPITALI KUCHECK TU?
Mkuu kumbuka haikugharimu chochote kuheshimu binadamu wenzako,wewe kwa akili zako unafikiri uwezi kufatiliwa ukanaswa ukiwa kwenye keyboard/pad yako ili usaidie dola kuonyesha tarehe na mwaka Mh.Magufuli alipo pelekwa Hospitali ya Milembe, ukigehuziwa kibao utajuta kuzaliwa - BEEN WARNED.
 
Haaa naona Anguko kuu la pande zileeeee....Aiseeeeeee!!
 
Kama Magufuli ndio rais kuna haja gani ya kuwa na uchaguzi?mpira haujachezwa wewe unapanga matokeo je yakiwa tofauti utajinyonga?

elewa mantiki, uchaguzi si mpira. magufuli kafika maeneo mengi zaidi na ameitikiwa vizuri maeneo mengi zaidi ya wagombea wengine
 
Back
Top Bottom