Siri za Magufuli kuwa Rais zavuja

Siri za Magufuli kuwa Rais zavuja

Kama ni akili matope imejaa ukawa huwezi badili ngozi ya chui ikawa ya pundamilia saizi mnakula maptapishi yenu watu mliowatuhumu na kuwachafua kwasasa mepata wapi jik yakuondoa uchafu wao? Baada ya uchaguzi mkapimwe akili.

hukumbukuki kuwa alisalimia kwa lugha za makabila mengine? hukujua maana yake au umekurupuka usingizini?
 
SIRI ZA MAGUFULI KUWA RAIS ZAVUJA.

Katika hali ambayo siyo ya kawaida siri za ndani ya ccm na watanzania kumchagua John Magufuli zimevuja na sasa zinazagaa mtaani na sio siri tena .
Katika mambo ambayo yatasababisha Magufuli kuapishwa na pia kutangazwa hapo tarehe 29 oct kuwa rais wa awamu ya tano ni yafuatayo.

Uwezo wa kujinadi, hasa baada ya kupewa mgombea mpinzani ambaye ni mdhaifu ambaye hawezi hata kujinadi kwa zaidi ya dakika tano, hali hii inamfanya Magufuli kuwa rais na siyo diri tena.

Pili, Team yake ya ushindi ina watu makini ambao ni washauri wazuri na ambayo wamekuwa wakisikilizana na kupanga mikakati mizuri ya ushindi, mikakati ambayo haijawahi kuvuja na imekuwa ikitekelezeka.

Ilani nzuri na yenye maslahi mapana kwa vijana na wananchi wote hai inayosababisha kujinadi na kujiuza kwake kuwe ni kazi rahisi mno kwa wananchi.
Nne ni adilifu na uzalendo wa hali ya juu aliouonyesha wakati akiwa kiongozi mdogo tuu katika wizara na idara mbali mbali za serikali hali inayo mpa sifa ya kuendelea kuwatumikia watanzania.

Watanzania hawapendi kiongozi mbaguzi na mdini, kitu ambacho Magufuli amekuwa si mdini wala mbaguzi, tofauti na mpinzani wake ambaye amekosa sifa hiyo na ameonesha hisia zake hadhari kwa kuwaambia watu wamchague kwa misingi ya dini yake.

Sera yake ya kuwafunga mafisadi na wala rushwa wote nchi pili kuhakikisha kuwa huduma mhimu zinawafikia wananchi imempa kura nyingi na kusababisha Watanzania kumwamini na kumchagua hapo oct 25.Amekuwa mkali sana juu ya watoa na wapokea rushwa ili kuondoa mfumo huo mbovu unaosababisha wananchi kukosa huduma mhimu na za lazima kwa kizuizi cha rushwa, kitu ambacho ni kero kubwa kwa jamii hasa wanapokuwa wanatafuta huduma mhimu za kijamii?

Kwa hali hiyo hizo ndizo siri ambazo Ccm wamekuwa wakificha Kwamda mrefu, ndiyo siri za magufuli kuapishwa na kuwa rais wa awamu ya tano.

Wewe ndio mlengwa nambari moja wa Elimu, Elimu, Elimu. Toa ujinga wako.
CCM na mfumo wao ndio tatizo. Sio Lowassa.
 
Hapa ndipo wachache wanapolia na kusaga meno
 
Ata huku kijijini kwetu muhemera tumesikia hivyo hivyo.
 
Kama watanzania, na watu wenye uelewa mpana wa mambo ukweli utabaki kuitwa ukweli, Magufuli ni kiongozi mzuri na sahihi anayehitajika kwa sasa na Tanzania hii kuliko Lowassa.

Ifike mahali tuache ushabiki wa kitoto, mwenzako anatoa hoja kwa nini anadhani Mgombea A ni mzuri kuliko Mgombea B, wewe badala ya kumjibu kwa hoja unashia kutoa matusi, kejeli nk. Hakika hizi ni dalili tosha kuwa hujitambui na huyo mnaemshabikia wote hamfai kupewa uongozi na tayari mlikwisha shindwa.

Lowassa hajawahi kuwa na sifa za kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na daima hatoweza kuwa nazo milele, mwacheni mzee wa watu afanye shughuri zake binafsi za kibiashara na kuhudumuia familia yake na kula Pesheni yake haramu ya u PM basi.

Magufuli is our next president.
 
SIRI ZA MAGUFULI KUWA RAIS ZAVUJA.

Katika hali ambayo siyo ya kawaida siri za ndani ya ccm na watanzania kumchagua John Magufuli zimevuja na sasa zinazagaa mtaani na sio siri tena .
Katika mambo ambayo yatasababisha Magufuli kuapishwa na pia kutangazwa hapo tarehe 29 oct kuwa rais wa awamu ya tano ni yafuatayo.

Uwezo wa kujinadi, hasa baada ya kupewa mgombea mpinzani ambaye ni mdhaifu ambaye hawezi hata kujinadi kwa zaidi ya dakika tano, hali hii inamfanya Magufuli kuwa rais na siyo diri tena.

Pili, Team yake ya ushindi ina watu makini ambao ni washauri wazuri na ambayo wamekuwa wakisikilizana na kupanga mikakati mizuri ya ushindi, mikakati ambayo haijawahi kuvuja na imekuwa ikitekelezeka.

Ilani nzuri na yenye maslahi mapana kwa vijana na wananchi wote hai inayosababisha kujinadi na kujiuza kwake kuwe ni kazi rahisi mno kwa wananchi.
Nne ni adilifu na uzalendo wa hali ya juu aliouonyesha wakati akiwa kiongozi mdogo tuu katika wizara na idara mbali mbali za serikali hali inayo mpa sifa ya kuendelea kuwatumikia watanzania.

Watanzania hawapendi kiongozi mbaguzi na mdini, kitu ambacho Magufuli amekuwa si mdini wala mbaguzi, tofauti na mpinzani wake ambaye amekosa sifa hiyo na ameonesha hisia zake hadhari kwa kuwaambia watu wamchague kwa misingi ya dini yake.

Sera yake ya kuwafunga mafisadi na wala rushwa wote nchi pili kuhakikisha kuwa huduma mhimu zinawafikia wananchi imempa kura nyingi na kusababisha Watanzania kumwamini na kumchagua hapo oct 25.Amekuwa mkali sana juu ya watoa na wapokea rushwa ili kuondoa mfumo huo mbovu unaosababisha wananchi kukosa huduma mhimu na za lazima kwa kizuizi cha rushwa, kitu ambacho ni kero kubwa kwa jamii hasa wanapokuwa wanatafuta huduma mhimu za kijamii?

Kwa hali hiyo hizo ndizo siri ambazo Ccm wamekuwa wakificha Kwamda mrefu, ndiyo siri za magufuli kuapishwa na kuwa rais wa awamu ya tano.

ULISAHAU NA HII

<font size="4">
 
Last edited by a moderator:
elewa mantiki, uchaguzi si mpira. magufuli kafika maeneo mengi zaidi na ameitikiwa vizuri maeneo mengi zaidi ya wagombea wengine

Acheni ushabiki, hakuna mgombea ambaye anaweza kusema ana uhakika 100% atashinda hata angekuwa amepi
ta kila nyumba ya aliyejiandikisha kupiga kura na kuaidiwa atapewa kura, hakuna! Siku ya kupiga kura ni mtu mmojammoja anaingia kwenye chumba cha kupiga kura na hakuna mgombea anayekwenda kuhakikisha kama amepigiwa kura kama alivyoaidiwa, kura ni siri.

Don't count your chickens before they hatch!
 
Lowassa ni Rais wa pili kujakuweka heshima baada ya Baba wa Taifa

Yaan atakuwa Baba wa Taifa Mdogo

Yaan Baba Mdogo wa Taifa Mh.Edward Lowassa
 
Back
Top Bottom