Siri za Magufuli kuwa Rais zavuja

Siri za Magufuli kuwa Rais zavuja

Mpuuzi wewe,
mafisadi watashughulikiwaje ilihali ANAMNADI MTU kama Andrew Chenge?.
Kwenda huko mwahizaya!.
 
siri za magufuli kuwa rais zavuja.

Katika hali ambayo siyo ya kawaida siri za ndani ya ccm na watanzania kumchagua john magufuli zimevuja na sasa zinazagaa mtaani na sio siri tena .
Katika mambo ambayo yatasababisha magufuli kuapishwa na pia kutangazwa hapo tarehe 29 oct kuwa rais wa awamu ya tano ni yafuatayo.

Uwezo wa kujinadi, hasa baada ya kupewa mgombea mpinzani ambaye ni mdhaifu ambaye hawezi hata kujinadi kwa zaidi ya dakika tano, hali hii inamfanya magufuli kuwa rais na siyo diri tena.

Pili, team yake ya ushindi ina watu makini ambao ni washauri wazuri na ambayo wamekuwa wakisikilizana na kupanga mikakati mizuri ya ushindi, mikakati ambayo haijawahi kuvuja na imekuwa ikitekelezeka.

Ilani nzuri na yenye maslahi mapana kwa vijana na wananchi wote hai inayosababisha kujinadi na kujiuza kwake kuwe ni kazi rahisi mno kwa wananchi.
Nne ni adilifu na uzalendo wa hali ya juu aliouonyesha wakati akiwa kiongozi mdogo tuu katika wizara na idara mbali mbali za serikali hali inayo mpa sifa ya kuendelea kuwatumikia watanzania.

Watanzania hawapendi kiongozi mbaguzi na mdini, kitu ambacho magufuli amekuwa si mdini wala mbaguzi, tofauti na mpinzani wake ambaye amekosa sifa hiyo na ameonesha hisia zake hadhari kwa kuwaambia watu wamchague kwa misingi ya dini yake.

Sera yake ya kuwafunga mafisadi na wala rushwa wote nchi pili kuhakikisha kuwa huduma mhimu zinawafikia wananchi imempa kura nyingi na kusababisha watanzania kumwamini na kumchagua hapo oct 25.amekuwa mkali sana juu ya watoa na wapokea rushwa ili kuondoa mfumo huo mbovu unaosababisha wananchi kukosa huduma mhimu na za lazima kwa kizuizi cha rushwa, kitu ambacho ni kero kubwa kwa jamii hasa wanapokuwa wanatafuta huduma mhimu za kijamii?

Kwa hali hiyo hizo ndizo siri ambazo ccm wamekuwa wakificha kwamda mrefu, ndiyo siri za magufuli kuapishwa na kuwa rais wa awamu ya tano.

nonesense!!!!!!!!!!!!
 
Hizo siri labda zinavujia Lumumba, nyumbani kwa nape, kinana, mwigulu na huko msoga. But the rest of Tanzanian ni Lowasa tu.
 
Musipende danganya watu humu magufuli hafaii kabisaaa kua rais nimkulupukaji .pia hatuchaguwi mtu et msukuma .ukabila naulais wapinawapi kwanza soi msukuma nimsubi kutoka ngara .lowassa ndoo mais wawa TZ
 
Ile n kutimiza maandiko ya katiba kam kazi za serekalin zinatangazwa wakat tayari bafasi zishajazwa
 
Mkuu kumbuka haikugharimu chochote kuheshimu binadamu wenzako,wewe kwa akili zako unafikiri uwezi kufatiliwa ukanaswa ukiwa kwenye keyboard/pad yako ili usaidie dola kuonyesha tarehe na mwaka Mh.Magufuli alipo pelekwa Hospitali ya Milembe, ukigehuziwa kibao utajuta kuzaliwa - BEEN WARNED.
Acha kutisha watu, wasipoposema utawezazeje kufahamu wanachowaza ili ujipange ?
 
Well said kijana. Magufuli ndo raisi wa awamu ya tano

Habari zirizovuja ni kuwa hata ccm watampigia lowassa kura baada ya kuona mgombea wao ni tatizo ajui chochote zaidi ya barabara nchi inamaitaji mengi sio barabara tu kama anayofikilia yeye kesi ya samaki kashindwa,wakandalasi wanadai, nchi sio yale aliyosema masaburi kuwa kila mtu anaweza kuongoza
 
Hizi ndio zilizofichuka???
Mbona MACCM mnashikwa na wendswazimu kabla hata ya KURA kupigwa 25 Oct.2015?

Uadilifu wa Magufuli uko wapi!
Ametelekeza Mke na kudunda na vimada na kuwapatia Nyumba za serikali kwa dezo huo ndio UADILIFU?

Ameacha watoto wanaokota kuni za kupikia MBWA huo ndio UADILIFU WA JOHN POMBE MAGUFULI?

Ameliletea Taifa hasara kwa kushika Meli yenye samaki mpaka sasa tunalipa MATRIONI KWA KODI ZETU,huo ndio UADILIFU wa Magufuli?

Hata kama Magufuli angekuwa na hio chembe ndogo ya UADILIFU NA UCHAPA KAZI,Je! John Magufuli ana Ilani yake binafsi si atatumia ilani ile ile ya ccm?

Unatarajia kuna jipya ndani ya mfumo maslahi kwa wachache ulijikita ndani ya MAGAMBA CCM?

WANACHAGUA CCM NA MAGUFULI WAO NI MAZEZETA TUUUUUU!!!
 
SIRI ZA MAGUFULI KUWA RAIS ZAVUJA.

Katika hali ambayo siyo ya kawaida siri za ndani ya ccm na watanzania kumchagua John Magufuli zimevuja na sasa zinazagaa mtaani na sio siri tena .
Katika mambo ambayo yatasababisha Magufuli kuapishwa na pia kutangazwa hapo tarehe 29 oct kuwa rais wa awamu ya tano ni yafuatayo.

Uwezo wa kujinadi, hasa baada ya kupewa mgombea mpinzani ambaye ni mdhaifu ambaye hawezi hata kujinadi kwa zaidi ya dakika tano, hali hii inamfanya Magufuli kuwa rais na siyo diri tena.

Pili, Team yake ya ushindi ina watu makini ambao ni washauri wazuri na ambayo wamekuwa wakisikilizana na kupanga mikakati mizuri ya ushindi, mikakati ambayo haijawahi kuvuja na imekuwa ikitekelezeka.

Ilani nzuri na yenye maslahi mapana kwa vijana na wananchi wote hai inayosababisha kujinadi na kujiuza kwake kuwe ni kazi rahisi mno kwa wananchi.
Nne ni adilifu na uzalendo wa hali ya juu aliouonyesha wakati akiwa kiongozi mdogo tuu katika wizara na idara mbali mbali za serikali hali inayo mpa sifa ya kuendelea kuwatumikia watanzania.

Watanzania hawapendi kiongozi mbaguzi na mdini, kitu ambacho Magufuli amekuwa si mdini wala mbaguzi, tofauti na mpinzani wake ambaye amekosa sifa hiyo na ameonesha hisia zake hadhari kwa kuwaambia watu wamchague kwa misingi ya dini yake.

Sera yake ya kuwafunga mafisadi na wala rushwa wote nchi pili kuhakikisha kuwa huduma mhimu zinawafikia wananchi imempa kura nyingi na kusababisha Watanzania kumwamini na kumchagua hapo oct 25.Amekuwa mkali sana juu ya watoa na wapokea rushwa ili kuondoa mfumo huo mbovu unaosababisha wananchi kukosa huduma mhimu na za lazima kwa kizuizi cha rushwa, kitu ambacho ni kero kubwa kwa jamii hasa wanapokuwa wanatafuta huduma mhimu za kijamii?

Kwa hali hiyo hizo ndizo siri ambazo Ccm wamekuwa wakificha Kwamda mrefu, ndiyo siri za magufuli kuapishwa na kuwa rais wa awamu ya tano.
Rubbish pumbest kawape nguruwe
 
Voters behaviour inambeba sana Magufuri ..kama uliona huko nyuma wangapi walikuwa wanavaa sare ama nguo zinazoendana na CCM alafu ukaangalia leo mtaani utakubaliana na mimi kwamba hawa watu sahivi wanaongezeka sana kadiri siku zinavyoisha, maanake ni kwamba wengine waliamua kujificha mwanzo, wengine walipoteza mwelekeo na wengine hawakuwa upande wa CCM hapo kabla lakini sahivi wamerudi na wanakiri kurudi kwao ni kwa maana, wengine wameamua kuungana na CCM kuipigania Tz nchi yao, wengine wamerudi kwao CCM, wengine wamemkubali mgombea, wengine wamezikubali sera, wengine wamependa sifa bnafsi za Magufuri n.k. Hawa sasa hivi mtaani ni wengi sana na wanazidi kuongezeka, na naamini hata wavaaji wa sare za CCM sahivi wataongezeka mtaani mpaka mtashangaa kwasababu sahivi wamejiamini na wako tayari kukitetea chama chao usiku nachana, mvua ama masika ..hii ndo CCM inayokwenda kuipiga Ukawa 25/10/2015.
 
Tukutane tarehe 28 wote tutakuwa na matokeo mkononi alafu tuulizane.
 
Back
Top Bottom