Voters behaviour inambeba sana Magufuri ..kama uliona huko nyuma wangapi walikuwa wanavaa sare ama nguo zinazoendana na CCM alafu ukaangalia leo mtaani utakubaliana na mimi kwamba hawa watu sahivi wanaongezeka sana kadiri siku zinavyoisha, maanake ni kwamba wengine waliamua kujificha mwanzo, wengine walipoteza mwelekeo na wengine hawakuwa upande wa CCM hapo kabla lakini sahivi wamerudi na wanakiri kurudi kwao ni kwa maana, wengine wameamua kuungana na CCM kuipigania Tz nchi yao, wengine wamerudi kwao CCM, wengine wamemkubali mgombea, wengine wamezikubali sera, wengine wamependa sifa bnafsi za Magufuri n.k. Hawa sasa hivi mtaani ni wengi sana na wanazidi kuongezeka, na naamini hata wavaaji wa sare za CCM sahivi wataongezeka mtaani mpaka mtashangaa kwasababu sahivi wamejiamini na wako tayari kukitetea chama chao usiku nachana, mvua ama masika ..hii ndo CCM inayokwenda kuipiga Ukawa 25/10/2015.