kahama kwetu
Member
- Jan 8, 2013
- 24
- 1
Rais gani aliwahi kuingia madarakani kwenye nchi za Africa kwa kutumia pesa zake? Ni either pesa chafu ama pesa za wahisani amabazo mwisho wa siku zinaongeza madeni kwa taifa
Huu ni upuuzi wala haina maana kuchangia
Kwanza ni group halafu huyo hakuna mtu makin atakayepanga mkakati huo kwenye group ukizingatia na privacy ya group ilivyo naungana na mtu aliyechangia kuwa huyo anaejiita mataka anatafuta sifa tu
Nilitegemea pingine hata akanushe
Narudia huu ni upuuzi na sioni kama kwa critical thinker ni issue ya kujadili
Endeleeni kuzikana mkistuka cdm imepitia kati.lowassa hawezi kuingia ikulu ya tanzania
"Mtanzania wa leo hawezi kuwanunua Watanzania kabla ya yeye kwanza kununuliwa. , kama hakununuliwa kazipata wapi?, kama amezikopa atazirudishaje?. Ukimuona mtu anakimbilia Ikulu na vipesapesa hivi anatumia huyo ni wa kumuogopa kama ukoma"- J.K NYERERE
Pamoja na utajiri wake lakini Lowassa hana mapesa ya kutawanya kwa mamilioni kihivyo bali hizo pesa ni msaada toka kwa rafiki yake mkubwa Rostam wakiwa wamelenga kutanua biashara zao binafsi pindi endapo watashika madaraka huko mbele ya safari, Bashe kisiasa ni mganga njaa na ni mwajiriwa wa Rostam rafiki yake Lowassa hivyo ni lazima atumike chini chini kumpamba Lowassa na hata ukifuatilia kwa ukaribu wapambe wote wa Bashe nao hutembea barabarani wakiweweseka weweseka..."Lowassa ndie rais ajaye"
ukiangalia vizuri sms ilitoka kwa huyo matukuta inaenda kwa bashe broo vip we mgeni na smartphones??
Je ni screen munch? inaoneka ni group discussion
kajima na kidanha nadhani hamkujipa muda kusoma post zilizofuatia....Kaka wengine wetu tumesoma shule za kata enzi za mwalimu, tulifundishwa kuhoji kila inapowezekana...
Wewe simu yako huwa inadisplay jina lako na namba yako??? Labda ya kwangu kimeo....
Ila pia ukichunguza uzuri inaonekana ni group chat maana pale chini kuna "Uv Seif Mkiti tabora".... Ni wazi hiyo meseji haikutoka kwenye simu ya Matukuta au huyo Seif....
Kama huu ujumbe ni wa kweli basi Bashe atamjua kidudu mtu ni nani!!
Mwisho wa siku sijali sana maana sijawahi kupigia kura mtu wa CCM!!
lowassa ni mchafu na anatumia pesa chafu kusaka madaraka
Wamwandalia akutane na Mwenyeviti Chama nchi nzima kuanzia na Mbeya!