Siri za free mason haddharani

mpigauzi

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
275
71
Sir Andy Chande, kiongozi wa free mason anasema sifa za kujiunga ni lazima mwanachama atoe mchango wa dola 6000. Awe amepata ridhaa ya ndugu. Pia anasema hakuna kafara.

Mbali na sifa hizo anasema hakuna viongozi wa serikali!!!!!!????

Source: Habari leo.

My take.

Huyu jamaa ametumwa kuwasafisha viongozi wa serikali.
 
Back
Top Bottom