Siri yafichuka: Wabunge wanne walioteuliwa walikataa uwaziri

watanzania bdo tunashikwa akili cjui lini tutaamka aixee yan kuna vitu vya hovyoo mpk vinatia hasira.Hili suala halipo ni mbinu tu za kutaka kutuaminisha kua mkuu hana masihara kazin mpk wengine wanamuogopa huu ni uzuzu uliopitiliza
 
Wakati Watanzania wengi watafurahi kwa miaka 10, Assadsyria na genge lake watanuna kwa miaka 10
 
watanzania bdo tunashikwa akili cjui lini tutaamka aixee yan kuna vitu vya hovyoo mpk vinatia hasira.Hili suala halipo ni mbinu tu za kutaka kutuaminisha kua mkuu hana masihara kazin mpk wengine wanamuogopa huu ni uzuzu uliopitiliza
Wewe mwenyewe umeshikwa akili sasa hii aixee ni uandishi gani kama siyo uzuzu?na wewe ni wa hovyohovyo!
 
Point less kimtazamo rais heeyote au boss wa ofice yeyote kuwa mkali baada ya kuona mambo yanaharibika nisawa kazi kubwa anayo Dr John Magufuli ya kurejecha heshima ya chama chake kwa kuleta maendeleo
 
Wewe mwenyewe umeshikwa akili sasa hii aixee ni uandishi gani kama siyo uzuzu?na wewe ni wa hovyohovyo!

Ni nadra xana kunikuta nabishana na mtu mwenye homon za kike ss usichoelewa ww nin mm huo ni mtazamo wng so kma umeona haufai unapiga kmya tu kiume
 
weka picha

11988734_1310886378925777_7834176813264030048_n.jpg
images
2644Dr-Wilbroad-Slaa.jpg
ui.jpg
 
magufuli haya hakuyasema kwenye press. Leo gazeti la Zanzibar Leo limeripoti kuwa waliteuliwa wakakataa.

mytake.
who can work with magufuli? hasira,ubabe,vitisho vingi let us see

This country is full of pessimmists..............!
 
magufuli haya hakuyasema kwenye press. Leo gazeti la Zanzibar Leo limeripoti kuwa waliteuliwa wakakataa.

mytake.
who can work with magufuli? hasira,ubabe,vitisho vingi let us see
kalipe kodi kwanza wewe..nyie ndio fisadi mnajikinga na kivuli cha uhuru wa mahakama demokrasia. tingatinga ndio kiboko yenu. kwa nini uconclude kama ni ubabe wa jpm na sio wema wa watu hao kukubali hawawezi au hawastahili uteuzi huo kwa sababu ie afya maadili etc. hebu fanya heshima bana sio kuzuka tu.
 
Kiongozi katudanganya kulikuwa Na ugumu gani Kwa Mh. Magufuli kusema kuwa aliwateua ila wamekataa Mh.Kinana usiupotoshe umma
 
magufuli haya hakuyasema kwenye press. Leo gazeti la Zanzibar Leo limeripoti kuwa waliteuliwa wakakataa.

mytake.
who can work with magufuli? hasira,ubabe,vitisho vingi let us see

Sawa ashasidiria
 
Mleta mada anadhani hao wavivu, wazembe na wapiga dili wangekubali kweli kuwa katika cabinet ya Magufuli?
Hao hao kwa awamu ya Kikwete wangeenda kwa waganga ili wapate nafasi hizo.
 
magufuli haya hakuyasema kwenye press. Leo gazeti la Zanzibar Leo limeripoti kuwa waliteuliwa wakakataa.

mytake.
who can work with magufuli? Letahasira,ubabe,vitisho vingi let us see
Leta ushahidi hapa. Kipande cha gazeti husika.
 
Mwisho wa yote MTAMKUBALI NA KUMPENDA MH.RAISI.JPM.KAMA WEWE UNAJUA HUWEZI WEWE SEPA TU USISEME UMEKATAA WALA KUJISIFIA WAPO WAZALENDO WENGI TU AMBAO NI WAADILIFU NI WAAMINIFU WA KUAMINIKA NCHI HII WATAFANYA KAZI VIINI VYA UCHAFU SERIKALINI NA WAALIMU WAO WANAOWAPA MICHORO YA KUPIGA WATADHIBITIWA TU TIME WILL TELL THE WORLD
 
Back
Top Bottom