Bubu Msemaovyo
Platinum Member
- May 9, 2007
- 4,189
- 3,550
Hilo swali obama ameshalijibu, ni kuwakitu cha msingi huko liberia ni mambo ya logistics kwanza, ujenzi wa vituo vya afya na humo humo kuna wataalam wa mambo ya afya,.
Marekani ni zawadi Dunia iliyopewa na Mungu. Dunia hii bila Marekani itaangamia ...
Naomba Kufahamishwa Kuna Siri Gan Ya Marekan Ya Hawa Wanajeshi Elfu Tatu (3000) Wa Obama Aliowatuma Huko Siera Leon Na Liberia Ni Madaktar Au Ni Wapiganaji, Na Je Wameenda Na Dawa Au Na Bunduki Kupambana Na Ebola,sio Kwamba Kuna Lao Jambo?
Good comment, wakati mtu akiwa na akili iliyotulia huwaza positively wengine hapo wametafakari negatively. Huu uduni wa fikra utaisheje jamani.

mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh nina mashakaMarekani ni zawadi Dunia iliyopewa na Mungu. Dunia hii bila Marekani itaangamia ...
Naomba Kufahamishwa Kuna Siri Gan Ya Marekan Ya Hawa Wanajeshi Elfu Tatu (3000) Wa Obama Aliowatuma Huko Siera Leon Na Liberia Ni Madaktar Au Ni Wapiganaji, Na Je Wameenda Na Dawa Au Na Bunduki Kupambana Na Ebola,sio Kwamba Kuna Lao Jambo?
Kumtoa daktari marekani na mafundi ujenzi kwenda kurisk maisha yao huko ni gharama kubwa sana sio rahisi kuwapata, lakini jeshi ambalo limesheheni taaluma mbalimbali ni rahisi na sio gharama sana, kule jeshini ni kupangiwa kazi tu (kuamrishwa) hakuna mambo ya kuelewana bei
Nenda Kasome Historia Ya Liberia Na Black America Na Utumwa Kwa Ujumla Utapata Jambo.
mawazo mgando
Mkuu mimi ni mmarekani.
Je! Una dada wa karibu ili unipongeze na Taifa langu?
Utanzania nimeuweka kushoto.
Unajua sisi waafrika ni tabu sana!! balaa likitokea tunalialia tu hata waafrika kwa wafrika hatusaidiani, akija marekani tunaanza theory za ajabu ajabu, na marekani huwezi kumkwepa kwani ndio baba wa dunia hii!! mfano mzuri ule mzozo wa C.A.R, watu wameuana wee, viongozi wa afrika wamekaa tu hadi ufaransa ndio anaingilia na kusaidia kidogo hali, huku mnaibuka ohoo wazungu wanatuingilia mambo yetu!! watu wa ajabu sana.Sasa mheshimiwa muanzisha huu uzi, unafikiri hapa jamvini kuna mtu anaweza kuwa na jibu? Kila mtu atasema na lake angalau mwenyewe Obama ameshasema ni kwanini anapeleka wale wanajeshi kule west Africa.
Wanao amini kwa Marekani imekataa kupeleka ground troops Iraq lakini inapeleka wanajeshi kupambana na Ebola Siera leon hiki ni kihekesh8o cha mwaka,
Wajinga ndio waliwao.Mimi adhani iko namna,lakini TIME WILL TELL. Maana sisi Waaafirika tumekuwa kama Majongoo,Hatuoni twendako mpaka tugonge ukuta.
We need to have a critical thinking ang fore sight.
Hivi unadhani hawa Majeshi hawawezi kupatwa na ebola?
Kwa nini asitume timu ya madaktari na washauri wa kiafya?
Kwa nini asipeleke zana za kitabibu na vifaa?
Wanajeshi 3000 ni wengi mno wanaweza hata kuipindua nchi na kuikalia kimabavu au kutengeneza boko haramu wengine.
Kwani Wamarekani kazi yao duniani ni kutengeneza resistant groups katika kila nchi na kuigawaia silaha na information za kukoleza propaganda .ili kuandaa mazingira ya vita na yeye auze silaha.
Vita vyote duniani vina tengenezwa kwa uchochezi nahatimae wao huuza silaha .
Hata Alshabab hupokea silaha kutoka kwao.
Wamarekani ni kama NGE (SCORPION) Hutafuna nyuma na mbele
Wake up Africans
Blind,
Pipets,
Lack of vision and mision