Siri Ya Wanajeshi Wa Obama

Siri Ya Wanajeshi Wa Obama

Fungomali

Member
Joined
Jul 21, 2014
Posts
27
Reaction score
4
Naomba Kufahamishwa Kuna Siri Gan Ya Marekan Ya Hawa Wanajeshi Elfu Tatu (3000) Wa Obama Aliowatuma Huko Siera Leon Na Liberia Ni Madaktar Au Ni Wapiganaji, Na Je Wameenda Na Dawa Au Na Bunduki Kupambana Na Ebola,sio Kwamba Kuna Lao Jambo?
 
Hilo swali obama ameshalijibu, ni kuwa kitu cha msingi huko liberia ni mambo ya logistics kwanza, ujenzi wa vituo vya afya na humo humo kuna wataalam wa mambo ya afya,.
 
Mnapenda siri aka conspirancy theory nyie, hadi mnatia huruma
 
Naomba Kufahamishwa Kuna Siri Gan Ya Marekan Ya Hawa Wanajeshi Elfu Tatu (3000) Wa Obama Aliowatuma Huko Siera Leon Na Liberia Ni Madaktar Au Ni Wapiganaji, Na Je Wameenda Na Dawa Au Na Bunduki Kupambana Na Ebola,sio Kwamba Kuna Lao Jambo?

Wametumwa kwenda kuhakikisha mgonjwa yyt wa Ebola ANAFIA HUKOHUKO. Na Asitoke nje ya nchi.

Huyo Mjaluo Obama hajatuma msaada ili wagonjwa wanufaike!
Hilo sahau.
Wenye Kutaka kutoa msaada sehemu zenye Miripuko ya Maradhi HATUMI WANAJESHI! Huwa anatuma MADAKTARI NA MADAWA.

Mjaluo MUNGU AMLAANI.
 
Marekani ameombwa kwenda kutoa msaada na nchi lengwa baada ya mgonjwa wao aliyepekwa Antilata kupona na kurejea maisha yake ya kawaida.
Mara nyingi dharura kama milipuko, mafuriko, wanatumwa wanajeshi for rescue. pia huwezi jua adui wa marekani anaweza kuwavizia so inabidi wajihami kwa silaha nzito nzito. nadhani uliona video ya kumzabua late Godane huko Somalia?
 
Naomba Kufahamishwa Kuna Siri Gan Ya Marekan Ya Hawa Wanajeshi Elfu Tatu (3000) Wa Obama Aliowatuma Huko Siera Leon Na Liberia Ni Madaktar Au Ni Wapiganaji, Na Je Wameenda Na Dawa Au Na Bunduki Kupambana Na Ebola,sio Kwamba Kuna Lao Jambo?

Wasipotoa msaada mnalalama, wakitoa msaada pia mwalalama. Msaidieweje?
 
Mm Nilichojiuliza Ndo Nikaleta Huu Uz Ni Kwann Atumie Wanajesh,na Sio Madaktar hv Wanaosema Wanaenda Kujenga Hosptal Kwan Ebola Imebomoa Hosptal Na Zahanat?
 
Nyie hadi issue za ndoa Watu wa marekani wanasaidia acheni obama akatatue tatizo la ebola west africa.
 
Wanao amini kwa Marekani imekataa kupeleka ground troops Iraq lakini inapeleka wanajeshi kupambana na Ebola Siera leon hiki ni kihekesho cha mwaka,
Wajinga ndio waliwao.Mimi adhani iko namna,lakini TIME WILL TELL. Maana sisi Waaafirika tumekuwa kama Majongoo,Hatuoni twendako mpaka tugonge ukuta.
We need to have a critical thinking ang fore sight.
Hivi unadhani hawa Majeshi hawawezi kupatwa na ebola?
Kwa nini asitume timu ya madaktari na washauri wa kiafya?
Kwa nini asipeleke zana za kitabibu na vifaa?
Wanajeshi 3000 ni wengi mno wanaweza hata kuipindua nchi na kuikalia kimabavu au kutengeneza boko haramu wengine.
Kwani Wamarekani kazi yao duniani ni kutengeneza resistant groups katika kila nchi na kuigawaia silaha na information za kukoleza propaganda .ili kuandaa mazingira ya vita na yeye auze silaha.
Vita vyote duniani vina tengenezwa kwa uchochezi nahatimae wao huuza silaha .
Hata Alshabab hupokea silaha kutoka kwao.
Wamarekani ni kama NGE (SCORPION) Hutafuna nyuma na mbele
Wake up Africans
Blind,
Pipets,
Lack of vision and mision
 
Sasa mheshimiwa muanzisha huu uzi, unafikiri hapa jamvini kuna mtu anaweza kuwa na jibu? Kila mtu atasema na lake angalau mwenyewe Obama ameshasema ni kwanini anapeleka wale wanajeshi kule west Africa.
 
Back
Top Bottom