VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,006
Mukubwa sitetei, lakini nimeambiwa wafanyakazi wengi wa BOT wamekuwa seconded sehemu mbalimbali wakiretain uajiri wao endapo watarudi baada ya kutumikia hizo sehemu nyingine. Ni utaratibu wa Central banks specificaly kama ilivyo "sabbatical leave" kwa vyuo vikuu. Mfanyakazi huyo anaweza kuondolewa jina lake endapo ataamua yeye kuopt kuhamia moja kwa moja kwenye hiyo institution nyingine.
Utaratibu huu ni tofauti na taratibu za Utumishi wa Umma tunazozifahamu na mishahara yao inabaki kama ilivyo kwa ajili ya mafao ya kustaafu na siyo kwamba wanapewa hiyo mishahara kila mwezi ilhali huko walipo nako wanalipwa, au kuna wafanyakazi hewa kama inavotafsiriwa sasa mitaani. Ingekuwa hivyo ni kesi ya jinai na Rais asingesita kutumbua jipu.
Kwa kuzingatia hayo, ninachoona ni kwamba mkuu anataka utaratibu huo ubadilike kwani Benki Kuu yetu siyo "closed shop" au too special kuwa na taratibu tofauti kabisa na utumishi wa umma.
Kama ni hivyo mbona amewafukuza wawezeshaji wengine wa kisiasa wa Kikwete kama Dau?Jana,Rais alikuwa mpole alipotembelea na kujionea madudu BOT. Kikubwa ni wafanyakazi hewa. Zilipofanyika ziara za kushtukiza TRA,Bandarini na Muhimbili wapo waliokwenda na maji. Waliwajibishwa. Gavana Ndulu amepewa nafasi aondoe madudu yake BOT.
Jana,hakuna hata mmoja aliyewajibishwa BOT kwa madudu ya pale. Unajua kwanini? Gavana wa BOT,Prof. Benno Ndulu,kama alivyo Rais,ni 'watoto wa kisiasa' wa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa. Ni wamoja. Ni ndugu. Hawana muda wala sababu ya kuumbuana au kutumbuana.
Ana heri Prof. Ndulu ambaye si TeamLowassa. Angekiona cha mtemakuni jana! Akachinje kuku,tena wa kienyeji.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Kwa sisi tuliomuona akiongea hakika inachekesha kusema kuwa aliongea kwa upole
Mwigulu Nchemba, Yule mtoto wa Mgimwa na wengineoMukubwa sitetei, lakini nimeambiwa wafanyakazi wengi wa BOT wamekuwa seconded sehemu mbalimbali wakiretain uajiri wao endapo watarudi baada ya kutumikia hizo sehemu nyingine. Ni utaratibu wa Central banks specificaly kama ilivyo "sabbatical leave" kwa vyuo vikuu. Mfanyakazi huyo anaweza kuondolewa jina lake endapo ataamua yeye kuopt kuhamia moja kwa moja kwenye hiyo institution nyingine.
Utaratibu huu ni tofauti na taratibu za Utumishi wa Umma tunazozifahamu na mishahara yao inabaki kama ilivyo kwa ajili ya mafao ya kustaafu na siyo kwamba wanapewa hiyo mishahara kila mwezi ilhali huko walipo nako wanalipwa, au kuna wafanyakazi hewa kama inavotafsiriwa sasa mitaani. Ingekuwa hivyo ni kesi ya jinai na Rais asingesita kutumbua jipu.
Kwa kuzingatia hayo, ninachoona ni kwamba mkuu anataka utaratibu huo ubadilike kwani Benki Kuu yetu siyo "closed shop" au too special kuwa na taratibu tofauti kabisa na utumishi wa umma.
Acha kutuamsha tumelala..au unataka kusema "tembo ameshaanza kuringa"Husali pamoja Jumuiya