Siri ya u-genius wa Le Mutuz

Status
Not open for further replies.
Huyo mheshimiwa ndo huyu kwenye hili gazeti au wanafanana?
1469095327469.jpg
 
mambo haya yanachanganya sana. kuna daktari mmoja aliwahi kuniambia ukitaka kujua kuwa una maradhi ya presha au sukari tazama kiganja au unyayo wako utaona madoti doti mengi.. we unasema le mutuzi ana akili sana:confused::confused::confused::confused::confused::confused:!!!!




huyu wa leo katuletea ramli yake
 
Huyu paul nae aliambiwa akivaa hivyo anapendeza mno,si asilimu sasa
 
Amini usiamini siri ya mafanikio ya le akili kubwazz imejulikana leo baada ya kupost picha kiwa ze dodomaz katika harakati za kumkabidhiz chamaz mr pombe
Ni kidoti kilichopo unyayoni ambacho wataalamu wa elimu nyota wanakuambia ni alama ya magenius yaani akili kubwaaz
Hali hiyo iliwafanya ma fans wa ze king of sosho midia kuuliza miguu vepeeee??yaani walikuwa wa me decode siri flani amazing.
Cheeers

View attachment 368296
Je ni tangazo la biashara la hiyo Hoteli ya Shabiby?
 
Genius hajisifii ila ##### lazima ajisifie.... Mtu anapohisi sio muhimu tena huwa anakuwa na njaa sana apate kuonekana kuwa muhim na ndio mana kuna vitu Huyu baba akifanya tunamwona insane kumbe anacrave the need to be important... Sometimes back nliona ana piga picha na matajiri maarufu akidhani kapata super friends lakini cha ajabu hata moja wa hawa super friends sikuwaona kwenye msiba uliompata hivi karibuni.. Akipata msaada wa mental psychologist nadhani itakuwa faida kwake na watz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom