Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,552
- 31,599
Itabidi hawa wamama watengeneza Chang'aa, Piwa, Ulanzi na Wanzuki waanze kulinda brand.
Wasitoe siri...😹
Wasitoe siri...😹
DuuhHivi unajua kuwa viwanda vyote vya Coca-Cola duniani (ikiwemo hapa kwetu Tanzania) havijui fomula halisi ya kinywaji hicho? Hapa ndipo akili kubwa inapopiga pesa duniani kote kupitia mbinu hizi:
Viungo vyote vya siri vinachanganywa na kupikwa Marekani pekee ili kutengeneza kioevu kizito (concentrate). Viwanda vya ndani vinapokea dumu hilo likiwa limefungwa; kazi yao ni kuongeza maji, sukari, na gesi tu. Hawajui kilichomo ndani!
Karatasi yenye fomula ya cocacola imefungiwa kwenye chumba cha teknolojia ya juu chini ya ardhi kule Atlanta. Ni viongozi wawili tu wa kampuni wanaoijua, na ni marufuku kusafiri kwenye ndege moja isije kutokea ajali siri ikapotea.
Walikataa kuisajili serikalini kama hakimiliki (patent). Sababu? Sheria inataka ukiandikisha hakimiliki, baada ya miaka 20 lazima uweke siri wazi ili kila mtu aige. Coca-Cola waligoma ili kuzuia mtu mwingine yeyote kupika kinywaji chao.
👇
Kama Coca-Cola wanalinda siri ya maji na sukari kwa miaka 140 kwa ulinzi mkali hivi, inakuwaje wewe unavujisha siri za familia, mipango yako ya maendeleo, au michongo ya hela kwa kila mtu vijiweni na kwenye magroup ya WhatsApp?
Usivujishe fomula ya maisha yako kabla hata haijaanza kufanya kazi! 😁
Watu wa namna iyo Wapo ni waongeaji sana yaani mtu anakuelezea shughuli anayoifanya mpaka anapoishi wakati hata hujamuuliza na wako comfortable kabisa hawajui kama ni hatari.Unakutana na mtu from nowhere tu anakuelezea hela aliyoipata kwenye shughuli zake siku io na hela anayopataga kila siku!!
Asante.Hivi unajua kuwa viwanda vyote vya Coca-Cola duniani (ikiwemo hapa kwetu Tanzania) havijui fomula halisi ya kinywaji hicho? Hapa ndipo akili kubwa inapopiga pesa duniani kote kupitia mbinu hizi:
Viungo vyote vya siri vinachanganywa na kupikwa Marekani pekee ili kutengeneza kioevu kizito (concentrate). Viwanda vya ndani vinapokea dumu hilo likiwa limefungwa; kazi yao ni kuongeza maji, sukari, na gesi tu. Hawajui kilichomo ndani!
Karatasi yenye fomula ya cocacola imefungiwa kwenye chumba cha teknolojia ya juu chini ya ardhi kule Atlanta. Ni viongozi wawili tu wa kampuni wanaoijua, na ni marufuku kusafiri kwenye ndege moja isije kutokea ajali siri ikapotea.
Walikataa kuisajili serikalini kama hakimiliki (patent). Sababu? Sheria inataka ukiandikisha hakimiliki, baada ya miaka 20 lazima uweke siri wazi ili kila mtu aige. Coca-Cola waligoma ili kuzuia mtu mwingine yeyote kupika kinywaji chao.
👇
Kama Coca-Cola wanalinda siri ya maji na sukari kwa miaka 140 kwa ulinzi mkali hivi, inakuwaje wewe unavujisha siri za familia, mipango yako ya maendeleo, au michongo ya hela kwa kila mtu vijiweni na kwenye magroup ya WhatsApp?
Usivujishe fomula ya maisha yako kabla hata haijaanza kufanya kazi! 😁
Binafsi hua nawashangaa sana kimoyomoyoWatu wa namna iyo Wapo ni waongeaji sana yaani mtu anakuelezea shughuli anayoifanya mpaka anapoishi wakati hata hujamuuliza na wako comfortable kabisa hawajui kama ni hatari.