Siri ya Mwenge wa Uhuru

majanga juu ya majanga, unapolala mwenge unapata ndoo kama kumi za kondom,je wasiotumia mpira ni wangapi?
 
Mwenge unakwenda sambamba na uenezaji wa HIV.!!
 
Nilifundishwa kazi za mwenge ni kulika maadui wetu wakubwa kama ujinga, maradhi na rushwa sasa nashanga vyote vinazidi kukua inamaana mwenge umeshindwa kuvimulika mika yote 51? kama umeshindwa ni bora ukawekwe makumbusho tutauenzi kwa kushindwa kwake kufanya kazi iliyo kusudiwa.
 
mimi niliwahi kumuuliza baba nikiwa mdgo ya maana ya mwenge na faida zake,, nikaambulia kofi kali la mdomo na kuniambia unataka tufungwe!! nikashangaa tufungwe??!!!
 
hata mi hua sipati majibu kuhusu huu mwenge, kodi zetu zinatumika kuuzungusha nchi nzima bila faida yoyote. hu ni uchawi
 
Hongera kk kwa hoja yako nzur kiukweli hata mm nimekuwa na maswali mengi niliyokuwa nikijiuliza juu ya umuhimu wa huhu mwenge lakini sijapata jibu sahihi.Kama umuhimu wake nikuzindua miradi ya maendeleo bado haitoshi kuonekana kuwa unaumuhimu.kihistoria nchi nyingine duniani iliyowahi kuwa na kitu mwenge ni german but wenzetu walishaa chana na huu utumwa wa kuambudu kitu kisicho na manufaa achia mbali kwa wananchi wake hata taifa kwa ujumla. Hiv jama kwanini hiki kitu kisiwekwe makumbusho kiwe kama kumbukumbu ili kisiendelee kutafuna bure fedha za walipa kodi.
 

Kitu hakiwezi kushindwa ukakienzi mkuu, zaidi zaidi utakidistroy ili usikione klkukumbushe machungu
 
mimi niliwahi kumuuliza baba nikiwa mdgo ya maana ya mwenge na faida zake,, nikaambulia kofi kali la mdomo na kuniambia unataka tufungwe!! nikashangaa tufungwe??!!!

Kama kweli huyo babako hafai
 
Chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho, mwisho wake ndo waja sasa kwani waTz wengi tunazidi kujitambua na kukataa vitu visivyokuwa na faida kama hivi
 
Kifupi serikali zote ni chawi serikali ya marekani unaabudu vichwa vya mbuzi pale jengo yai kuna matambiko nakila rahisi lazima ayafanye itakuwa serikali ombaomba!
 

Umenena mkuu, ni Gharama sana na bajet yake hivi huwa inapita chini ya wizara gani utamaduni? Au ni zile wanazochangishwaga wafanyakazi wa Gvt na wanafunzi
 
wachangiaje acheni ushabiki wa vyama ongeeni fact mkiwa kama GT. kama huji kitu ni afadhali kuuliza ufahamishwe. mwenge kila mwaka azima uzunguk mikoa yote na wilaya zotebia kubagua. sasa iweje useme lazima upite rombo utambikiwe? wewe umeshaenda wilaya zingine ukaona wanafanyaje. Fanya uchunguzi sio kuleta ushabiki wa vyama vya siasa. Kama hujui kaa kimya.
 

Mkuu shaka ondoa!
Sie hatuna lazima ya kuushika bt yupo mwenye nguvu,jemedari wa vita asiyeshidwa!tunamlilia kila siku/tunamuomba ndo anafanya kazi yake ndo maana mambo yanazidi kuharibika kila kukicha!
...ile ni miungu/mizimu watu wanaiabudu bila kujua!
Mungu wetu na ikajulikane km ww ndie Mungu
 
Kitu hakiwezi kushindwa ukakienzi mkuu, zaidi zaidi utakidistroy ili usikione klkukumbushe machungu

Nakubaliana na wewe mkuu lakini pia tunapo sema historia haimaanishi mazuri tu hata mabaya ni sehemu ya historia mkuu na jua nawewe katika maisha yako kwa ujmla kuna mambo mazuri mengi unayyakumbuka na mambaya pia yanaweza kuwepo mkuu, lakini kwa ujumla naunga mkono kkuuwa mwenge ikiwezekana uteketezwe mazima kwani ukiacha kushindwa kufikia malengo yake pia unatumia gharama kubwa sana katika kuukimbiza. Wewe fikiria mwenge unaenda wilaya 1 kwa milioni zaidi ya 600 halafu unazindua mradi wa milioni80 na unakuta miradi mingine tayari imeanza kuharibika si ukichaa hou mkuu?
 
mimi nawashangaa watanzani mnatamani kuua kila kilicho chenu sijui mtabaki na nini kinachotuunganisha kama TAIFA

MWENGE mnataka hata kesho itangazwe mbio za mwenge zimepigwa stooop for good

MCHAKAMCHAKA SHULENI mmesha futa na kutokomeza kabisaa!

MUUNGANO ndio huo mnapiga kelele usiku kucha mnatamani uvunjike hata leo jioni!

JKT mnataka waende vijana wakujitolea na wasomi wasiguswe.
Mtaua kila kitu chenu mwisho mbaki kama TAIFA lisilo na identity yake.mwisho mtataka na shule mzifute sijui mtabaki na nini. CHANZO CHA UMASIKINI WETU NI KUTOJITUMA KAZINI NA MATUMIZI MABAYA YA MALI.Watanzania kila mtu anataka ku win maisha hata bila kufanyakazi! Akipata kazi atakunywa pombe 24 hours seven days a week.sasa mtu akikuuliza huo mwenge wewe umewahi kuchangia hata cent tano? jitume, fanyakazi,acha kulalamikia vitu ambavyo siyo sababu ya umasikini wa kipato.
 

Kama hujui kitu ni bora kunyamaza kuliko kutuletea imaginative story. Msingi wa story ni intuitive nature ya wachaga ambao wamebobea katika mambo ya imani yaani intuition. Let it be true kuwa mwenge una uhusiano na ushirikina, mbona hata hizo dini zote mnazoziamini ni full ushirikina? Acheni kudanganya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…