Madago
Senior Member
- Feb 7, 2009
- 117
- 10
Tamthilia imetengenezwa vizuri, inaeleweka kwa ufasaha, ina flow kwa mpango mzuri, na inatia hamasa kuiagalia. Labda kwa wale wanaoona tatizo la kuiangalia na watoto je haina age-restriction? Kuna weza wekwa alama ya PG-parental guidance kama kuna mahala panahitaji, kama mnataka kujitofautisha na hao mnao waita bongowood- ambao naona wanatoa burudani kwa viwango vyao ndio maana ni "maarufu sana" kwa watanzania wengine--tukiweza tafiti chambua kwanini wanapendwa pengine tutaondoa mtazamo 'hasi' juu yao na kuwakubali 'wao' kama 'wao'.
Na hili la swahiliwood vs bongowood' , bongomovie' ndio kitu gani?
Na hili la swahiliwood vs bongowood' , bongomovie' ndio kitu gani?