huyu fid q nahis hakuna kuna mtu wa kumpiku katika hii field ya hiphop niliisikiliza hii nyimbo ya siri ya mchezo ila leo nimeisikiliza tena na leo nimeielewa tofauti katika mjengo wake wa taswira maana kila nkisikiliza napata maana moja mpya "tanzania dem wa mtungo wanamuita cha wote anakimbia hangover kwa kukata mtungi saa zote"
"mkubwa anasema atasolve matatizo ya nchi yake gari bovu halisukumwi kwa kukaa ndani yake"hakika fid anaweza kuimba kwa punch namaanisha mstar mmoja wa fid unaweza kutungia topik
mshkaji yupo level zake mwenyewe unaweza ukiiskiliza song mpaka mwisho ila ukajikuta hauilewi mpaka uirydie kama mara kadhaa
nilifurahi ule mstari kuusaka ukweli ni sawa kumenya kitunguu kila ganda litakutoq mchozi na utabaki mqcho juu