Shwari kaka mshana, kesho sitoweza ntaenda next weekend.asante kwa taarifaHakuna masharti magumu unaweza kwenda kesho asubuhi kuna kipindi cha meditation
Imagine aliyekukwaza alikuwa kalala usingizi wake mnono wewe uko macho ukijitesa na mawazo na fikra za mipango mibaya yenye madhara ya kulipa kisasiAsante sana. Leo umenisaidia siku yangu itakuwa nzuri. Kuna mtu alinikwaza sana, niko macho toka saa 9 nikiwaza nimfanye nini ili moyo wangu ufarijike, maamuzi yalikuwa si mazuri. Asante sana endelea kuelimisha mambo kama haya yanayojenga roho. Ubarikiwe sana
Huo ni ukweli usiopingika ukiwa na hasira unatumia muda mwingi kuwaza mabaya, pia hasira zinakutoa ktk mudi kabisa na kufanya ushindwe kufanya mambo yako ya kawaida,Imagine aliyekukwaza alikuwa kalala usingizi wake mnono wewe uko macho ukijitesa na mawazo na fikra za mipango mibaya yenye madhara ya kulipa kisasi
Unajua kisasi kina tabia moja ya kuzalisha na kukuza roho za visasi... ukisamehe ni sawa na kufanya abortion hakuna kitakachozaliwa na hivyo kumaliza tatizo
Kanuni moja ya kusamehe ni kwamba yule aliyekukosea ndio anabaki na roho ya kuhukumiwa na hata kuna wakati hudhurika kwa njia tofauti lakini chanzo kikiwa ni yale aliyokutendea nawe ukasamehe. ..msamaha wa kweli una nguvu ya ajabu mno
mshana nakukubari sana nisipokuona humu huwa nakufata jukwaa la picha lkn mambo yako mkuu yanatisha sana
Mwambie Mshana amroge huyo mtu aliekukwaza ageuke bataAsante sana. Leo umenisaidia siku yangu itakuwa nzuri. Kuna mtu alinikwaza sana, niko macho toka saa 9 nikiwaza nimfanye nini ili moyo wangu ufarijike, maamuzi yalikuwa si mazuri. Asante sana endelea kuelimisha mambo kama haya yanayojenga roho. Ubarikiwe sana
Haa haa, mi sidhani kama Mshana Jr analoga watu, naona anatoa tu elimu ya mambo mbali mbali kwa kuwa ana uelewa wa hayo mamboMwambie Mshana amroge huyo mtu aliekukwaza ageuke bata
Anajua na uganga huyo kuna siku aliniambia boss wangu mchawimchawi na kweli huyo jamaa mganga huyo mshanaHaa haa, mi sidhani kama Mshana Jr analoga watu, naona anatoa tu elimu ya mambo mbali mbali kwa kuwa ana uelewa wa hayo mambo
![]()
![]()
![]()
unatoa siri sasa
Vuta pumzi tatu ndefu kisha ahirisha maamuzi unayotaka kuchukua siku hiyo ya visasi, fanya hivyo kwa siku tatu mfululizo, ikishindikana fanya kwa siku sabaTOA msaada kwangu... nikiwa na hasira nifanyeje ili niweze kusamehe bila kulipiza kisasa maana sijui how kusamehe. yaani unaanzaje au unafanyaje ndo uwe umwmsamehe mtu aliyekukosea.?