Siri ya mafanikio ya Trafiki polisi.

bugzbunny

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
847
Reaction score
763
Ebana, kila sehemu yenye tochi sasa hivi naona maaskari wa usalama barabarani wana magari binafsi tena mapya, mazuri! Huku walimu na madaktare wakihangaika na mikopo na vikoba na ufugaji wa kuku.Kazi poa sana nimeipenda.
Ila Nina swali, hivi wanavokusanya mapato, wanasafe? Pesa zinawekwa wapi? Nani amewapa hayo mamlaka ya kuwa macashier? Naombeni vifungu au ni link bunge lilijadili hili suala!
 
Kwenye Awamu Yangu Sitaki Wapiga Dili
 
Una wivu mkuu kwakua wenzio wana gari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi kazini mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…