Hebu jibu swali hili kwanza kabla hatujaendelea:Acha kupapatika, Nimesema Ben ajitokeze kuzungumzioa hilo sijakwambia naanzisha mada tena sio lazima Ben ajitokeze humu. Uongo una Expire Date lakini ukweli hauharibiki milelel! Nyakati za kuumbuka akina Ben zinakaribia maana ukweli utatokea Mlango wa dharura bila ya kutegemea. Kumbe kweli Ben hajawahi kukutana na Ben daah. Pole Zitto
Matendo ya mtu mmoja yasifanyiwe propaganda kama ni malengo ya taasisi.
Zitto anaonekana kumuogopa sana ben sanane au anakwepa kukiingiza chama kwenye matatizo.
Haina haja ya kumshauri, huyo hawezi onekana humu labda aje kuomba msamaha.Ben Saanane usiandike chochote hapa kwa ID yako hii kuna kitu kinatafutwa ili waunganishe dot then wapate habari nyingine!
zito amekana kukutana na ben,ila hajakana kama lilikuwepo,jaribu la kumpa sumu.amesema tu haamini kama dr anaweza kupanga kumdhuru,kisha inafata maelezo ya kuwa kila mtu atakufa,hata kama mtu akimuua yeye fikra zake zitabaki,etc.soma post mara tatu,kunasehemu zitto kakana kunpewa sumu?
Acha kupindisha mambo wewe..zitto anasema "vitendo vya mtu mmoja visigeuzwe propaganda kwa taasisi nzima"
Mtikila anajiaibisha mno.Mkuu kama ungefanikiwa kuisoma nadhani ile thread ingefunga mwaka 2013. Jamaa kapaka simchezo aisee. Mods nawashukuru sana kuiondoa humu jamvini.
Propaganda za ccm wakati ni Ben ndio alileta tuhuma humu JF juu ya Zitto kuwa kiongozi wa wasalia?Zitto hataki kupelekeshwa na habari ya propaganda iliyotengenezwa na ccm kwa nia ya kugawanya viongozi wa chadema that's all.
Inshort Zitto amekwepa zengwe la ccm.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
.....imbechili@workZitto anaonekana kumuogopa sana ben sanane au anakwepa kukiingiza chama kwenye matatizo.
Isome habari yote utapata mtiririko mzuri na utaelewa. Usikate vipande vipande. Ndio maana hata kwenye kusoma Biblia kila mtu huwa anaelewa kivyake sababu ya kukata kata mistari kwa mtindo huo wako.Mheshimiwa Zitto,
Naomba ufafanuzi wa hayo maneo yako hapo juu.
Ben Saanane usiandike chochote hapa kwa ID yako hii kuna kitu kinatafutwa ili waunganishe dot then wapate habari nyingine!
Mbona mnakua kama hamjui kusoma, amekana kukutana na Ben na wala hakufika kwenye hicho kikao na wala haijui hiyo hotel. Amekana nini kingine?
Wap mwigulu wapi Shonza
Mheshimiwa Zitto,
Naomba ufafanuzi wa hayo maneo yako hapo juu.