Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

Zitto anasema
"matendo ya mtu mmoja yasiguzwe taasisi"

vilevile amesema haamini kama katibu wake mkuu anaweza kupanga kumuua.(HAAMINI SIO kwamba KATIBU WANGU MKUU HAWEZI KUPANGA KUNIUA,)
Just HA AMINI KAMA.
Kwani hata SIBANDA aliamini kwamba siku ile angefanyiwa kitu mbaya.?
 
..kamanda Zitto unafaa kuwa kiongozi, big up sana kiongozi wangu..
 
Last edited by a moderator:

Huna haki, wajibu, wala uwezo wa kumpangia cha kufanya Zitto, Wewe kama huridhiki na alichofanya zitto funga domo lako, Mtanzania hiyo habari wameipata humu JF Labda kama unaingia kwa Moderm ya shemeji so shemej alisafir na Modem kwa hiyo hukupata fursa, wameandika habari yao vizuri na wamehoji pande zote zinazohusika tatizo liko wapi?
 
Mh.Zitto,kwa ushauri tu, itakuwa bora zaidi kama utaitisha press confress au kutoa press release kueleza ukweli umma wa watanzania, kwani ni watanzania wachache sana wana access na mitandao hii ya kijamii.Bila ufafanuzi, uzushi huu utakuwa mtaji kwa wale wasioitakia mema CHADEMA.
 
I can see it coming........Rogue politicians days are numbered.

Zitto stands for PRUDENCE, WISDOM AND TRUTH.

Huwezi kumchafua Zitto bila kuichafua CHADEMA.
 
Zitto anaonekana kumuogopa sana ben sanane au anakwepa kukiingiza chama kwenye matatizo.
 
Ukitoka chadema lazima ufe kisiasa la sivyo uwe unaizungumzia chadema kila leo. Mfano. Wasira, lukuvi, Nape, Nchemba, Shonza, Mwampamba tukisema wakae kmya wasiitaje cdm ni sawa na kuwapoteza kisiasa.
 
kaka upo juu unavuka vikwazo vingi kweli sasa umekuwa kamanda kamili.
Chapa kazi.
 
There are currently 442 users browsing this thread. (124 members and 318 guests). Will be our trending thread. Ngoja wakuu warudi na Mtanzania come on here!!! Njoo choteni cha kuandika kesho you the Kanjanja!! Huna habari ya kuandika, always ku-side na wanasiasa!! Kucha, meno, nyele, na kengele zitakomeshwa. Acheni kushabikia siasa waandishi na wewe sub-editor na editor kweli unarusha ----- bila kufanya upembuzi yakinifu? Sasa leo aibu kwenu!!
 
Zitto anaonekana kumuogopa sana ben sanane au anakwepa kukiingiza chama kwenye matatizo.
Naona unahaha bibie. Huku simu, huku tablet, huku laptop kadhaa. Mwisho unajichanganya kwenye ID zako zaidi ya 20. Ila naona mnafaidi pesa la lumumba.
 
Hiyo ni mada nyingine. Ifungulie thread yake na tutakuja huko kuijadili. Thread hii inahusu kanusho la zitto kuhusu mipango ya kutaka kuuawa kwa sumu.

Acha kupapatika, Nimesema Ben ajitokeze kuzungumzioa hilo sijakwambia naanzisha mada tena sio lazima Ben ajitokeze humu. Uongo una Expire Date lakini ukweli hauharibiki milelel! Nyakati za kuumbuka akina Ben zinakaribia maana ukweli utatokea Mlango wa dharura bila ya kutegemea. Kumbe kweli Ben hajawahi kukutana na Ben daah. Pole Zitto
 

Duh! nyinyi watu kwa spinning!

btw naona baada ya zoezi la kumchonganisha Zitto na viongozi wengine kushindwa mnataka kuanzisha Lissu na viongozi wake lakini hili ndio hamtafanikiwa kabisaaaa!!
 
soma post mara tatu,kunasehemu zitto kakana kunpewa sumu?
Acha kupindisha mambo wewe..zitto anasema "vitendo vya mtu mmoja visigeuzwe propaganda kwa taasisi nzima"

Alipewa sumu ndotoni?Zito amekiri kutowahi kuonana na Ben,
 
Huyo Mtikila naye hajakoma alivyopopolewa mawe kule tarime kwa ajili ya upuuzi wake huo huo. Damu chapa chapa.


Mkuu kama ungefanikiwa kuisoma nadhani ile thread ingefunga mwaka 2013. Jamaa kapaka simchezo aisee. Mods nawashukuru sana kuiondoa humu jamvini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…