Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Kila mara Mh. Zitto anapotoa Press Release, badala ya kujibu tu swala lililoko mezani, anakuja na mjadala mwingine.
Kwangu mimi, nimedonoa hii sentensi ambayo ni fupi lakini ina ujumbe mzito sana.
Ningependa kufahamu huyu MMOJA anayemwongelea katika matendo yake ambayo jamii isiyaone ndiyo matendo ya chama.
Tatu, nawashauri watu ambao wamehama CHADEMA na kuhamia vyama vingine watumie muda wao kujenga vyama vyao badala ya kila siku kuzungumzia masuala ya chama ambacho wao sio wanachama tena. Kama mtu kaamua kuhama CHADEMA anapoteza haki ya kujadili masuala ya CHADEMA maana kama angekuwa anapenda kuyajadili asingehama. Naonya mtu yeyote ambaye anatumia jina langu ili kufanikisha malengo yake ya kisiasa. CHADEMA sio pango la watesaji wala wauaji. Kama kuna mwanachama wa chama kingine cha siasa anayedhani kuna mtu ndani ya CHADEMA anapanga mipango ovu aende kwenye vyombo vya sheria kumshtaki. Matendo ya mtu mmoja yasifanyiwe propaganda kama ni malengo ya taasisi.
.
Acheni kuzunguka zunguka. Jibuni thread ya zitto. Nyie ndio kila siku mnaeneza propaganda kuwa Dr. Slaa alitaka kumuua zitto. Sasa mwenyewe amekana na aibu imewakumba. Narabuuk!Mkuu,
Samahani, lakini kumfananisha Zitto na Ben ni kumshushia heshima Zitto. Ben maishani mwake anaota kuwa siku moja akutane na Zitto ili ajisikie na yeye yumo! Hawa ni watu wa caliber tofauti kabisa ni sawa na kulinganisha capillary na aorta.
"Matendo ya mtu mmoja yasifanyiwe propaganda kama ni malengo ya taasisi[/COLOR]."
Na aibu imewafika masalia et al kwa propaganda za kipuuzi.Zitto ni mwanasiasa makini nakupa hongera kamanda, hongera zingine za mafunzo ya JKT.
Mkuu,
Samahani, lakini kumfananisha Zitto na Ben ni kumshushia heshima Zitto. Ben maishani mwake anaota kuwa siku moja akutane na Zitto ili ajisikie na yeye yumo! Hawa ni watu wa caliber tofauti kabisa ni sawa na kulinganisha capillary na aorta.
Mkuu,
Samahani, lakini kumfananisha Zitto na Ben ni kumshushia heshima Zitto. Ben maishani mwake anaota kuwa siku moja akutane na Zitto ili ajisikie na yeye yumo! Hawa ni watu wa caliber tofauti kabisa ni sawa na kulinganisha capillary na aorta.
huyo mama mkurupukaji tu wala asikuumize kichwa.yes ZZK umbea wa mtu mmoja(ben) usiwe ndio msimamo wa chama.huo ujumbe kaupata kisawasawa huyo dogo mapepe!Mimi niwaambia Ben sio level ya Zitto pamoja na kwamba anapata support ya 1st lady kivuli, sasa ajitokeze Josephine arudie yale maneno aliyo kuwa akiropoka humu JF
Kila mara Mh. Zitto anapotoa Press Release, badala ya kujibu tu swala lililoko mezani, anakuja na mjadala mwingine.
Kwangu mimi, nimedonoa hii sentensi ambayo ni fupi lakini ina ujumbe mzito sana.
Ningependa kufahamu huyu MMOJA anayemwongelea katika matendo yake ambayo jamii isiyaone ndiyo matendo ya chama.
Kitu inayo wasumbua baadhi ya viongozi wa CDM ni kuona Zitto anakubalika pande zote, CCM na CDM. Na hii ndio inawafanya wale roho zao. Wamechemsha zaidi pale walipo mteua Ben achuane na Zitto.
Na nyie mliokuwa mnadai Dr. Slaa alitaka kumuua zitto. Na kwamba Ben Saanane ndio alikamatwa na hiyo sumu pale lunch time hotel, habari hizo mlizipata wapi? Mwenyewe mbona anakana.Kitu inayo wasumbua baadhi ya viongozi wa CDM ni kuona Zitto anakubalika pande zote, CCM na CDM. Na hii ndio inawafanya wale roho zao. Wamechemsha zaidi pale walipo mteua Ben achuane na Zitto.
Napenda kusema yafuatayo:
Moja, sijawahi katika maisha yangu yote kukutana na mtu anayeitwa Ben Saanane na hivyo hicho kikao ambacho inasemekana nilikuwa naye na akajaribu kunipa sumu hakijawahi kutokea. Imetajwa Hoteli ya Lunch Time ambayo sio tu sijawahi kufika, pia hata siijui ipo wapi. Haijawahi kutokea mimi kufanya kikao cha pamoja na Ben Saanane, Juliana Shonza na Mtela Mwampamba. Hivyo habari iliyoandikwa ni ya kufikirika na hivyo naomba mwandishi ahakikishe kuwa vyanzo vyake vya habari vimempa habari sahihi.
...Sasa kwa sababu kiongozi wangu Zitto Kabwe ameibuka na kujaribu kukanusha na kupotosha imebidi nije niweke sawa upotoshaji huu japo kwa kifupi:
Ndugu Zitto,
Mosi:
Sishangazwi na kauli yako kwamba hunifahamu. Ni muendelezo wa siasa zile zile za kutosimamia ukweli na kuendekeza siasa za uongo na upotoshaji. Nimemkumbuka Mwanasiasa Mzee Stephen Wassira (Aliyekitabiria CHADEMA kwamba kitasambaratika) aliposimama na kumkana Mwanafamilia wake mbele ya vyombo vya habari kwa sababu ya siasa na katika mkakati wa kuendeleza ghiliba. Kama mwanasiasa wa Tanzania anaweza kumkana hata mwanafamilia au kusema chochote hakuna la kushangaza.
Sasa, kwa kuwa ushahidi ninao wa jinsi tunavyofahamina na jinsi tulivyoshirikiana kuwashughulikia viongozi wa juu wa chama pamoja na uhusika wetu katika hujuma dhidi ya chama nitaomba chama changu sasa kiitishe kikao cha dharura ili nimwage mambo yote nyeti na ushahidi nilio nao ndani ya vikao. Naamini katika vikao kwa kuwa napenda kuona CHADEMA kikikua kama Taasisi imara ya mabadiliko.
Jana nilimwambia Dr. Kitila haya mambo baada ya wewe kuongea nae na kunitaka mimi niingie JF nikanushe thread hii iliyoanzishwa na Mamuya. Kumbe shinikizo lote ulitaka nikusafishe tu, kitu ambacho sikuwa tayari kufanya. Ushahidi nianao pia! Ulipoona imeshindikana mimi kumkana Exaud Mamuya, wewe ukaamua kuja huku kuja kunikana. Hizo rhetorics unazotumia katika dhana ya kujenga ukabila kwa kufanya ulinganisho wa Mamuya na Ben Saanane ni muendelezo wa propaganda chafu dhidi ya chama ambazo mimi na wewe tulikuwa tukizitumia kuhalalisha kazi yetu hii ambayo kimsingi niliamua kuachana nayo na sikuwa tayari kuendelea kuishiriki.
acheni kuzunguka zunguka. Jibuni thread ya zitto. Nyie ndio kila siku mnaeneza propaganda kuwa dr. Slaa alitaka kumuua zitto. Sasa mwenyewe amekana na aibu imewakumba. Narabuuk!