Siri ya kudai serikali tatu yagundulika

Siri ya kudai serikali tatu yagundulika

Umevuta ya Arusha au Tabora?

Nimegundua kumbe kuna agenda ya siri kwa watu flani wa makundi flani walioko na nafasi flani kisiasa kwa vyama tofauti kutaka serikali tatu ili vyeo viwe vingi , vyeo kibao , serikali kibao ofisi kibao , semina kibao, safari kibao , posho kibao , sadakalawe amina, mwenye kupata apate mwenye kukosa akose! kumbe madaraka matamu jamani hata wale waliopita nao wanayataka! zikiwa serikali tatu , uongo! hata kama ulistaafu miaka hamsini iliyopita ila kwa CV yako uongo hukosi nawewe japo naibu waziri! ila serikali zote kama kawaida zitaendeshwa kwa kodi zetu na majasho yetu! mwenye masikio na asikie!Ni mtazamo tu wa mimi kijana nisietaka kusikia mawazo ya wazee na sina chama wala itikadi wala manifesto!
 
Nimegundua kuna watanzania wenye upeo mdogo sana wa kufikiri na kuelewa!!!
 
Hawa mabeki tatu wenye kuchukua ubin wa Mabosi zao huwa mnashida sana... Nani amekuambia kuwa Serikali tatu itakuwa na vyeo vingi. posho nyingi, na safari nyingi kama JK? ... Kwataarifa yako wenye akili wanataka kufuta vyeo vya Upendeleo vya CCM kama DC, RC, Wabunge wa Kuteuliwa na Mawaziri kibao wengine eti hawana wizara maalumu?... wewe unajua kuwa Sitta na watu wake wakikaa pale Dodoma kwa siku wanakunja kiasi gani? Unafahamu kuwa Msafara wa Pinda Pekee kwa siku unagharimu mishahara ya Waalimu wasiopungua 100 kwa mwaka? talking shit ... Hizo safari za JK mpaka sasa unafahamu kuwa zingetosha kujenga Hospitali za kisasa mikoa yote ya Tanzania?... Unajua kuwa Ufisadi unaofanywa kwenye sekta ya Nishati pekee inatosheleza kutoa huduma bora ya elimu na afya bure kwa Watanzania wote?... Ukoo wa Ngowi tunaufahamu una watu wengi wazalendo wenye akili, usiwavunjie heshima ...

Aisee kweli hawezi kuwa Ngowi na kuto pumba za namna hii.
 
Mkulima hahitaji serikali tatu anachotaka ni serikali moja itakayompa uhuru wa kumiliki ardhi na kulima popote na kuuza popote

Mfanyabiashara anachotaka ni serikali moja yenye sheria za biashara na kodi za aina moja na taratibu za aina moja zinazomwezesha kufanya biashara popote bila bughudha ya aina yoyote

Mfanyakazi angependa kuwe na serikali moja ambapo yuko huru kufanya kazi popote na kwa viwango sawia vya mishahara na marupurupu

Mvuvi angependa serikali moja inayomwezesha kuvua popote na kujiuzia popote

Kiongozi wa dini angependa serikali moja yenye sheria moja ambayo inamwezesha yeye kutangaza dini yake na kuabudisha popote bila vikwazo

Mwanafunzi angependa awe huru kusoma popote na kupata mkopo wa kusoma popote

Lakini wanasiasa ndio wanataka serikali tatu ili wawe na nyimbo zao,majeshi yao,balozi zao,na vyeo vyao vya kisiasa na mafungu yao ya kugawana mapato yatokanayo na kukamua kodi wanyonge

Wakili wa kujitegemea angependa serikali moja ya kumwezesha kufanya kazi zake popote bila vikwazo ndani ya nchi moja.

Mfugaji wa kuhama hama angependa serikali moja inayoruhusu yeye kujichungia mifugo yake popote penye malisho mazuri ya mifugo yake

Hivi hiyo tume ya Warioba ina uhakika kuwa wananchi ndio wanataka serikali tatu?

Mimi baada ya kuwahoji wanachi wa kawaida wengi wameruka kuwa hilo la serikali tatu anayelijua vizuri ni huyo warioba na tume yake na hao wanasiasa wa UKAWA.

Wataka serikali tatu wanaotoa hadi mapovu ni wanasiasa ambao wanaishi kwa kutegemea siasa tu na wanaofaidika na ulaji kodi za wananchi ila wanajaribu kutumia wananchi kama ngao ya ubaradhuli wao.

Chadema na CUF wanajua kuwa si rahisi wao kushika nchi ikiwa moja kwa sababu CUF ina nguvu sana Zanzibar lakini bara haina nguvu hivyo nchi ikiwa moja wanajua hawatapata kura bara na CHADEMA wanaona kukiwa na serikali moja watakwama kwa kuwa wana nguvu sana Tanzania bara lakini Zanzibar hawana nguvu hivyo kukitokea uchaguzi kukiwa na serikali moja wanajua watakwama. Hivyo makundi haya mawili ya CUF na CHADEMA yanapigania serikali tatu kwa kuota ndoto za Alnacha kuwa zikipatikana basi CUF itashika Zanzibar CHADEMA tashika BARA na CCM itaambulia hako kaserikali ka muungano kasikokuwa na NGUVU wala raslimali bali kanategemea michango ya washirika.

Ukweli ndio huo wanasiasa ndio wanataka serikali tatu na warioba akaona muhimu kuwasikiliza hao na akayaita eti ndio maoni ya wananchi sio kweli.

Katika vitu vya aibu ambavyo tume imefanya ni kuchukua maoni ya wanasiasa kuhusu serikali tatu na kuyaita maoni ya wananchi .Ni aibu kwa tume. Najisikia vibaya tume kwa hili imekula posho ZA KODI ZA WANANCHI bure kabisa.

Sasa kama wote wanataka serekali moja mbona basi isiwe ndio sera ya CCM na tena wanaogopa hata kuongelea serekali Moja?. Nitakusaidia serekali moja ndio nzuri lakini CCM wameshindwa kufikia kwa miaka 50. Nakama serekali moja haiwezekani basi serekali tatu ndio mfumo utakao hakikisha kila upande wa muungano unapata haki yake. Na serekali mbili imebaki kuwa Kichaka CCM inachokitumia kuibaka Tanganyika.
 
PHP:
Mkulima hahitaji serikali tatu anachotaka ni serikali moja itakayompa uhuru wa kumiliki ardhi na kulima popote na kuuza popote

Mfanyabiashara anachotaka ni serikali moja yenye sheria za biashara na kodi za aina moja na taratibu za aina moja zinazomwezesha kufanya biashara popote bila bughudha ya aina yoyote

Mfanyakazi angependa kuwe na serikali moja ambapo yuko huru kufanya kazi popote na kwa viwango sawia vya mishahara na marupurupu

Mvuvi angependa serikali moja inayomwezesha kuvua popote na kujiuzia popote

Kiongozi wa dini angependa serikali moja yenye sheria moja ambayo inamwezesha yeye kutangaza dini yake na kuabudisha popote bila vikwazo

Mwanafunzi angependa awe huru kusoma popote na kupata mkopo wa kusoma popote

Lakini wanasiasa ndio wanataka serikali tatu ili wawe na nyimbo zao,majeshi yao,balozi zao,na vyeo vyao vya kisiasa na mafungu yao ya kugawana mapato yatokanayo na kukamua kodi wanyonge

Wakili wa kujitegemea angependa serikali moja ya kumwezesha kufanya kazi zake popote bila vikwazo ndani ya nchi moja.

Mfugaji wa kuhama hama angependa serikali moja inayoruhusu yeye kujichungia mifugo yake popote penye malisho mazuri ya mifugo yake

Hivi hiyo tume ya Warioba ina uhakika kuwa wananchi ndio wanataka serikali tatu?

Mimi baada ya kuwahoji wanachi wa kawaida wengi wameruka kuwa hilo la serikali tatu anayelijua vizuri ni huyo warioba na tume yake na hao wanasiasa wa UKAWA.

Wataka serikali tatu wanaotoa hadi mapovu ni wanasiasa ambao wanaishi kwa kutegemea siasa tu na wanaofaidika na ulaji kodi za wananchi ila wanajaribu kutumia wananchi kama ngao ya ubaradhuli wao.

Chadema na CUF wanajua kuwa si rahisi wao kushika nchi ikiwa moja kwa sababu CUF ina nguvu sana Zanzibar lakini bara haina nguvu hivyo nchi ikiwa moja wanajua hawatapata kura bara na CHADEMA wanaona kukiwa na serikali moja watakwama kwa kuwa wana nguvu sana Tanzania bara lakini Zanzibar hawana nguvu hivyo kukitokea uchaguzi kukiwa na serikali moja wanajua watakwama. Hivyo makundi haya mawili ya CUF na CHADEMA yanapigania serikali tatu kwa kuota ndoto za Alnacha kuwa zikipatikana basi CUF itashika Zanzibar CHADEMA tashika BARA na CCM itaambulia hako kaserikali ka muungano kasikokuwa na NGUVU wala raslimali bali kanategemea michango ya washirika.

Ukweli ndio huo wanasiasa ndio wanataka serikali tatu na warioba akaona muhimu kuwasikiliza hao na akayaita eti ndio maoni ya wananchi sio kweli.

Katika vitu vya aibu ambavyo tume imefanya ni kuchukua maoni ya wanasiasa kuhusu serikali tatu na kuyaita maoni ya wananchi .Ni aibu kwa tume. Najisikia vibaya tume kwa hili imekula posho ZA KODI ZA WANANCHI bure kabisa.
Nilidhani mashoto huwa ni wa miguu na mikono tu, kumbe hata akili.... tumia full brain ndugu, sio upande 1 wa akili
 
Wakisha valishwa mavazi ya kijani na njano kwa kawaida huwapatia buku 5000 hadi 10,000/- za kuweka mfukoni, then wanalishwa pilau na pombe nyingi za kienyeji wengine viroba!!! Baada ya hapo ni Majanga matupu: Mashuzi kwa kwenda mbele, wanamwaga radhi kwa kukata viuno hadharani Kibao Kata na Vogodoro kwa sanaa... wanywa viroba husindikizwa na bongo flavor mpaka kuchee... Hiyo ndo CCM iliyowafikisha hapo Watanzania, wamekata tamaa hawana matumaini tena ya maisha mazuri kwao...
Nafikiri wewe ni mmoja wapo wa hili kundi hapa chini ndio maana umeweza kujikakamu na kuandika hiki ulichokiandika

View attachment 176579
 
Nimegundua kumbe kuna agenda ya siri kwa watu flani wa makundi flani walioko na nafasi flani kisiasa kwa vyama tofauti kutaka serikali tatu ili vyeo viwe vingi , vyeo kibao , serikali kibao ofisi kibao , semina kibao, safari kibao , posho kibao , sadakalawe amina, mwenye kupata apate mwenye kukosa akose! kumbe madaraka matamu jamani hata wale waliopita nao wanayataka! zikiwa serikali tatu , uongo! hata kama ulistaafu miaka hamsini iliyopita ila kwa CV yako uongo hukosi nawewe japo naibu waziri! ila serikali zote kama kawaida zitaendeshwa kwa kodi zetu na majasho yetu! mwenye masikio na asikie!Ni mtazamo tu wa mimi kijana nisietaka kusikia mawazo ya wazee na sina chama wala itikadi wala manifesto!

Very good theory, lakini kwa vile kwa mazingira ya muungano uliopo, serikali moja haiwezekani in practice, mbadala wake ni nini?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
TATU hamzitaki ati gharama......mkiambiwa MOJA mnakuwa mabubu au nayo ina gharama?
 
Lengo la CCM ni serikali mbili kuelekea serikali moja.....................Jambo ambalo Wazanzibar hawataki kuuwa Utaifa wao...................Wameshituka na ukitaka kuthibitisha hilo itafute Tanganyika Uone cha moto.....................G 55
 
Nimegundua kumbe kuna agenda ya siri kwa watu flani wa makundi flani walioko na nafasi flani kisiasa kwa vyama tofauti kutaka serikali tatu ili vyeo viwe vingi , vyeo kibao , serikali kibao ofisi kibao , semina kibao, safari kibao , posho kibao , sadakalawe amina, mwenye kupata apate mwenye kukosa akose! kumbe madaraka matamu jamani hata wale waliopita nao wanayataka! zikiwa serikali tatu , uongo! hata kama ulistaafu miaka hamsini iliyopita ila kwa CV yako uongo hukosi nawewe japo naibu waziri! ila serikali zote kama kawaida zitaendeshwa kwa kodi zetu na majasho yetu! mwenye masikio na asikie!Ni mtazamo tu wa mimi kijana nisietaka kusikia mawazo ya wazee na sina chama wala itikadi wala manifesto!

Matope na pumba at work!
 
Miaka 50 kuelekea serikali moja?
 
Very good theory, lakini kwa vile kwa mazingira ya muungano uliopo, serikali moja haiwezekani in practice, mbadala wake ni nini?

Sent from my iPhone using JamiiForums

Kama serikali moja watu hawataki,mbili watu hawataki,tatu watu hawataki mbadala ni rahisi kubwagana na kuvunja muungano kila nchi iende kivyake Zanzibar kivyake na bara kivyake ili kila nchi tuachane kila moja abebe mizigo yake mwenyewe asisumbue walipa kodi wa bara wala wa zanzibar kuendesha seikali yake.

Hakuna haja ya kubembelezana tuambiane ukweli tu.Kama mvutano huu utaendelea tubwagane tufunge duka biashara iishie hapo. Na nadhani ndio lengo la vyama vya siasa vinataka wananchi wapande hasira waseme kama hamkubaliani huko ndani ya bunge na serikali moja hamtaki basi muungano uvunjike haraka iwezekanavyo.
 
heri mjinga ambaye huduwaa, aaa kumbe. uliza uambiwe, serikali tatu zitapunguza sana gharama tulizonazo sasa. mfano, tukiwa na raisi wa muungano ambaye atakua na mawaziri wasiozidi 7. tukawa na makamu wa kwanza wa raisi ambaye atakuwa mtendaji mkuu wa serikali ya tanganyika na serikali yake yenye mawaziri wasiozidi 15 ,tukawa na makamu wa pili wa raisi ambaye atakua mtendaji mkuu wa serikali ya zanziba na mawaziri wasiozidi 9. hapo tu tayari tumeondoa vyeo vya waziri mkuu, makamu wa kwanza wa raisi zanzibar, makamu wa pili zanziba. mambo mengine tayari yapo. mfano ukizungumzia bandari, ipo mamlaka ya bandari tz na zanziba, TBS ipo ya bara na ya zanzibar, Takukuru ipo ya bar na ya zanzibar, Sumatra ipo ya zanzibar na ya bara. kwa hiyo karibu idara zote za serikali zipo mbili tayari. hayo madaraka mnayozungumza yanatafutwa kwenye serikali tatu yako wapi
 
Hawa mabeki tatu wenye kuchukua ubin wa Mabosi zao huwa mnashida sana... Nani amekuambia kuwa Serikali tatu itakuwa na vyeo vingi. posho nyingi, na safari nyingi kama JK? ... Kwataarifa yako wenye akili wanataka kufuta vyeo vya Upendeleo vya CCM kama DC, RC, Wabunge wa Kuteuliwa na Mawaziri kibao wengine eti hawana wizara maalumu?... wewe unajua kuwa Sitta na watu wake wakikaa pale Dodoma kwa siku wanakunja kiasi gani? Unafahamu kuwa Msafara wa Pinda Pekee kwa siku unagharimu mishahara ya Waalimu wasiopungua 100 kwa mwaka? talking shit ... Hizo safari za JK mpaka sasa unafahamu kuwa zingetosha kujenga Hospitali za kisasa mikoa yote ya Tanzania?... Unajua kuwa Ufisadi unaofanywa kwenye sekta ya Nishati pekee inatosheleza kutoa huduma bora ya elimu na afya bure kwa Watanzania wote?... Ukoo wa Ngowi tunaufahamu una watu wengi wazalendo wenye akili, usiwavunjie heshima ...[/QUOTE

Kwa hiyo Mzee wa matukio hayo matukio yote uliyoorodhesha jibu lake ni serikali tatu? Hivi kukiwa na serikali tatu hakutakuwa na msafara wa Waziri Mkuu ehee, maana kunaweza kukawa hakuna wakuu wa mikoa lakini kukawa na magavana, au mameya wote ni mbadala yaani ni kama kutoka sangara, ukaita m4c na kuongeza chopa lakini kiti ni kilekile au wali ukaita ubwabwa. ingekuwa vyema uache kwenda na hali ya hewa, msimu na matukio kama mzee wa onyo jenga hoja.
 
Nimegundua kumbe kuna agenda ya siri kwa watu flani wa makundi flani walioko na nafasi flani kisiasa kwa vyama tofauti kutaka serikali tatu ili vyeo viwe vingi , vyeo kibao , serikali kibao ofisi kibao , semina kibao, safari kibao , posho kibao , sadakalawe amina, mwenye kupata apate mwenye kukosa akose! kumbe madaraka matamu jamani hata wale waliopita nao wanayataka! zikiwa serikali tatu , uongo! hata kama ulistaafu miaka hamsini iliyopita ila kwa CV yako uongo hukosi nawewe japo naibu waziri! ila serikali zote kama kawaida zitaendeshwa kwa kodi zetu na majasho yetu! mwenye masikio na asikie!Ni mtazamo tu wa mimi kijana nisietaka kusikia mawazo ya wazee na sina chama wala itikadi wala manifesto!

kaoge!!
 
Mkulima hahitaji serikali tatu anachotaka ni serikali moja itakayompa uhuru wa kumiliki ardhi na kulima popote na kuuza popote

Mfanyabiashara anachotaka ni serikali moja yenye sheria za biashara na kodi za aina moja na taratibu za aina moja zinazomwezesha kufanya biashara popote bila bughudha ya aina yoyote

Mfanyakazi angependa kuwe na serikali moja ambapo yuko huru kufanya kazi popote na kwa viwango sawia vya mishahara na marupurupu

Mvuvi angependa serikali moja inayomwezesha kuvua popote na kujiuzia popote

Kiongozi wa dini angependa serikali moja yenye sheria moja ambayo inamwezesha yeye kutangaza dini yake na kuabudisha popote bila vikwazo

Mwanafunzi angependa awe huru kusoma popote na kupata mkopo wa kusoma popote

Lakini wanasiasa ndio wanataka serikali tatu ili wawe na nyimbo zao,majeshi yao,balozi zao,na vyeo vyao vya kisiasa na mafungu yao ya kugawana mapato yatokanayo na kukamua kodi wanyonge

Wakili wa kujitegemea angependa serikali moja ya kumwezesha kufanya kazi zake popote bila vikwazo ndani ya nchi moja.

Mfugaji wa kuhama hama angependa serikali moja inayoruhusu yeye kujichungia mifugo yake popote penye malisho mazuri ya mifugo yake

Hivi hiyo tume ya Warioba ina uhakika kuwa wananchi ndio wanataka serikali tatu?

Mimi baada ya kuwahoji wanachi wa kawaida wengi wameruka kuwa hilo la serikali tatu anayelijua vizuri ni huyo warioba na tume yake na hao wanasiasa wa UKAWA.

Wataka serikali tatu wanaotoa hadi mapovu ni wanasiasa ambao wanaishi kwa kutegemea siasa tu na wanaofaidika na ulaji kodi za wananchi ila wanajaribu kutumia wananchi kama ngao ya ubaradhuli wao.

Chadema na CUF wanajua kuwa si rahisi wao kushika nchi ikiwa moja kwa sababu CUF ina nguvu sana Zanzibar lakini bara haina nguvu hivyo nchi ikiwa moja wanajua hawatapata kura bara na CHADEMA wanaona kukiwa na serikali moja watakwama kwa kuwa wana nguvu sana Tanzania bara lakini Zanzibar hawana nguvu hivyo kukitokea uchaguzi kukiwa na serikali moja wanajua watakwama. Hivyo makundi haya mawili ya CUF na CHADEMA yanapigania serikali tatu kwa kuota ndoto za Alnacha kuwa zikipatikana basi CUF itashika Zanzibar CHADEMA tashika BARA na CCM itaambulia hako kaserikali ka muungano kasikokuwa na NGUVU wala raslimali bali kanategemea michango ya washirika.

Ukweli ndio huo wanasiasa ndio wanataka serikali tatu na warioba akaona muhimu kuwasikiliza hao na akayaita eti ndio maoni ya wananchi sio kweli.

Katika vitu vya aibu ambavyo tume imefanya ni kuchukua maoni ya wanasiasa kuhusu serikali tatu na kuyaita maoni ya wananchi .Ni aibu kwa tume. Najisikia vibaya tume kwa hili imekula posho ZA KODI ZA WANANCHI bure kabisa.

Hujazungumzia Serikali mbili za CCM zaidi ya kuwashambulia Ukawa. Kwa hilo si kazi ngumu kujua itikadi yako kisiasa. Kidumu Chama Cha Mapinduzi. Umetumika vyema.
 
Nimegundua kumbe kuna agenda ya siri kwa watu fulani wa makundi fulani walioko na nafasi fulani kisiasa kwa vyama tofauti kutaka serikali tatu ili vyeo viwe vingi , vyeo kibao , serikali kibao ofisi kibao , semina kibao, safari kibao , posho kibao , sadakalawe amina, mwenye kupata apate mwenye kukosa akose! kumbe madaraka matamu jamani hata wale waliopita nao wanayataka.

Zikiwa serikali tatu, uongo hata kama ulistaafu miaka hamsini iliyopita ila kwa CV yako uongo hukosi nawewe japo Naibu Waziri.

Ila serikali zote kama kawaida zitaendeshwa kwa kodi zetu na majasho yetu.

Mwenye masikio na asikie.

Ni mtazamo tu wa mimi kijana nisietaka kusikia mawazo ya wazee na sina chama wala itikadi wala manifesto.

Mh mara ya kwanza kukutanza na mchaga mwenye akili fupi. Uyoo atakae kuoa anakazi kweli kweli.
 
Mkulima hahitaji serikali tatu anachotaka ni serikali moja itakayompa uhuru wa kumiliki ardhi na kulima popote na kuuza popote

Mfanyabiashara anachotaka ni serikali moja yenye sheria za biashara na kodi za aina moja na taratibu za aina moja zinazomwezesha kufanya biashara popote bila bughudha ya aina yoyote

Mfanyakazi angependa kuwe na serikali moja ambapo yuko huru kufanya kazi popote na kwa viwango sawia vya mishahara na marupurupu

Mvuvi angependa serikali moja inayomwezesha kuvua popote na kujiuzia popote

Kiongozi wa dini angependa serikali moja yenye sheria moja ambayo inamwezesha yeye kutangaza dini yake na kuabudisha popote bila vikwazo

Mwanafunzi angependa awe huru kusoma popote na kupata mkopo wa kusoma popote

Lakini wanasiasa ndio wanataka serikali tatu ili wawe na nyimbo zao,majeshi yao,balozi zao,na vyeo vyao vya kisiasa na mafungu yao ya kugawana mapato yatokanayo na kukamua kodi wanyonge

Wakili wa kujitegemea angependa serikali moja ya kumwezesha kufanya kazi zake popote bila vikwazo ndani ya nchi moja.

Mfugaji wa kuhama hama angependa serikali moja inayoruhusu yeye kujichungia mifugo yake popote penye malisho mazuri ya mifugo yake

Hivi hiyo tume ya Warioba ina uhakika kuwa wananchi ndio wanataka serikali tatu?

Mimi baada ya kuwahoji wanachi wa kawaida wengi wameruka kuwa hilo la serikali tatu anayelijua vizuri ni huyo warioba na tume yake na hao wanasiasa wa UKAWA.

Wataka serikali tatu wanaotoa hadi mapovu ni wanasiasa ambao wanaishi kwa kutegemea siasa tu na wanaofaidika na ulaji kodi za wananchi ila wanajaribu kutumia wananchi kama ngao ya ubaradhuli wao.

Chadema na CUF wanajua kuwa si rahisi wao kushika nchi ikiwa moja kwa sababu CUF ina nguvu sana Zanzibar lakini bara haina nguvu hivyo nchi ikiwa moja wanajua hawatapata kura bara na CHADEMA wanaona kukiwa na serikali moja watakwama kwa kuwa wana nguvu sana Tanzania bara lakini Zanzibar hawana nguvu hivyo kukitokea uchaguzi kukiwa na serikali moja wanajua watakwama. Hivyo makundi haya mawili ya CUF na CHADEMA yanapigania serikali tatu kwa kuota ndoto za Alnacha kuwa zikipatikana basi CUF itashika Zanzibar CHADEMA tashika BARA na CCM itaambulia hako kaserikali ka muungano kasikokuwa na NGUVU wala raslimali bali kanategemea michango ya washirika.

Ukweli ndio huo wanasiasa ndio wanataka serikali tatu na warioba akaona muhimu kuwasikiliza hao na akayaita eti ndio maoni ya wananchi sio kweli.

Katika vitu vya aibu ambavyo tume imefanya ni kuchukua maoni ya wanasiasa kuhusu serikali tatu na kuyaita maoni ya wananchi .Ni aibu kwa tume. Najisikia vibaya tume kwa hili imekula posho ZA KODI ZA WANANCHI bure kabisa.

You are really a SUPER EAGLE, kama lilivyo jina lako... you have got an excellent Eagle's view of things and the way they are in Tanzania right now. HONGERA SANA MKUU for hitting the nail right on the HEAD.!!!!
Nimeipenda analysis yako which is very true and objective: wanasiasa ndio wanaoharibu mchakato wa katiba mpya kwa malengo yao ya kujifaidisha wenyewe. They do not have wananchi or their interests at hear AT ALL... na hii ni kwa both UKAWA and CCM.
Hao wachangiaji wengine wanaopinga post hii either ni katika kundi la wanaotarajia kunufaika na serikali 3 au 2, au ni MISUKULE na KENGE tu wanaofata msafara kiushabiki bila kujua unakwenda wapi na utawasaidiaje!!!
Inasikitisha kuwa siku hizi karibu kila mtu ni mshabiki tu esp. wa upinzani na wanafata upepo unaovumishwa na viongozi wao lakin hawajitambui..hata hapa JF wako wengi UTOA MAPOVU tu kutetea KILA KITU wanachoambiwa na viongozi wao wa siasa.
Sasa hao UKAWA wanaotaka serikali 3:
- Je mkulima, mfugaji, mwanafunzi, wastaafu, private sector, etc etc (tuseme mwananchi wa kawaida) ananufaika vipi kiuchumu na serikali 3????? Mbona Tume ya Warioba haijatuletea hiyo analysis?
- NAPINDA kwa nguvu zangu zote propaganda ya Tume kuwa "hayo ni maoni ya wananchi" hao waliowahoji wana-represent % ngapi ya wananchi zaidi ya 40 mill ya watanzania??? Statistician yeyote ukianalyze hizo data za Waryoba utakuta kuwa ni very very STATISTICALLY INSIGNIFICANT kuweza kuwa representative of the population!!!!
- Kwa mantiki ya data kuwa statistically insignificant, hata UKAWA NI invalid kwani hiyo rasimu kiukweli huwezi kusimama na ujasiri na kupiga kifua kusema ni ya "wananchi"
- Ili kujua kuwa hata Tume ilikuwa na ajenda zake zilizojificha cha kujinufaisha kwa serikali 3, kwa nini hadi leo TUME IMESHAMALIZA KAZI LAKINI HAWATULII KILA SIKU KWENYE MAKONGAMANO KUTETEA HIYO RASIMU? Kuna nini hapa???
- Kama UKAWA interest yao sio ya kisiasa ya serikali 3 kwa nini HAWATAKI KURUDI BUNGENI KUJADILI VIFUNGU VINGINE AMBAVYO SIO VYA MUUNDO WA SERIKALI bali vina-touch maisha ya kawaida ya wananchi? Kwani RASIMU NI MUUNDO WA SERIKALI TU?
- Wengine wanasema serikali 3 sio kuongeza vyeo: WRONG; kumkuba kuja kwa serikali tatu kutalazimu kuwepo kwa several Oversight institutions ambazo rasimu imesema lazima ziwe created: katika mahakama, ulinzi, tume ya ajira, na utitiri wa commissions kibao!

MIMI nilishastuka zamani nio ovu na selfish ya UKAWA katika mchakato huu, ila wengine wengi hawajijui na wanatumiwa kama madekio kwa ajili ya wanasiasa.
 
Back
Top Bottom