Magurudumu
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,748
- 490
Kama ni hivyo si ingekuwa vizuri maana na wewe ungepata cheo? Naona unafikiri kwa kutumia 'matullu'.
East Africa Eagle hicho ulichoandika ndo ukweli na uhalisia wa mambo...
Wanaotaka serikali 3 vilevile na wenye serikali mbili zo wanatafuta kick kwa kuwasingzia wananch tu lakn hakuna mwananchi mwenye shida na idadi ya serikali.
Serikali moja ndo kila bitu ila wanasiasa wameamua kuupotosha umma kwa maslahi yao.

Nimegundua kumbe kuna agenda ya siri kwa watu flani wa makundi flani walioko na nafasi flani kisiasa kwa vyama tofauti kutaka serikali tatu ili vyeo viwe vingi , vyeo kibao , serikali kibao ofisi kibao , semina kibao, safari kibao , posho kibao , sadakalawe amina, mwenye kupata apate mwenye kukosa akose! kumbe madaraka matamu jamani hata wale waliopita nao wanayataka! zikiwa serikali tatu , uongo! hata kama ulistaafu miaka hamsini iliyopita ila kwa CV yako uongo hukosi nawewe japo naibu waziri! ila serikali zote kama kawaida zitaendeshwa kwa kodi zetu na majasho yetu! mwenye masikio na asikie!Ni mtazamo tu wa mimi kijana nisietaka kusikia mawazo ya wazee na sina chama wala itikadi wala manifesto!
Ukweli ndio huo wanasiasa ndio wanataka serikali tatu na warioba akaona muhimu kuwasikiliza hao na akayaita eti ndio maoni ya wananchi sio kweli.
Ndiyo maana walimu walikuwa wanatumia bakora kuwafanya wanafunzi wajinga kuelewa masomo. Pamoja na midahalo yote hiyo hujaelewa tu!
Unakumbuka matokeo ya Tume za Jaji Kisanga na Jaji Nyalali? Na wao wali base kwenye matakwa ya wanasiasa? Acha kumu-attack Jaji Warioba personally wakati Tume ilisheheni Senior Citizen wa Taifa hili.
hahahahaaaa Marry Ngowi kumbe ni beki 3? afadhali umenijuza maana sijawahi ona akili mgando kama hii kitu aiseeHawa mabeki tatu wenye kuchukua ubin wa Mabosi zao huwa mnashida sana... Nani amekuambia kuwa Serikali tatu itakuwa na vyeo vingi. posho nyingi, na safari nyingi kama JK? ... Kwataarifa yako wenye akili wanataka kufuta vyeo vya Upendeleo vya CCM kama DC, RC, Wabunge wa Kuteuliwa na Mawaziri kibao wengine eti hawana wizara maalumu?... wewe unajua kuwa Sitta na watu wake wakikaa pale Dodoma kwa siku wanakunja kiasi gani? Unafahamu kuwa Msafara wa Pinda Pekee kwa siku unagharimu mishahara ya Waalimu wasiopungua 100 kwa mwaka? talking shit ... Hizo safari za JK mpaka sasa unafahamu kuwa zingetosha kujenga Hospitali za kisasa mikoa yote ya Tanzania?... Unajua kuwa Ufisadi unaofanywa kwenye sekta ya Nishati pekee inatosheleza kutoa huduma bora ya elimu na afya bure kwa Watanzania wote?... Ukoo wa Ngowi tunaufahamu una watu wengi wazalendo wenye akili, usiwavunjie heshima ...
Nimegundua kumbe kuna agenda ya siri kwa watu flani wa makundi flani walioko na nafasi flani kisiasa kwa vyama tofauti kutaka serikali tatu ili vyeo viwe vingi , vyeo kibao , serikali kibao ofisi kibao , semina kibao, safari kibao , posho kibao , sadakalawe amina, mwenye kupata apate mwenye kukosa akose! kumbe madaraka matamu jamani hata wale waliopita nao wanayataka! zikiwa serikali tatu , uongo! hata kama ulistaafu miaka hamsini iliyopita ila kwa CV yako uongo hukosi nawewe japo naibu waziri! ila serikali zote kama kawaida zitaendeshwa kwa kodi zetu na majasho yetu! mwenye masikio na asikie!Ni mtazamo tu wa mimi kijana nisietaka kusikia mawazo ya wazee na sina chama wala itikadi wala manifesto!
Nafikiri wewe ni mmoja wapo wa hili kundi hapa chini ndio maana umeweza kujikakamu na kuandika hiki ulichokiandika
View attachment 176579
Nimegundua kumbe kuna agenda ya siri kwa watu flani wa makundi flani walioko na nafasi flani kisiasa kwa vyama tofauti kutaka serikali tatu ili vyeo viwe vingi , vyeo kibao , serikali kibao ofisi kibao , semina kibao, safari kibao , posho kibao , sadakalawe amina, mwenye kupata apate mwenye kukosa akose! kumbe madaraka matamu jamani hata wale waliopita nao wanayataka! zikiwa serikali tatu , uongo! hata kama ulistaafu miaka hamsini iliyopita ila kwa CV yako uongo hukosi nawewe japo naibu waziri! ila serikali zote kama kawaida zitaendeshwa kwa kodi zetu na majasho yetu! mwenye masikio na asikie!Ni mtazamo tu wa mimi kijana nisietaka kusikia mawazo ya wazee na sina chama wala itikadi wala manifesto!
Mkulima hahitaji serikali tatu anachotaka ni serikali moja itakayompa uhuru wa kumiliki ardhi na kulima popote na kuuza popote
Mfanyabiashara anachotaka ni serikali moja yenye sheria za biashara na kodi za aina moja na taratibu za aina moja zinazomwezesha kufanya biashara popote bila bughudha ya aina yoyote
Mfanyakazi angependa kuwe na serikali moja ambapo yuko huru kufanya kazi popote na kwa viwango sawia vya mishahara na marupurupu
Mvuvi angependa serikali moja inayomwezesha kuvua popote na kujiuzia popote
Kiongozi wa dini angependa serikali moja yenye sheria moja ambayo inamwezesha yeye kutangaza dini yake na kuabudisha popote bila vikwazo
Mwanafunzi angependa awe huru kusoma popote na kupata mkopo wa kusoma popote
Lakini wanasiasa ndio wanataka serikali tatu ili wawe na nyimbo zao,majeshi yao,balozi zao,na vyeo vyao vya kisiasa na mafungu yao ya kugawana mapato yatokanayo na kukamua kodi wanyonge
Wakili wa kujitegemea angependa serikali moja ya kumwezesha kufanya kazi zake popote bila vikwazo ndani ya nchi moja.
Mfugaji wa kuhama hama angependa serikali moja inayoruhusu yeye kujichungia mifugo yake popote penye malisho mazuri ya mifugo yake
Hivi hiyo tume ya Warioba ina uhakika kuwa wananchi ndio wanataka serikali tatu?
Mimi baada ya kuwahoji wanachi wa kawaida wengi wameruka kuwa hilo la serikali tatu anayelijua vizuri ni huyo warioba na tume yake na hao wanasiasa wa UKAWA.
Wataka serikali tatu wanaotoa hadi mapovu ni wanasiasa ambao wanaishi kwa kutegemea siasa tu na wanaofaidika na ulaji kodi za wananchi ila wanajaribu kutumia wananchi kama ngao ya ubaradhuli wao.
Chadema na CUF wanajua kuwa si rahisi wao kushika nchi ikiwa moja kwa sababu CUF ina nguvu sana Zanzibar lakini bara haina nguvu hivyo nchi ikiwa moja wanajua hawatapata kura bara na CHADEMA wanaona kukiwa na serikali moja watakwama kwa kuwa wana nguvu sana Tanzania bara lakini Zanzibar hawana nguvu hivyo kukitokea uchaguzi kukiwa na serikali moja wanajua watakwama. Hivyo makundi haya mawili ya CUF na CHADEMA yanapigania serikali tatu kwa kuota ndoto za Alnacha kuwa zikipatikana basi CUF itashika Zanzibar CHADEMA tashika BARA na CCM itaambulia hako kaserikali ka muungano kasikokuwa na NGUVU wala raslimali bali kanategemea michango ya washirika.
Ukweli ndio huo wanasiasa ndio wanataka serikali tatu na warioba akaona muhimu kuwasikiliza hao na akayaita eti ndio maoni ya wananchi sio kweli.
Katika vitu vya aibu ambavyo tume imefanya ni kuchukua maoni ya wanasiasa kuhusu serikali tatu na kuyaita maoni ya wananchi .Ni aibu kwa tume. Najisikia vibaya tume kwa hili imekula posho ZA KODI ZA WANANCHI bure kabisa.