Siri ya jinsi ya kupata demu/girlfriend/mchumba/mpenzi

makandokando

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
299
20
Ili mdada akupende inategemea vitu vingi sana ambavyo vinasababisha wakupende.

1. jiografia: sehemu wadada walipo. wanachopenda wadada wa tanzania ni tofauti na wanachopenda wadada wamerekani na nitofauti na wanachopenda wadada wakichina

2. kipindi: kipindi wadada walichopo nacho kinategemewa sana, wadada wa enzi za mawe walikuwa wanapenda vitu vofauti na wadada wa enzi za miaka ya giza (dark ages), na pia ni tofauti na wadada wa enzi zetu ja JF na FB na SIMU.

3. jenetiks: huyo mdada kazaliwa kwenye familia gani pia inatofautisha....kivipi?....wadada wengi wanatafuta wanaume wanaofanana na baba zao. Kwa hiyo mwanaume ukiwa na tabia zinazofanana na tabia za baba wa mdada fulani, basi huo mdada atakupenda.

Sasa kuna kupendwa kwa aina mbili:
1. kuonyeshwa mapenzi
2. kupendwa kwa dhati

Ingawa watu wengi sana wanasema wanataka mapenzi ya dhati, lakini ukweli ni kwamba watu wengi wanataka kuonyeshwa mapenzi tu.

Kuna tofauti kati ya kupendwa kwa dhati na kuonyeshwa mapenzi. Mdada anayekupenda kwa dhati, saa nyingine anaweza kufanya vitu ambavyo unaweza kudhani kuwa hakupendi. Na hii inatokana na udhaifu wa binadamu kushindwa kuona kilichopo ndani ya moyo au akili ya mtu.

Kuonyeshwa mapenzi ni rahisi zaidi. Mfano mzuri ni kwenye movie. Nadhani ukiangalia zile romantic movies, baada ya dakika kadhaa utasema kuwa yule mdada anampenda yule mkaka. Na unasema hivyo kwa sababu, unaona matendo yao...ingawa kikwelikweli wanaakti tu!

Kumbe basi unaweza kuigiza kuwa unampenda mtu, na huyo mtu na watu wengine wakadhani kuwa ni kweli kuwa unampenda.

Sasa kama unataka kuonyeshwa mapenzi (sio kupendwa kwa dhati), unachotakiwa kumfanyia mdada ni:
1. Mnunulie vitu...mnunulie kila kitu anachosema anataka, simu, umpe vocha, mpe nauli, na kadhalika.
2. Muonyeshe kuwa we unanguvu kuliko watu waliokuzunguka. Kiasi kwamba awe na wewe kwa ajili ya ulinzi.
3. vitu vingine nitatoa badae, mda umeisha.....nikirudi nitaelezea na vitu vya kufanya ili upendwe kwa dhati na sio kisanii.
 
Mkuu utakaporudi rekebisha na hapo, utueleze huyo baba ni wa Tabia gani, hivi kweli mchumba akikuona una Tabia kama za babayake za ukatili (wa kumpiga mamayake kila siku) na ulevi wa kupindukia wakutojali familia yake baba mwenye nyumba ndogo kila sehemu kweli huyo mchumba atakukubali?
 
Tunasubiri full data tuone kama tukilifanyia kazi hili litaleta majibu mazuri
 
Du...nashukuru Mungu nilivuka maeneo ya hivi...Sasa hivi nikiongea na mdada yeyote ajue namdanganya tu anipe nanihino!....siwezi kupenda mtu mwinginewe tena.
 
I
3. jenetiks: huyo mdada kazaliwa kwenye familia gani pia inatofautisha....kivipi?....wadada wengi wanatafuta wanaume wanaofanana na baba zao. Kwa hiyo mwanaume ukiwa na tabia zinazofanana na tabia za baba wa mdada fulani, basi huo mdada atakupenda.

Kama baba ya mdada alikuwa mlevi, mgomvi, mtu asiye na staha etc unatarajia huyo mdada atakupenda kwa vile tabia zako zinafanana na za baba yake! Kazi unayo!
Qualify hiyo statement yako.
 
nimerudi kidogo, naona kuna watu wanaulizia kuhusu wadada kumpenda mtu anayefanana na baba yake. Amini usiamini ni kweli. We angalia wadada wenye maboyfriend au walioolewa, halafu angalia wachumba/waume zao, then nenda kaangalie baba zao.

Hata wenye tabia za ulevi wanapendwa na ulevi wao. Ingawa kuna exceptions. Haya, narudi muda si mrefu kuendeleza libeneke.
 
Du...nashukuru Mungu nilivuka maeneo ya hivi...Sasa hivi nikiongea na mdada yeyote ajue namdanganya tu anipe nanihino!....siwezi kupenda mtu mwinginewe tena.

Vizuri kama huwezi kupenda mtu mwingine tena!!! Hata hiyo nanihino!.. si uridhike na huyo uliyempenda?? Haiwezekani au?? :msela:
 
Ntajumlisha na huu uzi wa ashadii wa sijui nini nini gives. Lakini unaongelea kutongoza kupata na kukosa. Ntakuwa komando sasa.
 
Back
Top Bottom