Siri ya Coca-Cola yafichuka

Waarabu ndio zao, Wivu unawasumbua mno.
Walishakuja na njia nyingine ya kujaribu kuhujumu Cocacola lakini wakashindwa.
Ona hii hapa theory nyingine, wakijaribu kulinganisha nembo ya Coca Cola na maandishi ya Kiarabu na kudai kua Cocacola linautukana Uisilamu.



Wivu tu unawasumbua waarabu kama kawaida yao.
 
ikithibitika ni kweli coca cola ina 'kilaji' bonite bottles wajiandae kuburuzwa mahakaman!
 

Ndiyo maana mwanangu siku moja alikunywa Coca Cola kidogo tu alichangamka kama kalewa- shit!!!!!!!!!!!!
 
Jamani hebu tuache utani!

Nani aache kunywa Coke? Tena Coke yenyewe iwe baaaaridiiiiiiiiiii!! Chezea kitu ingine siyo Coke Mkuu!!! Naona tena kama mmenihamasisha ngoja nitoroke ofisi kidogo nikaitafute sasa hivi ile baridi! Vita vya kibiashara (Pepsi na Coke) sisi havituhusu hivi!
 
Kwa hiyo hiyo coffee sio alcohol kama jamaa wanavyo taka kutuaminisha? au coffee ni sawa na alcohol?

kazi ya alcohol ni nini? si kulewa au kuvuruga ubongo?
kunywa kreti hata kumi uone kama utayumba.
ni fitina za kibiashara tu, na zaidi ubaguzi. wakati wakristo waliishi bila kuhamasisha ubaguzi,, waislam wanahamasisha kubagua, ndio chanzo cha hata hizi vurugu za uchinjanji zinazoendelea. wakristo sasa wamelazimishwa kubagua japokuwa hawakuwa hivyo.
 
Hawa jamaa wanakumbuka shuka wakati kumekucha? Coca - cola Open Happiness!
 

Kumbe shida imeanzia hapo kwenye Mecca Cola! Nilitaka shangaa kwaniformula ya coca cola tunayoinywa dunia nzima inachanganywa kwa siri na watu wawili tu. Wao pekee ndio wanaojua siri ya formula hiyo na ndio wanaojua password ya kufungua shelf ilimo formula hiyo. Dunia nzima viwanda vya koka vinapewa syrup ambayo tayari imesha changanywa wao waongeze vitu vichache tu kukamilisha radha. Ukoo wa aliyegundua formula ndio una hatimiliki ya formula ya coca cola mpaka . leo
 

wanaweza kususia au ndio wakanywa sanaaaaaa, wengine wanafakamia kileo kama kawa, kwa hiyo ukiwapa siri ndio umewahamasisha.
 

Naona maadili ya kikristo yale ukipigwa kofi shavu la kushoto mgeuzie la kulima, yameanza kutoweka
 
asante kwa hilo ila kwann uandike kichwa cha habar kwa lugha nyingine mada utoe kwa lugha nyingine mkuu?
 
Hii ni vita ya kibiashara.
Hii ni vita ya kibiashara nakubaliana na Katavi asilimia 99.99.Nakumbuka kuna wakati McDonald pia alipata mgogoro kuhusu uuzaji wa nyama (beef) Uarabuni.Na wakasema kwamba uchinjaji wao hauendani na taratibu zao za kiimani.Hivyo McDonald alikosa soko la beef huko Uarabuni.Sasa naona wanaanza tena na US Based Company Coca Cola tena....makubwa!
 
we ukiona hawa wanaanza mara coca ujue hapo zinaongelewa habari za dini hawana wanalolijua zaidi ya hilo kwamba coca ni za mengi na ni mkristo watu wasitumie watumie azam cola hujaelewa nini??

Sijawahi kunywa coca cola nikalewa, kwa hiyo hata kama ina alcohol nitaendelea kuinywa, binafsi AZAMU COLA hainipi ladha mzuri kwa hiyo nitaendelea kuinywa coca cola.
 
.......siku nyingi nimeacha kumywa soda coca na pepsi yake ... nimeambiwa ukiweka jino la mwamadamu kwenye glass ya soda coca au pepsi ndani ya saa moja utakuta limeyeyuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…