mtz one
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 4,275
- 1,222
mi mtu mzima nishaelewa promo ya mwenzao sheikh bakhresa teh teh teh kazi ipoKwahiyo hakuna ukweli wowote bali ni fitina tu?
mi mtu mzima nishaelewa promo ya mwenzao sheikh bakhresa teh teh teh kazi ipoKwahiyo hakuna ukweli wowote bali ni fitina tu?
Teh teh teh!una hisa ngapi kwenye kampuni ya Azam au ni mapenzi tu?Tunywe Azam Cola! Haina Kilevi
Mkuu umenichekesha sana,mbona umekwenda mbali sana?mi mtu mzima nishaelewa promo ya mwenzao sheikh bakhresa teh teh teh kazi ipo
Revealed at last: The secret recipe for Coca-Cola ....The drink can now be bought in more than 200 countries around the world. Here is the ‘secret recipe taken from Wikipedia see the link below:- Fluid extract of Coca 3 drams USP
– Citric acid 3 oz
– Caffeine 1oz
– Sugar 30 (it is unclear from the markings what quantity is required)
– Water 2.5 gal
– Lime juice 2 pints 1 qrt
– Vanilla 1oz
– Caramel 1.5oz or more to colour
– 7X flavour (use 2oz of flavour to 5 gals syrup):
– *Alcohol 8oz*
– Orange oil 20 drops
– Lemon oil 30 drops
– Nutmeg oil 10 drops
– Coriander 5 drops
– Neroli 10 drops
– Cinnamon 10 drops
Duh!mashikoro mageni,mimi hayo yote nilikuwa siyajui!Mkuu Buchanan
Hapa kwanza ujue kuwa wanalengwa wanywaji Coca Cola Waislamu & Ulimwengu wa Kiarabu
Kumbuka wakati wa Vita ya Iraq & Afghanistan ... Waislamu waliambiwa wasusie kunywa Coca Cola kwa sababu Marekani inawanyanyasa Waislamu duniani so waache kutumia bidhaa zao. Wakaaambiwa waanze kutumia Mecca-Cola.
... sasa ukisema kuna Alcohol kwenye Coca basi Waislamu wataisusia as hawaruhusiwi kunywa pombe ... wataacha kunywa na wataanza kunywa mbadala wa Coca Cola as wanai-promote Mecca-Cola ... (Soda ya Maka)
![]()
![]()
![]()
Kwahiyo hapa mkuu unataka kutuakikishia kwamba hii ni vita ya biashara tu!mkuu MM nakualika leo njoo na Coca yako hata nne ukitaka, kisha tupime wote mie na wewe Alcohol kama tutaikuta. najitolea kwa hilo...n about machine nina very sophisticated one which can detect even at 0.001 v/v alcohol.
i am sure there's no ALCOHOL
we ukiona hawa wanaanza mara coca ujue hapo zinaongelewa habari za dini hawana wanalolijua zaidi ya hilo kwamba coca ni za mengi na ni mkristo watu wasitumie watumie azam cola hujaelewa nini??Mkuu umenichekesha sana,mbona umekwenda mbali sana?
The answer is obvious,we should shop from drinking it!Mkuu MM,
Baada ya hii "secret" kugundulika unataka kusemaje?
Mimi namheshimu sana huyu MziziMkavu siamini kabisa kama lengo lake kuu ni hilo!na kama hilo ndiyo lengo lake basi atakuwa anafanya makosa makubwa sana!we ukiona hawa wanaanza mara coca ujue hapo zinaongelewa habari za dini hawana wanalolijua zaidi ya hilo kwamba coca ni za mengi na ni mkristo watu wasitumie watumie azam cola hujaelewa nini??
Duh!mashikoro mageni,mimi hayo yote nilikuwa siyajui!
hahaha mi simoMecca Cola ina mapepo!
Teh teh teh1umenichekesha sana mkuu!Mecca Cola ina mapepo!
Kwahiyo hapa mkuu unataka kutuakikishia kwamba hii ni vita ya biashara tu!
Mkuu upo sahihi kabisa!hiki ni kinywaji kinachokubalika kimataifa,na kama kungelikuwa na kasoro kubwa kama hii lazima ingeshajulikana siku nyingi sana!mkuu hiyo vita ya kibiashara tu.... nikuambie kitu kimoja mkuu, je wafahamu kuna dawa ukinywa huruhusiwi kunywa Pombe kabisa, sasa kweli mamlaka zote za dawa na chakula duniani zitaruhusu Coca iuzwe bila warning ilihali wanajua ina alcohol na watumiaji waweza kuwa watu wasiotakiwa kunywa alcohol kabisa due to drug interaction? haswaa? then itakuwa sio 10% wanahongwa, hii itakuwa 100% kuhongwa...
Nyama zipi hizo?
Walete hizo mbadala waone watakavyo susiwa kama nyama ilivyo tokea Mwanza.
kilo 2,500/- kwa sasa.
Warabu bwana? Na tayari ili wapate wateja wameweka udini mule kwenye post yao!!!!
Kifupi ni kwamba, madini ya cola, coffee ni element za sumu. sio mwana sayansi lakini kupitia mafundisho kadhaa iko hivyo. yaani mtumiaji mzuri wa coke hana tofauti na mtumiaji wa sigara japokuwa viwango vya athari watazidiana.
Lakini kwa blood pressure wanaweza kuwa ngoma droo.