Siri ya Coca-Cola yafichuka

Siri ya Coca-Cola yafichuka

Ile mirungi, hashishi na opium zinazolimwa huko somalia na afghanstan zinaliwa na kina nani?
 
kazi ya alcohol ni nini? si kulewa au kuvuruga ubongo?
kunywa kreti hata kumi uone kama utayumba.
ni fitina za kibiashara tu, na zaidi ubaguzi. wakati wakristo waliishi bila kuhamasisha ubaguzi,, waislam wanahamasisha kubagua, ndio chanzo cha hata hizi vurugu za uchinjanji zinazoendelea. wakristo sasa wamelazimishwa kubagua japokuwa hawakuwa hivyo.

Sio kila alcohol ni pombe! Alcohol pekee ambayo ni pombe ni "ethanol!" Zingine zilizobaki km methanol (methylated spirit), propanol, butanol, nk sio pombe japokuwa nazo zina madhara (side effects) kwa mwili wa binadamu kama ilivyo kwa chemicals nyinginezo. Je, hawa waarabu wamegundua alcohol yenye pombe kwenye coca cola au just any type of alcohol?
Mbona pia dawa mbalimbali za hispitali zina alcohols, hizo nako vipi, au issue ni coca cola tu?
 
aliyewahi kunywa coke na kulewa atusaidie majawabu, wengine tufu:shut-mouth:yetu
 
Utamaduni wetu 2mekuwa 2kiona wanaochinja ni waislam huwez kubadilisha asili na siku zote mazoea huwa sheria kwa wakati mwingine,tusitafute kupata mgawanyiko kwenye jamii tuwe makin na matumiz ya maneno
 
we ukiona hawa wanaanza mara coca ujue hapo zinaongelewa habari za dini hawana wanalolijua zaidi ya hilo kwamba coca ni za mengi na ni mkristo watu wasitumie watumie azam cola hujaelewa nini??
Kha!
:whistle::nimekataa
 
MziziMkavu are you Pepsi personnel?
Mkuu Ndibalema mimi ninapiga vita sio tu Coca Cola tu hata Azam Cola,Meka Cola, Juisi ya boksi,[TABLE="class: infobox hrecipe hproduct, width: 22"]
[TR]
[TH]products[/TH]
[TD]Pepsi
RC Cola
Cola Turka
Zam Zam Cola
Mecca-Cola
Virgin Cola
Parsi Cola
Qibla Cola
Evoca Cola
Corsica Cola
Breizh Cola
Afri Cola[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
mimi Kinywaji chochote kile cha Junk Food ninakipiga vita kiafya sijuwi wewe mwenzangu .

Side effects of Junk Food and Soft Drinks on health

ec9a7b169fee75b51f3c8d94d76cd3391b4a759de2c218a82ca0861842d67d7d26ad74e141193b9dd9d0e6b4067bd9abedb8ebb761fc88b5b312dd46022fec788a00ef6bdf623ab964cbd6442a9887c1e80e547c846d31323722fd345e3f9b81902be6f42fa0e92107e0c70b3ecb1c0e15504
junk-food%20bad%20effectsjpg%5B2%5D.jpg
images
junk-food.jpg
​
funny_fast_food_kids_gift_card-p137402231962673240b21fb_400.jpg

Regular consumption of junk food and soft drinks shows negative effect on health. People in these days are consuming soft drinks as an alternative for water. Consumption of junk food and soft drinks has increased remarkably over a decade. Human beings suffer a lot from health problems due to their negligence. Soft drinks like cola are high in sugar and calories which a human body does not need. Serious health problems are associated with regular consumption of soft drinks and junk food.

Effects on health:

Obesity:
Obesity is the main problem which is caused doe to excess consumption of soft drinks and junk food. The soda present in the cool drinks and the fats present in the junk food increases the problem of obesity. The sugar and calories which build up in the body due to the consumption of soft drinks and junk food do not generate any energy.

Addiction:

Regular consumption of soft drinks and having junk food will slowly turn towards addiction. This low nutrient food shows many side effects and causes health problems.

Bone strength:

Consumption of soft drinks and junk food has a deleterious effect on bone strength. It reduces the bone mineral density. Excess consumption of food like this increases the probability of bone fracture. It also create problems like tooth decay.

Heart diseases:

Junk food is the main cause of heart diseases. The carbonated soft drinks decrease the human body immunity power. Fat body makes heart suffer from many problems. The calories and sugar present in the soft drinks and junk food shows bad effect on the functioning of heart.
One should reduce the consumption of food which is injurious to health. Intake of homemade and healthy food decreases the probability of negative effects on health.
Side effects of Junk Food and Soft Drinks on health | Health
 
Last edited by a moderator:
Thread hii ni nzuri.It' so educative.Watu wanakula takataka huku wakijivuna eti wana hela na wasomi.Ujinga mtupu.Wasomi nawahurumia sana.Waende Ocean Road wakaone mziki ulioko kule,inatisha.We have to go back to our local foods,tetere nk.I am there already,karibuni,vinginevyo tutakwisha.
Mkuu Ndibalema mimi ninapiga vita sio tu Coca Cola tu hata Azam Cola,Meka Cola, Juisi ya boksi,[TABLE="class: infobox hrecipe hproduct, width: 22"]
[TR]
[TH]products[/TH]
[TD]Pepsi
RC Cola
Cola Turka
Zam Zam Cola
Mecca-Cola
Virgin Cola
Parsi Cola
Qibla Cola
Evoca Cola
Corsica Cola
Breizh Cola
Afri Cola[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
mimi Kinywaji chochote kile cha Junk Food ninakipiga vita kiafya sijuwi wewe mwenzangu .

Side effects of Junk Food and Soft Drinks on health

ec9a7b169fee75b51f3c8d94d76cd3391b4a759de2c218a82ca0861842d67d7d26ad74e141193b9dd9d0e6b4067bd9abedb8ebb761fc88b5b312dd46022fec788a00ef6bdf623ab964cbd6442a9887c1e80e547c846d31323722fd345e3f9b81902be6f42fa0e92107e0c70b3ecb1c0e15504
junk-food%20bad%20effectsjpg%5B2%5D.jpg
images
junk-food.jpg
​
funny_fast_food_kids_gift_card-p137402231962673240b21fb_400.jpg

Regular consumption of junk food and soft drinks shows negative effect on health. People in these days are consuming soft drinks as an alternative for water. Consumption of junk food and soft drinks has increased remarkably over a decade. Human beings suffer a lot from health problems due to their negligence. Soft drinks like cola are high in sugar and calories which a human body does not need. Serious health problems are associated with regular consumption of soft drinks and junk food.

Effects on health:

Obesity:
Obesity is the main problem which is caused doe to excess consumption of soft drinks and junk food. The soda present in the cool drinks and the fats present in the junk food increases the problem of obesity. The sugar and calories which build up in the body due to the consumption of soft drinks and junk food do not generate any energy.

Addiction:

Regular consumption of soft drinks and having junk food will slowly turn towards addiction. This low nutrient food shows many side effects and causes health problems.

Bone strength:

Consumption of soft drinks and junk food has a deleterious effect on bone strength. It reduces the bone mineral density. Excess consumption of food like this increases the probability of bone fracture. It also create problems like tooth decay.

Heart diseases:

Junk food is the main cause of heart diseases. The carbonated soft drinks decrease the human body immunity power. Fat body makes heart suffer from many problems. The calories and sugar present in the soft drinks and junk food shows bad effect on the functioning of heart.
One should reduce the consumption of food which is injurious to health. Intake of homemade and healthy food decreases the probability of negative effects on health.
Side effects of Junk Food and Soft Drinks on health | Health
 
Last edited by a moderator:
Mbona wa7to walisha shtuka cku nyingi? Lakini hapo changamoto unapinga coca unajdunga cgara na mirungi, hapo vp bakuru? Afghanstan na Somalia mirungi na bangi dini inaruhusu ispokuwa pombe ndo haramu.
 
Hebu jamani tuambieni tuache kunywa cocacola ina kilevi jamani?
Au ni maneno tu?
Sisi wengine madhehebu yetu seventh day adventist tuliishaambiwa kwa ushauri wa kiafya tuache kunywa coca cola zina cafeine na majani ya chai pia na kahawa lakini tulionekana watu wenye siasa kali sasa naona hapa ingredients za coca cola kuna cafeine jamani kweli naona licha ya hiyo alcohol hata cafeine nayo ni mbaya kiafya. Wenye ujuzi wa kitaalamu semeni mtusaidie cafeine ina ubaya gani?

mzizimkavu unatusaidia sana kuleta vitu vinavyoleta changamoto nawe tusaidie je kweli hii habari ni ya ukweli?
 
Sio kila alcohol ni pombe! Alcohol pekee ambayo ni pombe ni "ethanol!" Zingine zilizobaki km methanol (methylated spirit), propanol, butanol, nk sio pombe japokuwa nazo zina madhara (side effects) kwa mwili wa binadamu kama ilivyo kwa chemicals nyinginezo. Je, hawa waarabu wamegundua alcohol yenye pombe kwenye coca cola au just any type of alcohol?
Mbona pia dawa mbalimbali za hispitali zina alcohols, hizo nako vipi, au issue ni coca cola tu?

kama kwa hili jibu kuna mtu hajakuelewa, hakika hatoelewa tena
 
Ila hio soda ni tamu sana, pepsi kuna kitu wapunguze kwenye ile soda yao.
 
Back
Top Bottom