Siri nzito uteuzi wa Dr. Hamis Andrea Kigwangala kuwa mgombea wa ubunge jimbo la Nzega

ni mdau wa karibu sana wa JKM,pia alipewa fungu ktk pesa za epa na akashiriki ktk kutumia pesa zile kufungua kiwanda,akiwa na wenzake MWITA,SHEWEJI na yeye mwenyewe KIGWANGALA kiwanda kikaitwa MSK Solution

Naona unatattizo la kujieleza au uadishi. Jitahidi kugusa maeneo muhimu siyo kuongeza maneno. Maneno mengi hayana tija. Think more, write less.
 
fuatilieni story nzima ya uanzishaji wa kiwanda cha MSK Solution
Mwananchi Wa Mz; Karibu sana JF najua umekuwa ukihusika zaidi kwenye kusoma na ndio maana ukavutiwa kuwa member ili na wewe uweze kuchangia. Pia utakuwa umevutiwa na arguement za humu jamvini kwa the level of facts presented other than hear-say, so, naona itakuwa vizuri ukiweka evidence zako so that ambaye hana uwezo wa kufanya research ya vipi MSK Sol na nyingine nyingi tu zilianzishwa apate ukweli si unajua tena ukitoa assignments...:spy:
 
Naona unatattizo la kujieleza au uadishi. Jitahidi kugusa maeneo muhimu siyo kuongeza maneno. Maneno mengi hayana tija. Think more, write less.

inaelekea kama anaogopa vile!au yuko internet cafe anaogopa kukamatwa?
Weka full story acha kuweka vitu nusunusu.
 
mbona mnamkomalia sana mkuu, wote tumetoka huko, ndio maana ya kujifunza sasa kila mtu anarudia hayo hayo tu, au ni kampeni ya kumtetea huyo aliyetajwa, mkuu kama ni tetesi wajulishe ni tetesi sio lazima uwe na ngozi ya kila kitu ndio huseme, wakuu msiwe wavivu kuchimba kama mwenzetu kashindwa, cha kufanya mwenye data aweke hapa tafadhali, kama kuna mtu anajua chochote kuhusu MKJ SOLUTION
Karibu kijana umejitahidi kutuburuza ni hatuwa nzuri kwa mwali!
 
nimeweka thred wadau,ss unajua mambo ya ugeni ktk JF plz naomba mnisamehe kwa mapingufu hayo

Lakini kaa ufahamu, kujiunga jana tu Jamii Forum na kutuma tuhuma nzito hivi, inabidi uwe na strong evidence maana Dr kigwangala ni member humu na anachangia!
 
Ninavyoona,huyu jamaa ana data lakini tatizo lipo kwenye data presentation.Ni vema tukatambua kuwa baada ya matukio ya "kujivua magamba" huko Dodoma tutaletewa taarifa nyingi tu ambazo awali zilifichwa kwa vile wote walikuwa DUGU MOJA lakini sasa zinabidi ziwekwe hadharani kama sehemu ya kisasi.Anyway,ushirika wa wachawi haudumu,na haya ndio matokeo yake.
 
OK basi, mpeni benefit of the doubt, fwatilieni badala ya kumtafuna yeye... JF kwa kushambulia watu wapya... ndio anaweza kuwa ni mtu wa majungu tuu au hajui kujipanga...ila pia anaweza kuwa anaukweli ndani yake.. Naombeni mashambulizi yenu muyaelekeze hapa ukweli ujulikane..
MSK Solutions Ltd

Investment mpaka sasa kwenye hii MSK ni 5.9 million dollars from 'young entrepreneurs with college degrees' Kinda fits the profile, so naombeni mfwatilie...sio freshi kumsakama mchizi kivile...

KK
 
Binafsi namjua Khamis toka chuo, na kwamba ni mchapakazi, ila tuhuma hizo ni ngeni na nzito. Najua alianza biashara ya kununua pamba kwa mtaji mdogo hadi akapanda. Labda bro atujibu.
 
Yote yawezekana baada ya kujivua gamba la muhimu mwenye data na vielelezo aweke hapa? Tujue ufisadi ili uliofanyika ili tujue anabaki kundini au vipi?
 
Kama unayo si uilete?!
lengo la thread yako hii ni nini?, eleza unachofahamu ili nasi tuelewe!.
Pasco naomba tumjenge kwa maswali yatakayo mpa mtiririko mzuri wa uandishi,si kila mtu ni mwandishi mzuri au anayejua kujenga hoja vema.Ndugu zangu wa Jf tuwe tayari kuwaelekeza wengine na kuwasikiliza ili tupate mambo mengi zaidi.na amini hakuna hoja ya kipuuzi,bali kila mtu anawakilisha mawazo yake au mawazo ya watu wanao wazunguka.
 
nimeweka thred wadau,ss unajua mambo ya ugeni ktk JF plz naomba mnisamehe kwa mapingufu hayo

nashukuru umeliona hili kaka, tusiwe na fikra mgando ya kutokubali kukosolewa. Nawaomba wana jf tuvumiliane na tumwelekeze mtu umuhimu wa habari iliyokamilika na sio majungu majungu kama cc..
 
ni mdau wa karibu sana wa JKM,pia alipewa fungu ktk pesa za epa na akashiriki ktk kutumia pesa zile kufungua kiwanda,akiwa na wenzake MWITA,SHEWEJI na yeye mwenyewe KIGWANGALA kiwanda kikaitwa MSK Solution


Hamna issue hapa, achana na majungu!
 
mi ninachojua kutoka tetesi mbalimbali hamis kigwa alianza na biashara ya pamba baadae akatafuta kampuni inayodili na mambo ya kilimo wakaomba mkopo benk na nasikia walikula kama bilion moja kwa ajili ya kuwawezesha wakulima ma pamba kwa kununua pamba yyao kwa bei nzuri. Baada ya hela kuingia ikatolewa yote na haikufanya kilichotakiwa ifanyie wakurugenzi wa kampuni wakaanza kugombana mana wengine hawakujua kinachoendelea
 
nimefuatilia mtandaoni sijaona chochote cha ajabu labda kama una ka - document kokote confidential utuhabarishe. lakini kama umetumwa na Kigwangala mwenyewe ili ututest na ajue sie tunafahamu vipi mambo yake itakuwa mbaya maana humu kila knachodokezwa sometimes tunafuatilia hadi mwisho sasa ngoja uje uone. Hadi kubenea kaiona hii, anaanza kuinvestige muda si mrefu. Mie nimeona taarifa hizi kuhusu MSK mbali na website yao www.gmdu.net/corp-726304.html
 
Of course it is a matter of time tu kabla ya habari kama hii kuibuka kuhusu hii njemba..Kigwa -nani sijui..hata ukiangalia tu picha kwene profile yake na michango yake humu jamvini you will get half the story .. sad hii ndio tabaka jipya la mafisadi CCM-magamba...no prospect for this sad excuse of a country.
 
Wana JF, tusidharua hii thread iliyoanzishwa. Mimi naamini kuna ukweli ndani yake kwa watu wanaomjua Mh. Hamis Kingwangwala wanajua nimpiganaji haswa wa maslahi yake. Yuko tayari awauze watu wake ili apate fedha.

Huyu mheshimiwa wakati enzi zake za urais wa DARUSO muhimbili chuo cha madaktari (MUCHS) nina taarifa kuwa alikuwa anakula na uongozi wa juu (uongozi wa chuo chin ya prof. Jaco Mutajabaji) na kuacha kutetea maslahi ya wanachuo wenzake waliompa dhamana ya kutetea maslahi yao. Alidiriki hata kukubali wanafunzi wakatwe pesa ili wanunue tai za chuo wakati alijua chuo ndio kilipaswa kifanye hivyo! Ndo sembuse ashindwe kushiriki kwenye EPA?

Pia taarifa zinasema bwana Hamis ni mtu mwenye jazba sana ngumi mkononi! Wakati akiendeshaga vikao vya DARUSO pale MUCHS alikuwa anajazba kiasi cha kutaka hata kupigana na watoa hoja ambao walikuwa wanapingana nae kwa nguvu ya hoja.

Aliwahi hadi kufunguliwa mashtaka polisi kwa kumshambulia mwanachuo mmoja anaitwa Tata ambaye alikuja kuwa kwenye uongozi wa DARUSO.

Na bungeni au jimboni kwake tusije shangaa atakaporusha makonde! Na pia tusishangae atakapoendeleza ufisadi. Hii kutetea wananchi wake kwenye issue ya madini ni kutafuta umaarufu wa haraka lakini mh. Hamisi kwa kifupi ana element ya ufisadi tangu akiwa anasoma chuo chao cha madaktari muhimbili.

Kwahiyo tusipuuzie hii thread iliyoanzishwa. Tuifuatilie na kudodosa.
 
Sijui sana habari Kigwangala ila MSK Solution bought a cotton ginnery originally known Lintex ipo Mwalujo-Mwanza once owned by an Indian.
Nachojua there was no bank loan in the purchase ndipo swali la 'who was behind the deal' linapokuja. Kile kiwanda kikubwa sana, pengine dola 5m. Nawajua mwita na shewej, sasa buying a ginnery frm nowhere lazima kulikuwa na some easy funding.

Kina Kapuya na Chenge wana viwanda vya pamba lakini wameweka front desk managers so I wont be suprised to learn some powerful being is behind MSK
 
Back
Top Bottom