Yes inawezekana ikawa hivyo, lakini pia uenda kuna matabaka ndan ya timu unajua mzungu kulalamika sio mara moja kuna mechi moja hiv yeye na peter banda ten mzungu alilalamika na hapo kisa ni pasi akupewa inawezekana kuna ka hali cha kumtenga mzungu hapo 🙆🏻♂️Okrah itakuwa kuna neno alitamka
Hiyo video iko hapo chini?Anaandika Shaffi Dauda
Simba kuna vitu havipo sawa, lakini ni zile zile stori za kuvalishana suti kwenye vumbi au kuifunga Bugati injini ya bajaj ila haibadili kuwa kuna mengi hayapo sawa.
Tazama vyema hii clip, tazama namna Dejan na Okrah walivyotoshana nguvu, haya tunayaona sisi uwanjani vipi ya nyuma ya camera?? Iko sawa?
Matokeo ya mpira wa miguu yanapatikana na mambo mengi sana, matokeo ya mpira wa miguu moja wapo ni harmony na upendo baina ya wachezaji, hii haina picha nzuri tena kwenye mchezo tu wa kirafiki.
Time will tell.
True.Yes inawezekana ikawa hivyo, lakini pia uenda kuna matabaka ndan ya timu unajua mzungu kulalamika sio mara moja kuna mechi moja hiv yeye na peter banda ten mzungu alilalamika na hapo kisa ni pasi akupewa inawezekana kuna ka hali cha kumtenge mzungu hapo 🙆🏻♂️
Hiyo video iko wapi?Anaandika Shaffi Dauda
Simba kuna vitu havipo sawa, lakini ni zile zile stori za kuvalishana suti kwenye vumbi au kuifunga Bugati injini ya bajaj ila haibadili kuwa kuna mengi hayapo sawa.
Tazama vyema hii clip, tazama namna Dejan na Okrah walivyotoshana nguvu, haya tunayaona sisi uwanjani vipi ya nyuma ya camera?? Iko sawa?
Matokeo ya mpira wa miguu yanapatikana na mambo mengi sana, matokeo ya mpira wa miguu moja wapo ni harmony na upendo baina ya wachezaji, hii haina picha nzuri tena kwenye mchezo tu wa kirafiki.
Time will tell.
OK mlete mzunguuuuuuuuNyingine hii hapa
Hahah! Leo Makolo mnateseka vipi kuhusu Jemedari yeye daily na yanga na manara kuisakama yanga tu hata yaukweli yeye anakataa iweje huyu Shaffi!!, kawaduwaza mmebakia kulalamika, mmenywea na mmekua wadogo Kama pilitino na uzuri Kuna hadi vidhibitisho namnakataa Manyonyo bhana 😀 😀Mnayakuza tu! bongo uchochezi mwingi hakuna jambo zito la kufanya watu mfuatilie hadi mkose usingizi...