Siri niliyooneshwa kuhusu nchi yangu Tanzania

Taja umri wako kwanza.
1. Vijana wataona maono
2 mabinti watatabiri
3. Wazee wataota ndoto
Hawa ni wale wanaokwenda kwa haki mbele za Mungu na wanaadam
Wewe uko kundi lipi?
 
Taja umri wako kwanza.
1. Vijana wataona maono
2 mabinti watatabiri
3. Wazee wataota ndoto
Hawa ni wale wanaokwenda kwa haki mbele za Mungu na wanaadam
Wewe uko kundi lipi?

Ujana unaishia miaka mingap Bro. But niko under 40s
 
Unautaka ukuu wa wilaya wewe, hali ngumu kiasi hiki wewe huoni, labda kuna Tz nyingine kwenye hii dunia

Soma vizuri content ndugu. Hayo ni mawazo potofu wala hayana uhusiano na post yangu
 
Ndugu njia ya kwanza kupima maono au ndoto ya Mungu ni kutazama ulichokiona Kama kina endana na neno la Mungu .

Kwa ufupi, hiki ulichokiona ni mtazamo juu ya kiu ya kufanikiwa uliyonayo ila has nothing to do with the future of this nation.

Kibiblia siku zijazo zitakua nzito kuliko zilizopo leo.

Asomaye na afahamu
 
Wewe umeona ukiwa unaendesha gari la rangi gani?
Maana nimeishia hapo uliosema umeona sijui akina nani wakiendesha magari ya kijani..!
Eeenh Heee, hii ya "MAGARI YA KIJANI", mbona kuna neno hapo!

Mleta mada, pambana ndugu, hata hicho kidogo ulichokuwa ukikipata kabla ya ndoto hiyo kisijeyeyuka, huku ukisubiri yasiyokuwepo na hayatakuwepo kwa miaka mingi ijayo.
 
Watu wa Lumumba bwana..mmekuja kwa staili ya ndoto saivi ...nyie endeleeni na mambo yenu mbona mnababaika sana ..si mlishajipa ushindi wa kishindo ..kila mtu afanye mambo yake.

Halafu kijana nakusikitikia, huna kazi huna lolote unalofanya, una njaa, huna pesa, unaanza kuiota bongoland shauri lako

Haya ni Maoni yako ndugu. Na me nayaacha kama yalivyo. Pia ni tabia ya watu wengi humu ku under estimate mawazo ya watu ama kudharau watu ambao mawazo yao hayajawapendeza.
 
Ndugu njia ya kwanza kupima maono au ndoto ya Mungu ni kutazama ulichokiona Kama kina endana na neno la Mungu .

Kwa ufupi, hiki ulichokiona ni mtazamo juu ya kiu ya kufanikiwa uliyonayo ila has nothing to do with the future of this nation.

Kibiblia siku zijazo zitakua nzito kuliko zilizopo leo.

Asomaye na afahamu

Ahsante sana kwa mawazo yako pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom