Hali NGUMU ulonayo ya kimaisha,ndio imekufanya kuyaota Yale unayoyatamani. Na unayoyawaza kila SIKU KTK MAISHA YAKO... NAKUSHAURI KUNYWA PEPSI BARIDI ,THEN TAFAKARI SANA, UNAKOKWENDA KIMAISHA.... MAANA KUNA siku utaiona Tanzania yenye malaika na shetani wakicheza pamoja.
Wewe ni mtu wa ajabu unaeitakia nchi mabaya. Nchii hii haitakaa kupita kwenye laana unazozitamkia wewe. Zikurudie wewe Mwenyewe na familia yako na sio Tanzania na watanzania.
Mungu ibariki Tanzania