Siri kuu 4 usizozijua wazitumiazo wafanyabiashara wakubwa kuwa juu zaidi ya wajasiriamali

Status
Not open for further replies.
Biashara2000 Kubali kuwa unafanya biashara kama hao wengine. Mbona tumekuwa tukiextract knowledge kubwa kabisa kwa namna mbalimbali free of charge.
Kila mdau akija hapa kwa gear ya kuelimisha kwa hela mmh jf wanyonge tutaikimbia.
Tuboreshe jukwaa letu jivunie kuwa mtu anaeifanya JF kuwa kimbilio la kubadili maisha na muonekano!
 
Last edited by a moderator:
Nimeshakutumia boss. Hivi nikitaka kwenda kusoma finland masharti yake ni nini? maana nimechoka huu umaskini wa bongo nataka nijilipue mtoni

Elimu finland ni bure. Ila walisema kuanzia mwaka huu wataanza kutoza ada. Ila wanasemaga hivyo miaka nenda rudi. Ila elimu ni free. Unaaply kupitia admissions.fi halafu unachagua kozi na kutuma vyeti vyako kwa njia ya posta. Kama wakikuchagua watakutumia barua uende. Ila kwenye kuomba viza watakwambia uwe na euro 6000 bank kama guarantee ya usalama wa wewe kuishi kule ili usiwasumbue. Ila mara zote watu huwa ni hela nyingi kuwa nayo so mtu unaazima hizo pesa kwa mtu, unaweka kwenye account unaprint bank statement then unawarudishia watu hela zao. So technically elimu ni free maana baada ya kupata viza hulipii chochote huko chuo.
 
Asante kwa hiyo info. Ila tiketi unalipia mwenyewe, si ndio?
 
Biashara2000 Kubali kuwa unafanya biashara kama hao wengine. Mbona tumekuwa tukiextract knowledge kubwa kabisa kwa namna mbalimbali free of charge.
Kila mdau akija hapa kwa gear ya kuelimisha kwa hela mmh jf wanyonge tutaikimbia.
Tuboreshe jukwaa letu jivunie kuwa mtu anaeifanya JF kuwa kimbilio la kubadili maisha na muonekano!

Of course ni vizuri kufanya JF kuwa bora ndo maana fee yangu ni ndogo sana, pili elimu nayotoa mimi ni experience na si theory kama zilivyo free info online. Ila kila mtu ana uhuru wa kufuata njia anayoona ni cheap kwake.
 
Basi japo ungekuwa unakianika hapa baada ya kupata supernormal profit kwenye mauzo yako. Yaani kama thanks giving ili kizazi kijacho tukiachie urithi uliotukuka.
Anyway ni ushauri na mawazo yangu tu, ukiona inafaa fanya hivyo mkuu.
 
Hizo njia 4 ziko wapi?
Anaekuibia 250,000 na anaekuibia 15,000 wote wezi tu, tofauti viwango, tena wa 15000 ana uwezo wa kuwaliza wengi kuliko wa 250000 :ranger:
 
.Kabla sijaanza kufanya biashara zangu miaka kadhaa iliyopita nilihudhuria semina kadhaa za ujasiriamali zitolewazo hapa nchini. Gharama ya mafunzo yale ilikuwa sh. 255,000 kwa siku kadhaa Kule nilipata mafunzo kinyume kabisa na jinsi nilivyofundishwa na wale walimu waliojiita walimu bora wa ujasiriamali Tz.

......Nawe waweza fanya vivyo hivyo kwa kupata ebook (softcopy) ninayoiuza kwa sh. 15,000/- tu.

what is the difference kati ya walimu wa ujasiriamali na wewe...watanzania tuna ugonjwa wa ajabu sana
 
what is the difference kati ya walimu wa ujasiriamali na wewe...watanzania tuna ugonjwa wa ajabu sana

Mi sitoi theory ila ni experience yangu kama mfanyabiashara. Halafu pia nadhani sisi watanzania ni watu wazuri sana, naomba usiwatukane watz kwa kuwasema wana ugonjwa wa ajabu. Na wewe si mtz so una ugonjwa wa ajabu???
 
Nadhani hicho kichwa watu wataelewa. Usi wa under estimate watu kaka

Ulivyoandika ni kama hayo majibu yapo kwenye post hii wakati sio kweli, anyways poa mkuu, kila lakheri on your business. Also hongera kwa ku inspire watu kufanya biashara.
 
Mkuu mimi nitapingana na wewe kwa jambo moja tu, Tatizo sio kuchaji kiwangi kikubwa Tatizo ni kwamba je hao wanao fundishwa wako willing na ndo zilikuwa Dreem zao? Kwanza kubaliana na mimi kwamba Ujasiriamali haufundishwi ila skills mbali mbali ndo zinazo fundishwa.
KOSA HUFANYIKA WAPI?

Watu wengi wamekuwa wakitoa mafunzo mbalimbali some time kwa nia nzuri na wengine kibiashara kabisa, Ila kama wanao fundishwa hawako commitement ni kazi bure, ishu sio mafunzo ishu ni kwamba hao wanao fundishwa wako willing? wako commited? wana capacity ya kufanya hivyo?Kama watru hawako commited hata ungeya toa bure ni kazi bure mkuu, 

NINI CHA KUFANYA?

Kozi hizi zinatakiwa zi walenge wale walioko kwenye hiyo industry, endapo utawapataambao tiyari alisha anza kutengeneza mkaa localy na akapata elimu huyo unaweza songa mbele, Ila ukapata muuza Machingwa na kumfundisha kutenegneza mkaa hapo ni ngumu anaweza kubali kwa kuangalia faida iliyopo na baada ya kingia na kukuta mambo ni tofauti inakuwa ni ishu.
 
Huna tofauti na hao unaosema wnawaibia watu kwa topic zao, kama una lengo zuri toa hiyo elimu bure, otherwise badilisha kichwa cha habari cha sredi yako
 
Habari zenu. Kutokana na umuhimu wa topic yenyewe inavyowasumbua wajasiriamali wengi wadogo nchini, nimeona umuhimu wa kutoa nafasi hii kuwafahamisha siri kuu 4 usizozijua wazitumiazo wafanyabiashara wakubwa kuwa juu zaidi ya wajasiriamali.

Kabla sijaanza kufanya biashara zangu miaka kadhaa iliyopita nilihudhuria semina kadhaa za ujasiriamali zitolewazo hapa nchini. Gharama ya mafunzo yale ilikuwa sh. 255,000 kwa siku kadhaa. Nilipotoka pale nilijaribu kutumia mafunzo yale kuyaweka katika biashara yangu ila biashara ile ikafa. Baada ya biashara ile kufa, Mungu alisaidia nikapata nafasi ya kwenda kusoma katika chuo kikuu nchini Finland kiitwacho Rovaniemi UAS (sasa Lapland UAS). Kule nilipata mafunzo kinyume kabisa na jinsi nilivyofundishwa na wale walimu waliojiita walimu bora wa ujasiriamali Tz.

Nikagundua kuwa wamama na vijana wengi nchini wanaibiwa hela zao na watoa mafunzo mbalimbali ya ujasiriamali nchini wanaotoa mafunzo yasiyosaidia kabisa kufanya biashara za wajasiriamali nchini kukua, maana kama zingekuwa zinasaidia basi leo hii tungeona mabadiliko makubwa sana katika hali za maisha za wajasiriamali wetu nchini.

Nchini Finland tulifundishwa jinsi wafanyaiashara wakubwa wanavyofanya biashara tofauti kabisa na wajasiriamali wadogo. Na hii imewasaidia biashara zao walizozianzisha zikiwa ndogo, kuwa kubwa ndani ya muda mfupi na kupata faida kubwa. Nimeamua kuwasaidia wajasiria mali wadogo nchini nao wafahamu ujuzi huu kwani baada ya kurudi nchini na kuanzisha biashara yangu ya kutengeneza mkaa wa kisasa na kutumia ujuzi ule, nimeona mabadiliko makubwa ndani ya muda mfupi. Nawe waweza fanya vivyo hivyo kwa kupata ebook (softcopy) ninayoiuza kwa sh. 15,000/- tu.

Kitakufundisha kuacha kuwa mjasiriamali na kuwa mfanyabiashara kamili mwenye kuingiza faida na si kipato cha kula chakula kwa siku. Pia kitakuonyesha ni jinsi gani umekuwa ukidanganywa na kuliwa pesa zako bure miaka nenda rudi na biashara yako hailui. Kwa anayekihitaji tafadhali usisite kuni sms, PM au kunipigia 0758 308193.

Biashara sio ngumu kama unavyodhani wala si complicated kama wao wanavyotaka ufahamu. Siri wanayotumia ni kufanya biashara ionekane ngumu ili uone huwezi kufanya ili uendelee kufikiri unahitaji elimu zaidi na kuendelea kuhudhuria mafunzo yao na wao waendelee kukuibia. Biashara inahitaji vitu 4 tu ambavyo ni rahisi kufanya na hivi ndivyo wafanyabiashara wakubwa huvitumi na wajasiriamali wadogo hawavitumii. Walimu hawa wanakutisha kwamba changamoto za biashara ni ngumu na wewe huwezi pambana nazo eti mpaka upate mafunzo yao hayo expensive, wakati ni njia nne tu unatakiwa uzitumie na hizi challenges huwezi kumbana nazo. So chukua nafasi hii kujifunza real business na si watu hawa wanaokulisha theories ambazo wao wenye haajawahi zitumia. Chaguo ni lako wengine wanasema kazi kwako

Asanteni

ahhhhahaha naww umekuja na gia ya kuwaponda wengine kumbe ni walewaleee
 
umesema umefanikiwa mi sijafanikiwa bado 15000 unaitaka tunaenda wapi sisi ?
Au mwenye nacho anaongezewa na asiyenacho anaporwa hata anachohisi anacho. Jipange hatuibiwi
 
Mkuu mimi nitapingana na wewe kwa jambo moja tu, Tatizo sio kuchaji kiwangi kikubwa Tatizo ni kwamba je hao wanao fundishwa wako willing na ndo zilikuwa Dreem zao? Kwanza kubaliana na mimi kwamba Ujasiriamali haufundishwi ila skills mbali mbali ndo zinazo fundishwa.
KOSA HUFANYIKA WAPI?

Watu wengi wamekuwa wakitoa mafunzo mbalimbali some time kwa nia nzuri na wengine kibiashara kabisa, Ila kama wanao fundishwa hawako commitement ni kazi bure, ishu sio mafunzo ishu ni kwamba hao wanao fundishwa wako willing? wako commited? wana capacity ya kufanya hivyo?Kama watru hawako commited hata ungeya toa bure ni kazi bure mkuu, 

NINI CHA KUFANYA?

Kozi hizi zinatakiwa zi walenge wale walioko kwenye hiyo industry, endapo utawapataambao tiyari alisha anza kutengeneza mkaa localy na akapata elimu huyo unaweza songa mbele, Ila ukapata muuza Machingwa na kumfundisha kutenegneza mkaa hapo ni ngumu anaweza kubali kwa kuangalia faida iliyopo na baada ya kingia na kukuta mambo ni tofauti inakuwa ni ishu.

1. Mafunzo haya si kwa ajili ya watengeneza mkaa, ni kwa ajili wa wafanyabiashara wa biashara zote

2. Kila mtu ana chaguo la kujifunza kwa aina yoyote ya njia. Inaitwa soko huria. Ni kama dini unaambiwa uchague mwenyewe uabudu kupitia dini gani. Sijui kwanini watu hawqaelewi hii analogy. Hulazimishwi kujifunza kwangu. Mtu una uhuru wa kujifunza popote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom