Siri kuhusu wajumbe wateule wa tume ya katiba

Jaji Ramadhani ni mtu wa kujipendekeza sana, weak, hana msimamo. nafasi hiyo apewe jaji kisanga.
Humu pia angekuwemo Jenerali Ulimwengu, Issa Shivji na Ananilea Nkya
 
Jaji Ramadhani ni mtu wa kujipendekeza sana, weak, hana msimamo. nafasi hiyo apewe jaji kisanga.
Humo kwenye tume pia angekuwemo Jenerali Ulimwengu, Issa Shivji na Ananilea Nkya
 
View attachment 51511Hata mimi ningekuwa Raisi Jambo la Kutia aibu kama hili Linaweza likakusosesha kuupenda Mpira Mwinyi aliishia kusema Tanzania ni Kichwa cha Mwendawazimu

Limkapa Mie Huwa Sipendi kulisikia ... Most of the Time napatwa na Chafya huyo Jamaa akitamkwa... Nadhani Motoni keshaandaliwa mahali pake pa Moto

Tena panakaribia kuungua.
 
Utawajua tu watu wasio na HOJA, hata ONTO ANALYSIS hawawezi kufanya.

FACT KATIBA Mpya haijawahi kuwa SERA ya CCM.
RAIS ameomba mapendekezo kutoka asasi mbalimbali. Asasi zimepeleka majina according to their preference. Badala ya Rais kuchukua namba 1 au 2 Yeye anachukua namba 4 au 5, bado huja smell rat?
Kwahiyo wewe unaona ni RIGHT RAIS kuchagua wajumbe wanaosema NDIYO BWANA kwa kila kitu kinacholetwa SERIKALI?
Go back the drawing board dude!

ngoja nianze na wewe kabla sijamjibu mwenye thread... umesema rais aliomba majina matano kutoka katika asasi mbalimbali na ye akachagua yale majina ya mwisho ambao ndo wajumbe waliopo.. sasa we ndugu hata uwezo mdogo wa kufikiri huna .. kwani hao wa mwisho si walikuwa bado ni ndani ya mapendekezo ya asasi husika au uliambiwa ni mashindano ya umisi kwamba mshindi wa kwanza ndo apewe zawadi. ingekuwa raisi kateua nje ya majina hayo hapo sawa kulalamika. au hayo majina yalipangwa in cronological order regarding how best is a person?, which is nonsense. shirikisha ubongo kwenye kufikiri na sio 'ur back'
 
Huyu Humprey Pole pole ni Fisadi ametafuna fedha nyingi sana za wafadhili zilitolewa kwa asasi anayoongoza Tanzania Youth Coalition (TYC) kwa ajili ya kukuza ajira na ujasiriamali miongoni mwa vijna kiasi cha wafadhili mbali mbali kusitisha misaada kwa asasi hiyo.

kama huna ushahidi huna haki ya kuongea.. zaidi yatakuwa na majungu ambayo si sahihi kwa great thinkers... simtetei hivyo ila huwa sifurahii jf inapotumiwa kuwapaka watu pasipo kuweka na ushahidi wa tukio husika.
 
Ndio hao hao. Ni dini na taifa.

Mkuu, kama jambo hulijui lipishe lipite usilazimishe kwa hisia.
Kumbuka, All jews are Israelites or at least have the origin of Israel, but not all Israelites are Jews. In Israel there are jews, christians, musilims etc, etc, like in any other country in the world.
 
Hii Scandal nilikuwa nimeisikia lakini sikupata details zake vizuri sana!!
Taarifa ambayo sikuithibitisha ni kwamba ilidaiwa kulikuwa na Mafunzo mbali mbali kutolewa kwa Vijana kama Vile Ujasiriamali ambapo alikuwa ana watoza wakati yeye katika Proposal yake ya Kuiombea hela mradi kashalipwa gharama zote za hiyo tranining!!

umesikia huna ushahidi.. ndo hayo hayo majungu ninayosema.. toa vielelezo hata kwa hao waliotozwa pesa au hao wafadhiri waliositisha misaada.. acha umbea na majungu.. kama wewe ni mwandishi basi utakuwa wa magazeti ya shigongo (udaku)
 
Kumbukeni mwanzo tulikuwa na Chama kimoja yaani (TANU, ASP,) CCM. Hivyo wanasiasa na wasio wanasiasa walikuwa wanachama. Baada ya kuanzishwa kwa vyama vingi waliotoka walitoka na waliobaki wamebaki, na hata baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani walikuwemo. Binadamu hubadilika, kimsimamo na kitabia hivyo kutafuta taarifa za siri za wajumbe walioteuliwa ni kupoteza muda tu, isitoshe hakuna kanuni iliyopitishwa inayosema Rais akishateua wajumbe basi wananchi wawajadili na kutoa maoni yao. Muhimu ni nini watakachotuletea.
 
Kwa Kuongezea tu Kuhusu huyo ndugu Polepole alisoma Sekondari Azania Dar es salaam Mwaka 1997-2000 akachaguliwa kwenda Shule Benjamin William Mkapa Mwaka 2001,Katika Matokeo ya kidato cha Sita alipata 0(Zero),Kuthibitisha hili sio shida,Nenda Baraza la Mitihani pata matokeo ya Wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha 6 Mwaka 2003 BWM Secondary School!!

Katika Maisha yake ya Shule hasa Azania,aliwahi Kuongoza Azania Debating Society akisaidiwa na baadhi ya watu akiwemo Bwana Nyakia Ally(Sekretariet Member wa TYC) alikuwa ni Mzungumzaji Mzuri mbele ya hadhira na anapenda Kuongea Kiingereza!!!

Inasemekana in recent years,alisoma Chuo Cha Maendeleo Tengeru Arusha and some online course!!

Kuhusu kama atafanya kazi Nzuri kwenye hiyo Tume jibu ni HAPANA,Kwa sababu asasi anayoiongoza ya Tanzania Youth Coalition haifanyi kazi ya Utetezi wa Vijana ndiyo maana kwenye Mambo yote ya Msingi kuhusu Vijana,Polepole amekuwa mtu wa kuchukua msimamo Neutral au wenye mlengo wa kuitetea Serikali ya Ccm!!

Katika Chaguzi zote kuu ukianzia wa Mwaka 2005 hadi wa Mwaka 2010 TYC imekuwa bubu kana kwamba haifanyi kazi ya Uanaharakati!!

Asasi hii imegeuka tu kuwa genge la watu kupata fursa za kuhudhuria mikutano mbalimbali ya ndani na nje ya Nchi ili kupata senti za Kujikimu kwa wajumbe wasiobadilika Wa Sekretariet kama Vile Juma Mkuu,Nyakia Ally,Lenin Kazoba et all

Kwa haiba,ana uwezo mzuri wa kujieleza,Mwoga wa Changamoto kutoka kwa watu wanaonyesha Uwezo ndiyo maana anafanya kazi na watu walewale kwa zaidi ya Miaka 7 tangu ofisi zilipokuwa kwenye jengo la MS Upanga mpaka sasa pale Kijitonyama Karibu na shule ya Msingi kijitonyama,Kuna Jengo la Ghorofa ndipo zilipo Ofisi za Shirika hilo ambalo linajitambulisha kama Umbrella Organisation ya asasi za Vijana Tanzania!!

Itoshe kusema Polepole hawezi kusimamia Maslahi ya Taifa na hasa Vijana,ni Mtu wa Ccm ndiyo maana hata juzi katika kipindi cha Adam Sembeye cha This Week In Perspective alikuwa anaongea Porojo tu na hatoi Msimamo yabisi Kuhusu hatma ya Ajira za Vijana hapa Bongo!!

Humphrey Polepole atakuwepo pale kufanya Mapenzi ya aliyemchagua tu,kuhusu hili nina hakika kwa 100%

sasa nakuelimisha kidogo we unayejiita paparazi kiazi ambae umeita hizi habari ni siri wakati hadi wewe unazijua.. sasa usiri u wapi? .. nahisi hustahili kuwa mwandishi wa habari za kiuchunguzi.. hufanyi uchunguzi thabiti bali unakurupuka.. uliyosema kuhusu polepole upo sahihi kidogo.. lakini si kwa sababu umefanya uchunguzi ila ni kwa sababu unamfahamu... na mi ntakujibu kwa kutumia ufahamu huo huo ila sio kimajungu kama wewe.. nimesoma na polepole kuanzia shule ya msingi mbuyuni pale ostabei na sekondari pale azania. alichokipitia ndicho nilichokipitia pia. alikuwa mbele yangu madarasa mawili.. ni mtu mwenye vipaji vingi ikiwemo uchoraji toka shule ya msingi mpaka sekondari ameshiriki mashindano mengi ya uchoraji na debate ndani na nje ya nchi na kujipatia awards mbalimbali....

polepole ni kijana mwenye uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja na kuisimamia hasa yenye mlengo wa kimaslahi ya vijana.. nimeshiriki nae mikutano mingi ya ndani na nje ya nchi toka tukiwa tuna volunteer pale unicef hq.. kwa habari zake zaid juu ya hili nenda kwenye balozi za nchi za ulaya na marekani au unicef wanamfahamu vizuri misimamo yake juu ya mambo ya vijana. tumefanya kazi pamoja katika kuandaa MKUKUTA na SERA YA VIJANA ya mwaka 2005 kupitia unicef ambavyo nadhani wewe unavisikia tu. mapendekezo yake mazuri ndio yanayotumika mpaka sasa. kama sera haitusaidii vijana au haijulikani basi tatizo ni serikali si yeye.

nakuja kwenye hoja yako dhaifu.. umesema amepata zero form 6 sikumbuki kama ni kweli.. lakini nadhani hujahusisha hili la elimu na uwezo wake katika tume ya katiba.. kuna sababu nyingi za mtanzania kufeli mtihani wa mwisho.. ikiwemo na mfumo mbovu wa elimu.. unaomuhitaji mwanafunzi kusoma pekee pasipo kushiriki ktk shughuli zingine za kimaendeleo tofauti na nchi nyingine. kitu ambacho si sahihi kwa dunia ya sasa. ila o level alipata div.one. lakini pia umesema alisoma chuo cha maendeleo tengeru na online courses kitu ambacho kinaififisha hoja yako ya kupata zero.. kwamba pamoja na kufeli sekondari bado alijiendeleza zaidi.

tukiongezea hapo, bado tanzania hatujathibitisha kwamba msomi wa degree au masters ndio mwenye uwezo wa kufanya maamuzi sahihi (angalia viongozi serikalini au wale wa makampuni) la sivyo tanzania isingekuwa maskini.. msomi wa kitz anashindwa kujieleza kiufasaha kwa kiswahili tu.. vipi kiingereza..nadhani wajumbe wa tume ni viongozi wetu kwa sasa.. na uongozi sahihi hautoki darasani isipokuwa ni kipaji na uwezo wa kujenga hoja sahihi na kuisimamia.. mradi iwe na manufaa ya wengi ambao mwisho wa siku watapiga kura ya kuikubali au kuikataa (pasipo kuchakachua.

kama tume ilihitaji wasomi nadhani kusingekuwa na umuhimu wa kuangalia makundi maalum.. rais angeenda tu ud au udom na kuchukua wanazuoni..

umesema mara zote anapozungumza na media kuhusu mswada wa marekebisho ya katiba amekuwa akitofautiana na wenzake (japo hujawataja).. hiyo sio hoja sheikh wangu, sababu anasimamia anachokiamini.. na hilo halimnyimi nafasi ya kuwa mjumbe maana si pekee mtoaa maamuzi..

umesema pia asasi anayoiongoza haitetei vijana, inatetea ccm, haijashiriki chaguzi kuu mbili zilizopita, ni genge la kuhudhuria mikutano, anafanya kazi na watu wale wale kwa miaka saba, inafuja pesa za miradi... sasa ndugu yangu nilidhani ungeleta hapa jamvini ushahidi kutoka msajili wa ngo na mkaguzi wahesabu za ngo na pia ushahidi wa kazi za ccm anazofanya.. kufanya kazi na wale wale hakumaanishi hufanyi kazi inayotakiwa kwa mujibu wa katiba yako.. swala ni output.

umesema akiongea na media huongea porojo kuhusu ajira kwa vijana... tuambie hizo porojo na kipi ulitaka kukisikia..

kwa kumalizia Humphrey Polepole anastahili kuwemo kwenye tume.. labda kama criteria zingekuwa tofauti.. tatizo pekee ambalo mimi naliona japo wengi hawapendi kusikia ni religion imbalance.. uwepo wa dini moja kwa wingi kuliko nyingine na wajumbe sawa wa znz na bara.. ukizingatia kijografia na kiidadi ya wafanya maamuzi.. bara ni wengi kuliko znz na lazima hilo liangaliwe kwa mapana. likija wazo la tz kama nchi kujiunga na jumuiya za kidini kama OIC na Mahakama ya kadhi na suluhisho likawa ni tume kupiga kura ni wazi waislamu watashinda.. hapo ndipo nchi itakapoingia machafukoni..

nawasilisha
 
What are you trying to advocate here? Kizazi kabla ya miaka ya 90 kilikuwa na masharti ya ukada katika sekta zote.

Tunaomba utupe list mbadala ili tuweze kuchangia badala ya kuishia kukosoa ama kutoa hizo unazoita siri (kama ni siri sijui watu watajuaje)

Na hii ndo list yangu ya baadhi kutoka Tanganyika:

M'kiti - Barnabas A. Samatta
Makamu - Prof. Issa G. Shivji

Wajumbe:
Joseph Warioba
Mabere Marando
Ananilea Nkya
John Mrema
Hawa Ng'umbi
Prof. P. J. Kabudi
 
........
Mimi naanza na Mwenyekiti,
ana sifa zote za kuwa mjumbe wa tume lakini sio mwenyekiti kwa kuwa alishawahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya rushwa lakini akakubali ripoti yake isitekelezwe na pia katika siku za karibuni amekuwa akitoa kauli za kikada kama mwanaCCM, Mwenyekiti wa tume hii alipaswa kuwa mtu neutral ingawa Mzee Warioba ana sifa za kuwa mjumbe.

PM

Mjumbe huyu hana sifa zozote za kuwemo kwenye tume hii, maana ni ndumila-kuwili.

Iko hivi:-

Tunakumbuka jaji Warioba aliongoza tume ya kumchunguza Waziri Nalaila Kiula mwaka 1996 kwa tuhuma za rushwa. Tume hii ilimhukumu Kiula bila ya kumpa nafasi ya kujieleza.
Baadaye sana, katika kashfa ya Richmond ambayo ilipelekea waziri mkuu Lowassa kujiuzulu, jaji Warioba alimtetea Lowassa kuwa alihukumiwa na kamati ya Mwakyembe bila ya kupewa nafasi ya kujieleza.
Katika maswala haya mawilitu, naona unafiki mkubwa sana wa Warioba. Yaani wakati yeye jaji Warioba alimhukumu Kiula bila kumpa nafasi ya kujieleza, hapo hapo jaji Warioba huyo huyo anamtetea Lowassa kuwa hakupewa nafasi ya kujieleza !!!!
Maswali yanakuja:-

  • Kwa nini hakumpa nafasi ya kujieleza waziri Kiula ??
  • Kwa nini alimtetea Lowassa kuwa hakupewa nafasi ya kujieleza ??

Huyu ndie jaji Warioba (Mwenyekiti wa tume ya Katiba !!!).
 
Kwa Kuongezea tu Kuhusu huyo ndugu Polepole alisoma Sekondari Azania Dar es salaam Mwaka 1997-2000 akachaguliwa kwenda Shule Benjamin William Mkapa Mwaka 2001,Katika Matokeo ya kidato cha Sita alipata 0(Zero),Kuthibitisha hili sio shida,Nenda Baraza la Mitihani pata matokeo ya Wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha 6 Mwaka 2003 BWM Secondary School!!

Katika Maisha yake ya Shule hasa Azania,aliwahi Kuongoza Azania Debating Society akisaidiwa na baadhi ya watu akiwemo Bwana Nyakia Ally(Sekretariet Member wa TYC) alikuwa ni Mzungumzaji Mzuri mbele ya hadhira na anapenda Kuongea Kiingereza!!!

Inasemekana in recent years,alisoma Chuo Cha Maendeleo Tengeru Arusha and some online course!!

Kuhusu kama atafanya kazi Nzuri kwenye hiyo Tume jibu ni HAPANA,Kwa sababu asasi anayoiongoza ya Tanzania Youth Coalition haifanyi kazi ya Utetezi wa Vijana ndiyo maana kwenye Mambo yote ya Msingi kuhusu Vijana,Polepole amekuwa mtu wa kuchukua msimamo Neutral au wenye mlengo wa kuitetea Serikali ya Ccm!!

Katika Chaguzi zote kuu ukianzia wa Mwaka 2005 hadi wa Mwaka 2010 TYC imekuwa bubu kana kwamba haifanyi kazi ya Uanaharakati!!

Asasi hii imegeuka tu kuwa genge la watu kupata fursa za kuhudhuria mikutano mbalimbali ya ndani na nje ya Nchi ili kupata senti za Kujikimu kwa wajumbe wasiobadilika Wa Sekretariet kama Vile Juma Mkuu,Nyakia Ally,Lenin Kazoba et all

Kwa haiba,ana uwezo mzuri wa kujieleza,Mwoga wa Changamoto kutoka kwa watu wanaonyesha Uwezo ndiyo maana anafanya kazi na watu walewale kwa zaidi ya Miaka 7 tangu ofisi zilipokuwa kwenye jengo la MS Upanga mpaka sasa pale Kijitonyama Karibu na shule ya Msingi kijitonyama,Kuna Jengo la Ghorofa ndipo zilipo Ofisi za Shirika hilo ambalo linajitambulisha kama Umbrella Organisation ya asasi za Vijana Tanzania!!

Itoshe kusema Polepole hawezi kusimamia Maslahi ya Taifa na hasa Vijana,ni Mtu wa Ccm ndiyo maana hata juzi katika kipindi cha Adam Sembeye cha This Week In Perspective alikuwa anaongea Porojo tu na hatoi Msimamo yabisi Kuhusu hatma ya Ajira za Vijana hapa Bongo!!

Humphrey Polepole atakuwepo pale kufanya Mapenzi ya aliyemchagua tu,kuhusu hili nina hakika kwa 100%

Mpaka sasa bado unamponda kijana Polepole?
 
... proved wrong??
 
Back
Top Bottom