nkumbison
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 2,220
- 2,971
Tatizo umejiandaa kubishana wakati uzi haumlazimishi mtu kuuamini bali unakupa fursa yakutafakari ukweli ni upi na ukiona ni uongo basi amin ukweli uuaminio. Tunaoamini ni flat wengi tumeisoma dunia mviringo kama wewe yaani tuna habari nayo na mpaka ushahidi wa mviringo wake, upatikanaji wa majira kuzama na kuchomoza kwa jua, kupatwa kwa jua na mwezi mpaka mizunguko ya dunia yenyewe kulizunguka jua kujizungusha nk... Hivyo vyote tumejifunza shuleni it keans kabla ya shule tulikua hatujui dunia ikoje au sisi tupo wapi na sidhani kama ulikua unaweza kuamini kua dunia ni mviringo na sisi tumo juu yakenna kuna wakati tunakua kichwa chini miguu juu... Ila kupitia mafunzo darasani tukaoneshwa na picha, video za dunia yetu basi kuanzia hapontukaamini tupo ktk dunia duara mviringo.Ushahidi kuwa Dunia ni duara uko wazi kabisa, tumia jua! Linaanza kutoka mashariki lakini haliwaki dunia yote linawaka kidogo kidogo na kuzama hivyo hivyo
Ingekuwa flat lingekuwa linawaka kwa wakati mmoja au linazama kwa wakati mmoja, nafikiri wanaosema ni flat wanaacha hii evidence makudi
Kitu kingine tusichanganye dini na sayansi, ukivichanganya na kulazimisha viwe kitu kimoja utakuwa haueleweki
Sasa basi, hivyo vyoooote vinavyosapoti uduara mviringo wa. Dunia, vimepingwa kwa hoja baada ya hoja na hadi evidence ya namana dunia ilivyo flat yaani duara tambarare, na jua na mwezi vikizunguka juu yake.
Hivi ni mjinga gani wa kisayansi awezae kupinga hoja bila hoja, yaani akwambie dunia sio mviringo ni flat bila kukupa hoja kua ni flat.? Hivyo basi usilazimishe kuelewa wewe mwenyewe kabla ya anayekujuza hajamaliza kukuelewesha yaani kama kweli unataka kupinga hoja ya dunia kuwa ni flat, inakubidi upoteze muda kweli kuisoma hiyo dunia flat kama ulivyoisoma duara kisha linganisha hoja ya huku na huku juu ya suala moja. Hapa na maanisha, ukitaka kujua kwenye flat earth usiku na mchana tunaupataje, anza kuusoma huu uzi wote mpaka ya wachangiaji maana wapo waliouliza na wakajibiwa vizuri tuu. Au kama vp tembelea youtube au google "day and night flat earth" na ukiona je itakufanya uamini?
Vitu vingi tunafundishwa kwa theory ndio maana mwalimu wa kwanza huwa anaaminiwa sana, maana hakuna hata mmoja wa kuthibitisha uduara wa dunia kwa kuuona yeye mwenye zaidi ya picha na video za NASA!
Kuhusu kuwa angani na kuuona uduara wa dunia wala sio uthibitishonwa uduara huo! Maana ukitaka kuuona hata ukiwa ardhini unaweza kuuona tena vizuri tuu ila sio kwa macho yako bali kwa msaadabwa lenzi mbinuko kama inayopatikana ktk vioo vya ndege na camera nyingi... Tafuta lens ya fish eye, hata ukiwa ardhini dunia itaonekana duara vp usipoitumia mbona uduara unapotea? Kwahiyo mkweli macho yetu au lenzi?
Uzi huu ni elimu kama masomo mengine ila haipo ktk mitaala yetu tuu, laiti kama utawafundisha wasio na habari ya dunia ni duara kama mpira, basi unaweza kukesha nao kuwaambia dunia sio duara flat, so ile elimu ya mwanzo ndio iwanyimao tafakuri watu wengi na hasa waaminio walitokana na Nyani!