Jeanclaude
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 259
- 238
Sioni ni kitu gani mwanamke anaweza asikwambie, ni suala la muda tu ila usilazimishe saana mpk ukajikuta unaonesha hasira kwa jambo ambalo hulijui. Nakumbuka mi x wangu alikuwa rafiki yangu sana kiasi kwamba akawa ananiambia mambo mengi sana mazito na mojawapo ni la kubakwa akiwa mdogo na houseboy wao....na hili jambo ni siri ndani ya family yao
Labda akiwa ameenda kwa mganga kukuroga, na hata hili pia siku ukimzunguka zunguka basi atakwambia ukweli wote na kukuomba msamaha.
Kufanya mapenzi tigoni. Kazaa nje ya ndoa. Kuhongwa. Hapo sijui kama tutasema.
Haya ndio haswa wengi hawawezi kusemaKutembea nje ya ndoa, kuzaa nje ya ndoa, kutembea na rafiki wa bwana, kupigwa mande na kukutajia idadi ya wanaume aliolala nao mara nyingi atapunguza idadi
Kukubambikia mtoto. Hapo kijana mpaka wakutatulie wataalam wa DNA.
Wana MMU,
Wanawake kwa wanaume naombeni msaada, ni siri gani mwanamke hawezi kusema hadi kaburini. Rafiki yangu wa kike, anayeishi Moshi, ambaye tumedumu kwenye uhusiano kwa miaka 2, katika maongezi nilimuuliza ni jambo gani hawezi kulisahau akasema kuna mtu hawezi kumsamehe kwa kuwa alimfanyia kitendo kibaya. Nimembembeleza aniambie ni kitu gani na nani alimtendea lakini amegoma katu. Nahisi huenda alibakwa. Je, ni jambo gani mwanamke hawezi kulisema?
Nimekosa amani kufikia kumchukia jamaa ambaye simfahamu wala sijui alimtendea nini.