Siri gani iko kwa watoto mapacha

Habari za saizi sijui ni umri au nini Mimi toka nizaliwe sijawahi kuona mapacha woote wawili waliofikisha miaka 45 na kuendelea wengi hubakia mmoja na ndiye anayedumu na Mara nyingi nimeona mmoja asipokufa akiwa ni mdogo basi kwenye umri wa miaka 20 au 30 hufariki
Nimejaribu kujiuliza peke yangu naomba mnisaidie kama kuna mtu anawajua mapacha wowote wenye umri zaidi ya 45 na wote wako hai anisaidie kabla sijaendelea na utafiti wangu
 
Kuna wababa huku kwa kukisia 50-58

Ni mashabiki wa Chelsea wa kutupwa

Kuna mmoja mtata huo
 
Hakuna siri yoyote, na ulichiandika ni uongo.
Kama ni kweli jibu haya....
1. Nini chanzo/tatizo la utafiti wako?
2. Lengo la huo utafiti ni?
3. Utafiti unafanyika eneo gani?
4. Utahoji watu wangapi?
5. Utafiti umepangwa kukamilika kwa muda gani na ulianza lini?
6. Nani anagharamia huo utafiti?
7. Jibu kwanza hayo....
Mkuu itabidi unisaidie research yangu it seem u have capacity
 
Hamna iyo fact
Umezoea kuona mapacha wakiwa wadogo huwa pamoja so ni rahisi kuwaona
Ila wakisha kuwa 14+ baada ya kumaliza form 4 lazima watawanyike. So ni vigumu kujua kila mtu yupo wapi
 
Habari za saizi sijui ni umri au nini Mimi toka nizaliwe sijawahi kuona mapacha woote wawili waliofikisha miaka 45 na kuendelea wengi hubakia mmoja na ndiye anayedumu na Mara nyingi nimeona mmoja asipokufa akiwa ni mdogo basi kwenye umri wa miaka 20 au 30 hufariki
Nimejaribu kujiuliza peke yangu naomba mnisaidie kama kuna mtu anawajua mapacha wowote wenye umri zaidi ya 45 na wote wako hai anisaidie kabla sijaendelea na utafiti wangu

Nimewaona na wa kwangu watafika umri huo na kupitiliza kwa uwezo wa Mungu.
 
Ukitaka kujua kwanini Mange ni rahisi kupata wafuasi angalia tu mfano mmoja hapa. Hivi huyu akiambiwa na Mange chochote atabisha kweli si atamkubalia tu na kusema asante kwa kunifungua nilikuwa sijui. Sasa watu kama hawa wapo mamilioni. Yaani tuna janga moja la hatariii kama taifa..:D:D:D..

Chuki zingine bwana, sasa Mange katokea wapi hapa??
 
Habari za saizi sijui ni umri au nini Mimi toka nizaliwe sijawahi kuona mapacha woote wawili waliofikisha miaka 45 na kuendelea wengi hubakia mmoja na ndiye anayedumu na Mara nyingi nimeona mmoja asipokufa akiwa ni mdogo basi kwenye umri wa miaka 20 au 30 hufariki
Nimejaribu kujiuliza peke yangu naomba mnisaidie kama kuna mtu anawajua mapacha wowote wenye umri zaidi ya 45 na wote wako hai anisaidie kabla sijaendelea na utafiti wangu
Dada na kaka yangu wana 50's sasa.
 
Lee and Lyn Wilde - Wikipedia
 
Marehemu bibi yangu alibarikiwa kuzaa mapacha wa kiume kwa zao mbili tofauti, baba zangu wadogo wote wapo hai na wadogo zaidi wana miaka 45+, wakubwa wako 50+
 
Haa haaahaaa,teeeh teeeh teeeh !!

Karibu, mkuu !

Sema Basi nibarikiwe sana,
Mambo gani hayo ya baraka kidogo tena mkuu!!!?

Ila wakati mwingine , Unapaswa kujiuliza vigezo vingine vingi sana kabla hujaweka mada kama hiyo hapa kwenye jamvi au mahala popote.

Kwa sababu, watu wengine ukiweka mada mbele zao wakiona haina muelekeo wanakutimua au wanasema hawana muda !

Ukiwa na utafiti mwingine uni - tag ili nikuongezee nondo zaidi.

Nikutakie kila la kheri !
asante na kwako pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom