Siri gani iko kwa watoto mapacha

Siri gani iko kwa watoto mapacha

Nina uhakika dishi limeyumba sio mzima wewe eti na wewe unashauri nimekudharau kupita kiasi miaka hii Kuna mtaa hauna mapacha au ulishasikia wameuwawa kwa taarifa yako ninao wajua Mimi walikufa kwa magonjwa ya mungu sio kwa uchawi ulionao wewe, wewe ndo mchawi umeacha kujibu swali unaanza kujifanya mshauri wa upuuzi mi nafanya utafiti soma vizuri thread yangu uielewe na uhakika walimu walipata majibu ya opposite sana kwa akili yako hiyo

Haaa haaa haaaa naona umepotea uwanjani tayari. Mimi ni akili kubwa. "proactive mind" , sitaki kusubiria uue mapacha wetu baadae tuanze kulialia oooh oooh alikuwa anauliza humu JF , kumbe ni mshirikina.

Pia, kumbuka ulivyokuwa na haki ya kuuliza nami nina haki ya kujibu na kutoa maoni yangu siyo lazima nijibu upendavyo.

Wewe hapo, akili yako ndiyo ndogo sana sana, hadi unafikia kufanya huo utafiti yaani huelewi hata concept ndogo sana kuwa mapacha ni kama binadamu wengine wowote , ambao huishi eneo moja la familia wakati wa utoto kisha huelekea maeneo tofauti tofauti kutafuta maisha katika nyanja kama hizi:- masomo, kazi/kuajiriwa, biashara ama kilimo.

Ulivyo, kihiyo unadhania kuwa kwa sababu ni mapacha basi hadi umri wa miaka 40s+ wako wanakaa kiti kimoja, nguo sare, nyumba wanaishi moja ,wanaambatana kama vifaranga wa bata na kufanya kila kitu pamoja kama walivyokuwa na miaka 0-5.

Tena wewe ni bogus kabisa, hujui kuwa hata mapacha ni wachache sana katika jamii, kwa mfano, kijiji au mtaa wenye familia 1000 unaweza ukute kuna familia moja tu au hakuna yenye watoto mapacha.

Kwa kifupi, tambua kuwa wapo wengi sana wenye miaka 40's+ ila kwa sababu , wewe ni kilaza huwezi ulewa sababu zingine za kutowaona wenye hiyo rika.

Mwisho, ningekuwa katika panel ya defense ya research (thesis) yako ningekupatia 1/100. Kwa sababu hujui kitu kabisa.

Wewe, ni kilaza namba moja.
 
Mbona wapo tu tena wengi kuliko wanaokufa.. sema kinachokuchanganya ni kwamba mapacha huwa wachache katika jamii hivyo akifa mmoja jamii hutambua kiurahisi.. lkn ukweli ni kwamba wapo hadi wazee kabisa..
 
Ha
Haaa haaa haaaa naona umepotea uwanjani tayari. Mimi ni akili kubwa. "proactive mind" , sitaki kusubiria uue mapacha wetu baadae tuanze kulialia oooh oooh alikuwa anauliza humu JF , kumbe ni mshirikina.

Pia, kumbuka ulivyokuwa na haki ya kuuliza nami nina haki ya kujibu na kutoa maoni yangu siyo lazima nijibu upendavyo.

Wewe hapo, akili yako ndiyo ndogo sana sana, hadi unafikia kufanya huo utafiti yaani huelewi hata concept ndogo sana kuwa mapacha ni kama binadamu wengine wowote , ambao huishi eneo moja la familia wakati wa utoto kisha huelekea maeneo tofauti tofauti kutafuta maisha katika nyanja kama hizi:- masomo, kazi/kuajiriwa, biashara ama kilimo.

Ulivyo, kihiyo unadhania kuwa kwa sababu ni mapacha basi hadi umri wa miaka 40s+ wako wanakaa kiti kimoja, nguo sare, nyumba wanaishi moja ,wanaambatana kama vifaranga wa bata na kufanya kila kitu pamoja kama walivyokuwa na miaka 0-5.

Tena wewe ni bogus kabisa, hujui kuwa hata mapacha ni wachache sana katika jamii, kwa mfano, kijiji au mtaa wenye familia 1000 unaweza ukute kuna familia moja tu au hakuna yenye watoto mapacha.

Kwa kifupi, tambua kuwa wapo wengi sana wenye miaka 40's+ ila kwa sababu , wewe ni kilaza huwezi ulewa sababu zingine za kutowaona wenye hiyo rika.

Mwisho, ningekuwa katika panel ya defense ya research (thesis) yako ningekupatia 1/100. Kwa sababu hujui kitu kabisa.

Wewe, ni kilaza namba moja.
Nashukuru umenielewesha kuwa wapo wachache so wakifa hufahamika mapema kidogo nimeikubali degree yako kwa hapo umenijibu vizuri kuliko ulivyokurupuka juzi thanks ubarikiwe kidogo matumizi ya taaluma yako nayaona
 
Haa haaahaaa,teeeh teeeh teeeh !!

Karibu, mkuu !

Sema Basi nibarikiwe sana,
Mambo gani hayo ya baraka kidogo tena mkuu!!!?

Ila wakati mwingine , Unapaswa kujiuliza vigezo vingine vingi sana kabla hujaweka mada kama hiyo hapa kwenye jamvi au mahala popote.

Kwa sababu, watu wengine ukiweka mada mbele zao wakiona haina muelekeo wanakutimua au wanasema hawana muda !

Ukiwa na utafiti mwingine uni - tag ili nikuongezee nondo zaidi.

Nikutakie kila la kheri !
 
Acha uongo bana, mi hapa juzi kati nimewashuhudia walikuwa wanafanyiwa birthday na watoto wao ya kufikisha miaka 79
 
tupo tena tupo mapacha mara 4 na wakubwa zetu wana zaidi ya 50.ila cha ajabu huwa na makundi ya damu tofauti
 
Mimi ni pacha nina 33 years na tupo vizuri na mwenzangu (All men) sote wawili tumebahatika kupata elimu ya juu kwa GPA nzuri tuu na tunaendelea kupambana na maisha kila siku, hakuna tofauti kati yetu na ndugu zetu wengine.
Acha imani potofu za kishirikina kwani umri wako haukuruhusu kuwa mshirikina.
LAKINI HUJATIMIZA 45!
 
Tusimkebehi aliyeuliza swali. Tumuelimishe. Mapacha ni binadamu wa kawaida tofauti walizaliwa wawili either kutoka katika yai moja au mawili lakini ni binadamu wa kawaida tu. Wapo wengi wanaishi zaidi ya miaka hiyo uliyotaja.
 
Wapo mapacha wengi tu wazee kabisa. Uganda mwaka jana ilifanya siku ya mapacha kukusanyika na kueleza masahibu na mafanikio yao. Walikuwepo mabibi kama pea tatu na mababu pia
 
Jaribu kuangalia pia hali ya uchumi ya familia walizotoka, waliweza kumudu gharama za matibabu ya watoto wao? Wako wanaofikisha umri wa miaka 80-90.
Wapo jamaa miaka 46 sasa afya safi wanalima
Frank de boar and his brother ronald de boar wana miaka 46 kwa sasa
Mimi Ni pacha na mwenzangu yupo tuna miaka Zaidi ya hamsini
Kwetu Wapo wana zaid ya miak 50 sas

Hongereni kwa kumjibu mtoa mada

Mtoa mada hana kosa ila kwa wanaombeza ndiyo wenye makosa, yeye kasema "HAJUI" maana yake anahitaji kuelekezwa/ kufundishwa. Yawezekana katika kijiji chao hakuna mapacha wati wazima au hajawahi kusikia kuna mapacha wazee. Sasa shida yake ni kuwa mkweli kuwa hajui au nini hadi ashambuliwe?
 
Bila shaka ushirikina unavyokubaka. Hutaki kuamini kuwa wapo wanaofika hata miaka 90 na zaidi. Hata mimi nikafa unafikiri ukweli wako au imani yako itakuwa sahihi?
MKUU NAAMINI WAPO ILA WEWE HUJAFIKA HIYO 45
 
Baba zangu wadogo mmoja alifariki akiwa na miaka 51 mwingine mpaka kesho, ninao dada zangu wana miaka 41 sasa, wapo Wazee wengine majirani mmoja alifariki akiwa na zaidi ya miaka 60 ila katika hao waliofariki wote ni doto
 
You are not sirias my friend mimi ninabibi zangu wapo mpaka Leo na waliolewa na mtu mmoja
Ila kwa utafiti wangu mdogo kwa mapanga ambao mmojawapo amefariki, wote ni akina doto
Pair 3 wamekufa watatu wakiwa watu wazima wote ni doto
 
Habari za saizi sijui ni umri au nini Mimi toka nizaliwe sijawahi kuona mapacha woote wawili waliofikisha miaka 45 na kuendelea wengi hubakia mmoja na ndiye anayedumu na Mara nyingi nimeona mmoja asipokufa akiwa ni mdogo basi kwenye umri wa miaka 20 au 30 hufariki
Nimejaribu kujiuliza peke yangu naomba mnisaidie kama kuna mtu anawajua mapacha wowote wenye umri zaidi ya 45 na wote wako hai anisaidie kabla sijaendelea na utafiti wangu

Paul Makonda na Daudi Bashite ni mapacha ila Daudi alifariki baada ya form 4
True Story
 
Mtoa Uzi acha unabe bhana mbona mm naishi na pacha wangu...
Yawezekana we ndio usifikishe lkn cc kwa neema ya Allah tutapitiliza.
 
ab9104e1bb6fbe3b2b372363343b4b51.jpg
 
Wapo wengi sana tatizo wengi wakifikia umri wa kuoa ama kuolewa ndo huacha makuzi ya kutembea pamoja.
 
Back
Top Bottom