Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,111
Ninawafahamu mapacha wenye umri zaidi ya miaka 60, kaka na dada yangu (mapacha) wana miaka 48. Wewe siyo mkweliMkuuu sifanyii mtihani yote hayo jibu kama ulishawahi waona mapacha waliozeeka ova
Ninawafahamu mapacha wenye umri zaidi ya miaka 60, kaka na dada yangu (mapacha) wana miaka 48. Wewe siyo mkweliMkuuu sifanyii mtihani yote hayo jibu kama ulishawahi waona mapacha waliozeeka ova
Atakuwa na imani za kishirikina huyu..... Stay blessed mkuu.Mimi ni pacha nina 33 years na tupo vizuri na mwenzangu (All men) sote wawili tumebahatika kupata elimu ya juu kwa GPA nzuri tuu na tunampango wa kuendelea kupambana na maisha zaidi.
Acha imani potofu za kishirikina kwani umri wako haukuruhusu kuwa mshirikina.
Ulitaka Mange asiwe na wanaomfahamu?Ukitaka kujua kwanini Mange ni rahisi kupata wafuasi angalia tu mfano mmoja hapa. Hivi huyu akiambiwa na Mange chochote atabisha kweli si atamkubalia tu na kusema asante kwa kunifungua nilikuwa sijui. Sasa watu kama hawa wapo mamilioni. Yaani tuna janga moja la hatariii kama taifa..😀😀😀..
Ha ha ha muuza ngada yuleIS. (Isack)... Dah, nimecheki hiyo Avatar nimekumbuka 24 legacy.
Kuna tofauti ya kujua mange anaposti nini na kushabikia anachopostii ... I am aware na utumbo anaopostiii na nitakueleza kwa nini.. Kuwa mshabiki wake ni kuanza kuamini utumbo anao posti una ukweli..Na sipo kwenye category hiyo...Kwahiyo umejibu kama mmoja wa waamini wa utumbo wake. Kwa hiyo I am just an observant..Nina curiosity ya kujua kinachoendelea hata vichwani mwa fools kwa hiyo ukipost maujinga nitayasoma pia lakini si kwa ajili ya kufeed brain yangu bali kwa kujua wajinga wanawaza nini vichwani mwao wakati huu....Kwa hiyo tofauti yangu na ya kwako ni kwamba I can control what gets into my subconscious mind wewe possibly you have no control that is the reason you can't tell the difference between a person with a curiosity mind to Mfuasi.. Kwa hiyo hata wewe ukipost maujinga yako nitayasoma tu lakini nayasoma ili kujua mjinga yule anawaza nini lakini haimaanishi nasapoti uharo wakoo..😀😀😀Ulitaka Mange asiwe na wanaomfahamu?
Wewe umemfahamia wapi?
Na yale anayoandika unayafahamia wapi kama siyo mfuasi wake?
Nina uhakika dishi limeyumba sio mzima wewe eti na wewe unashauri nimekudharau kupita kiasi miaka hii Kuna mtaa hauna mapacha au ulishasikia wameuwawa kwa taarifa yako ninao wajua Mimi walikufa kwa magonjwa ya mungu sio kwa uchawi ulionao wewe, wewe ndo mchawi umeacha kujibu swali unaanza kujifanya mshauri wa upuuzi mi nafanya utafiti soma vizuri thread yangu uielewe na uhakika walimu walipata majibu ya opposite sana kwa akili yako hiyoHuyu jamaa, atakuwa mshirikina, anatafuta Aelewe ni akina nani wanapacha au ni mapacha home au kitaa kwao ili awateke/ mauaji ya mapacha.
Mfano, mauaji ya kanda ya ziwa ya Wanawake waliokoma kutoka hedhi inasemekana wauaji walifanya utafiti kwa njia za social media mwisho wake wakaua kwa series na lile rika ilikuwa ni hiyo hiyo 40's - 50's.
Watu wakajiuliza,imekuwaje wanawake rika inayoendana (miaka inayoendana) wanauawa basi, kumbe walikuwa wameisha pata ramani nzima ya wanawake hao.
Kwa hiyo kuweni makini hasa ninyi manaotaja hadi mitaa walipo hao mapacha.
Niwatakieni amani, mapacha wote!
Mi ninao pia ila niliona wengi niliokuwa nawajua mmoja wao alifariki kwa sababu mbalimbali juzi Kuna kulwa kazikwa ndo nikaanza kuogopa nashukuru kwa ushauri wako umenitoa hofuNinawafahamu mapacha wenye umri zaidi ya miaka 60, kaka na dada yangu (mapacha) wana miaka 48. Wewe siyo mkweli
Thanks nimepata mapacha kidogo umenitoa hofu maana wengi ninaowajua kabaki mmoja mmojaKwetu Wapo wana zaid ya miak 50 sas
Asanteeee mkuu ni 25 yrs mungu kanipa mapacha watu wakanitishia hivyo na mimi sikuwahi kuwaona wote wawili thanks muchMimi ni pacha nina 33 years na tupo vizuri na mwenzangu (All men) sote wawili tumebahatika kupata elimu ya juu kwa GPA nzuri tuu na tunampango wa kuendelea kupambana na maisha zaidi.
Acha imani potofu za kishirikina kwani umri wako haukuruhusu kuwa mshirikina.
Thanks mi wangu Wana miezi miwili watu walinitisha hivyo na mimi kiukweli wengi niliosoma nao na kuwajua wamebaki mmmoja mmoja kidogo Nina amaniMimi Ni pacha na mwenzangu yupo tuna miaka Zaidi ya hamsini
google mkuu....hakuna namna!Habari za saizi sijui ni umri au nini Mimi toka nizaliwe sijawahi kuona mapacha woote wawili waliofikisha miaka 45 na kuendelea wengi hubakia mmoja na ndiye anayedumu na Mara nyingi nimeona mmoja asipokufa akiwa ni mdogo basi kwenye umri wa miaka 20 au 30 hufariki
Nimejaribu kujiuliza peke yangu naomba mnisaidie kama kuna mtu anawajua mapacha wowote wenye umri zaidi ya 45 na wote wako hai anisaidie kabla sijaendelea na utafiti wangu