queen of the jungle
JF-Expert Member
- Mar 17, 2017
- 228
- 430
Mkuuu sifanyii mtihani yote hayo jibu kama ulishawahi waona mapacha waliozeeka ovaHakuna siri yoyote, na ulichiandika ni uongo.
Kama ni kweli jibu haya....
1. Nini chanzo/tatizo la utafiti wako?
2. Lengo la huo utafiti ni?
3. Utafiti unafanyika eneo gani?
4. Utahoji watu wangapi?
5. Utafiti umepangwa kukamilika kwa muda gani na ulianza lini?
6. Nani anagharamia huo utafiti?
7. Jibu kwanza hayo....
IS. (Isack)... Dah, nimecheki hiyo Avatar nimekumbuka 24 legacy.Frank de boar and his brother ronald de boar wana miaka 46 kwa sasa