TANZIA Sir. George Kahama afariki dunia

God of mercies have mercy on his poor soul
 
Nasikia ndio Mtanzania wa Kwanza (Kama sio Pekee) kutunukiwa hicho cheo cha Sir na Malkia Elizabeth, wajuzi nielimisheni,
R. I. P Sir George
 
Watoto wake hajawapachika pale ccm? Hatuwasikii!!!
 
umeongea mengi , umesahau kwamba historia ya mtu inaanza pale anapozaliwa. hujasema kazaliwa lini
 
R.I.P Sir George Kahama

Kama nchi tumepoteza kiongozi aliyekuwa mzalendo na mwenye kujitambua. Siyo hawa kina mzee warioba wababaishaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…