TANZIA Sir. George Kahama afariki dunia

TANZIA Sir. George Kahama afariki dunia

Sina Maelezo sana ya kutosha, lkn niliwai sikia title ya sir kapewa na Nyerere na yeye Ndio mtz wa kwanza kupewa title hiyo ijapo hakuwa Mwalimu kama wengi wanavodhan kuwa title ya u-sir anapewa mwl pekee
Sir ni cheo cha heshima nchini uingereza
 
Marehemu alifanya mengi sana hapa nchini ikiwa ni pamoja na kuanzisha CDA hapo Dododma!! R.I.P mzee Kahama.
Ndio amesha hama!
Mtaendelea kupeana taarifa kuwa 'Kahama' kahama.
 
Back
Top Bottom