Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
mzee slaa akisikia msimamo wa baregu anatamani ammeze kwa kuwa yeye anapenda kuabudiwa.
Waeleze hao wanaoshindwa kusoma na kuanalise. Kwanza hii kitu kilitokea mwaka jana wakati CDM walipotishia kujito kwenye mchakato na ikajadiliwa sana humu. Mleta thread kachukua kasentence kamoja na kuafanya kama vile DCM wanataka kumshinikiza awe pale kwa manufaa yao.
Hakuna mahali au siku ambayo tumesikia kuwa CDM wanataka hivyo. Hata Warioba aliwahi kuwaonya CCM na hii alijadiliwa hapa.
Akili za kushikiwa bwana..asa apo atabisha nini.Kwani huo ni ukweli pasi na ushabiki.Ila weka mawazoni buku 8 ni kubwa kuliko buku 7 FC!Ngoja waje akina Baba V na wenzie uone comments za buku8 sasa.
Kwani ni wapi tulisema yupo kwenye tume kutetea msimamo wa CHADEMA?
Kwa wale ambao hawatasoma gazeti hii ndiyo habari kamili ya Prof. Baregu:
Amesema CHADEMA walimtaka afike kwenye Kamati kuu lakini aliwagomea kwa sababu alitambua alichokuwa akikifanya, kilikuwa kwa manufaa ya watanzania si chama chake. "Mimi skuapa kuitetea CHADEMA hata kama ni kada wake bali niliapa kuitetea Tanzania na wananchi wake, vyama vya siasa vinaweza kufa lakini Tanzania haiwezi , itaendelea kuwepo milele hivyo lazima tuheshimu hilo." alisema Prof Baregu. Baregu aliongeza kuwa yeye ni muumini wa serikali moja.

Kuna jambo la kujifunza kwenye habari hii:
1. CHADEMA kumbe wanatetea maslahi yao binafsi, na tunaposema maslahi yao tuna maana ya viongozi wa CHADEMA kwa sababu wangekuwa wanatetea na wafuaasi wao wote, basi Baregu angeitikia witowa kuitwa kwenye Kamati kuu kwa vile naye ni mmoja wa wale ambao angenufaika na wito huo, lakini kwa kutambua kuwa kuitwa kwake kulikuwa ni kwa ajili ya wachache akaona mbali;
2. Kwa nini Baregu anasema yeye ni muumini wa serikali moja wakati CHAMA chake kimezunguka nchi zima kutafuta maoni juu ya rasimu ya katiba mpya, bali kuhubiri serikali tatu? Yawezekana kabisa mikakati hii serikali tatu ndani ya CDM ilianza hata kabla ya kuundwa kwa kamati ya Katiba lakini mzee wa watu akaa nalo moyoni kwa vile hakuwa na pa kulisemea. Ni dhahiri kabisa kauli ya BAREGU inalenga kuimarisha muungano wakati harakati za CDM kutumia nguvu nyingi sana kunadi serikali tatu inalenga kuuvunja muungano jambo ambalo linadhihirishwa na kauli mbalimbali za makada wa CDM mfano LISSU alivyosema juzi kuwa CUF ni chma cha WAZANZIBARI.
Si ukanunue majira au usubiri ukipanda daladala uombe jirani yako usome.
Kwani ni wapi tulisema yupo kwenye tume kutetea msimamo wa CHADEMA?
kama slaa na mbowe wana ubavu wamfukuze baregu kama madiwani wa arusha. Baregu ameidharau kamati kuu ya chdm