Sipo hapa kuitetea CHADEMA - Baregu

Sipo hapa kuitetea CHADEMA - Baregu

Ndo hapo mtakapo yakumbuka maneno ya Zitto kabwe.."Msiwaamini wanasiasa" jiulize CDM walimuita ili akafanye nn na kwann alikataa kwendaa?

####team Wazalendo######
 
Katika watu makini na wazalendo ambao wapo Chadema ninaowakubali ni pamoja na Prof. Baregu.
 
Ndo hapo mtakapo yakumbuka maneno ya Zitto kabwe.."Msiwaamini wanasiasa" jiulize CDM walimuita ili akafanye nn na kwann alikataa kwendaa?

####team Wazalendo######

Kwa mujibu wa Prof anadai kulitokea sintofahamu na pia aliitwa akakataa kwenda na pia CDM ilimtaka ajitoe akakataa
Swali ni kwanini haya yote?
Ukweli utabaki kwamba CDM walitaka Prof aingie kule akiwa na msimamo wa CDM tu na sivinginevyo kitu mabcho kingekuwa kugumu kutekelezeka kwa Prof
 
Ni msimamo mzuri tena wakizalendo zaidi. Usomi nao husaidia.

Rock City, Msimamo mzuri na wakizalendo, lkn kumbuka unaposema kusoma kunasaidia lazima tujaribu kutofautisha kati ya wasomi ndugu zangu! Nafikri unanielewa hapo! Pili chama imara ni kile kinachokubari mawazo ya wengine. Je ingewezekana kwa chama tawala mjumbe kukataa kwenda kwenye kamati kuu baada ya kuitwa? Hao anaowaeleza wanashangilia huku nyuma wamekuja kuwakilsha mawazo ya chama tawala! Ni hayo tu!
 
kama slaa na mbowe wana ubavu wamfukuze baregu kama madiwani wa arusha. Baregu ameidharau kamati kuu ya chdm

Ama kweli majanga.Wamfukuze kwa kosa lipi sasa. atafukuzwa kwa maokosa aliyotenda ambayo ni kinyume na taratibu za chama na wala siyo kiushabiki kama utakavyo wewe.Unataka atolewe kama wale masalia mliochukua kule mbeya?
 
beregu hamkubali dr slaa ingawa alikuwa kampeni meneja wake.
beregu ameshayaona madhaifu ya chadema tangia 2010.kuwa umaarufu wao ni mkubwa kuzidi uwezo.
 
kutetea chadema ni sawa na kumtetea shetani baregu kalitambua hili.
 
si habari yote ndo hiyo hapo juu! Acha unafiki kama Kikwete kupeleka umbea kwa wapenda ushoga kama Obama

koma wewe kidampa mnafiki mzee slaa anayeiba wake za watu na kusema wake zake,
Nyie wahudumu wake wa ndani mnahangaika naye hata habebeki anazidi kuzeeka tu.
 
kitu kitakacho wamaliza chadema ni kukosa uzalendo ktk ambition zao.hili ni neno la pili kumsikia beregu akienda agaist waziwazi na chadema especialy dr slaa.
tutasikia mengi.na yawezekana hata ziara za chadema kwa ajili ya mabaraza hakubaliani nayo kwa sababu yamekaa kishabiki wa chama na wala si kiutaifa.
 
kwa wale ambao hawatasoma gazeti hii ndiyo habari kamili ya prof. Baregu:
Amesema chadema walimtaka afike kwenye kamati kuu lakini aliwagomea kwa sababu alitambua alichokuwa akikifanya, kilikuwa kwa manufaa ya watanzania si chama chake. "mimi skuapa kuitetea chadema hata kama ni kada wake bali niliapa kuitetea tanzania na wananchi wake, vyama vya siasa vinaweza kufa lakini tanzania haiwezi , itaendelea kuwepo milele hivyo lazima tuheshimu hilo." alisema prof baregu. Baregu aliongeza kuwa yeye ni muumini wa serikali moja.

prof.baregu kaonyesha mfano mzuri wa kizalendo.tungefurahi kama wajumbe wa ccm(kwenye tume) ingeiga mfano huu adimu sana.
 
yuko sahihi, cha msingi wote walioteuliwa wafanye hii kazi kwa weledi tu, wajiepushe na misukumo toka pande zozote hata kama na wao ni sehemu ya jamii fulani; ndo hasa tunachokitegemea kwa wote waliomo ndani ya hiyo tume bila kujali makundi wanayoyakilisha ama watakayoyawakilisha!
 
Dr slaa alitaka kumzoea Prof akamwambia Tanzania kwanza vyama baadae!

mkuu baregu anamsimamo sijawahi ona halafu haburuzwi na mtu yoyote kwa lolote nadhani slaa alitaka amletee za kuleta kamwambia no tuheshimiane.
 
Habari zinazotoka kwenye vyombo vya habari si za kuaminiwa sana, lakini kama hii habari kwamba Baregu aliitwa na kamati kuu akakataa kwenda, na kamati kuu ikabaki kimya ni za kweli, itakuwa kosa kubwa sana kwa upande wa uongozi wa CDM.

Alipaswa kwenda kutetea hicho anachokiamini kwa viongozi wake. CDM mkiruhusu ujinga wa kugomewa na political light weights kama kina Baregu mtapata tabu sana ku-deal na heavy weights ndani ya chama.

Kwa upande mwingine, hivi hii katiba ambayo Warioba anataka kugeuza kama katiba ya ukoo wake inaweza kusimama hata miaka 20? Seriously? Kwa nini wanaogopa kupokea maoni ya vyama?
 
kile kichumba cha ufipa ndio kiongoze mawazo ya watu wenye akili zetu.

mi huwa nakiona kama kijumba cha madalali tu waliokosa kazi mjini.
 
kitu kitakacho wamaliza chadema ni kukosa uzalendo ktk ambition zao.hili ni neno la pili kumsikia beregu akienda agaist waziwazi na chadema especialy dr slaa.
tutasikia mengi.na yawezekana hata ziara za chadema kwa ajili ya mabaraza hakubaliani nayo kwa sababu yamekaa kishabiki wa chama na wala si kiutaifa.
lakini si mambo ya mabaraza yalipita tarehe 31 aug?hii habari si kwamba ilishapita kitambo?
 
Back
Top Bottom