Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,591
Aiseeee
Mimi ninatural kabisaa niko vilevilw kila mahali
Hongera katoto kazuri, hebu tuone picha na wenzako waone ili waige mfano mwema kwako
Wataniloga
Lakini kweli, bora usitume tu.
Maana kuna mmoja hapo amesema ye bila kujibandika make-up sawa sawa siku haiendi
Unafikiri nikatoto kazuri bure??
Hahahahahahha nimecheka hapa khaa!!Lazima kuna sababu, sio bure bure
Duuh. Kuna baadhi ya watu bila make-up hawawezi kuthubutu kutoa mguu bedroom. Yaani hata watoto wao hawazijui sura halisi za mama zao. Wanaume sisi ni wavumilivu sana na tunawapenda hivyohivyo, unconditionally.
True. Imagine hii kitu: Unaanzaje kutoa mguu ndani kwenda kwa bebi bila kutupia mipoda kopo nne na mirangi ndoo kadhaa..Jamani
Ukifika muda wa kuoga anaoga kiwili wili tuTrue. Imagine hii kitu: Unaanzaje kutoa mguu ndani kwenda kwa bebi bila kutupia mipoda kopo nne na mirangi ndoo kadhaa..
View attachment 1171462
Mwanangu umewachana live...hawatatoa mchango hapa
Huyu atakua amefanya makeup ya mwili mzimaTrue. Imagine hii kitu: Unaanzaje kutoa mguu ndani kwenda kwa bebi bila kutupia mipoda kopo nne na mirangi ndoo kadhaa..
View attachment 1171462
Hap mnawaponda mkiwa nje ya hapa ndo mnaowafukuzia wanaume loohHivi huwa hawajuagi haya makitu yanazeesha ?
Mwanaume anayependa mwanamke mwenye makope Kama fagio , makucha , mawigi basi hajatimia.
Mimi mwanamke make up marufuku.labda ile ya kawaida tu.
Tena hawa wanaosema hawawapendi wanawake wanaojipaka make up utakuta wake zao wana kila aina ya make up kwenye dressing table,wakija hapa kazi tukusimanga tu.