Sipingi kuwa make-up ni muhimu ila iwe na mipaka jamani

Hahahaaa. Mnavyotuponda utadhani wake zenu na wanawake zenu hawatumii hizo kitu.

Vipo kwa ajili ya mwanamke hivyo vitumikage tu kwa wanaoweza mbaya ni hizo zinazopakwa na kubadilisha kabisa uhalisia wa ngozi ya mtu. Ila kama ni kawaida tu wapake tu kwa kweli maana ndio tofauti hizo kati ya mwanamke na mwanaume.
 
Sipendi make-up na mpka hapa nilipo sijawahi kupaka.
Labda nitakuja kuwekwa hayo makorokocho nikiwa naolewa.hapo sitapinga kwa kuwa kutakuwa na picha za ukumbusho watukio kubwa katika maisha yangu
 
Hivi huwa hawajuagi haya makitu yanazeesha ?

Mwanaume anayependa mwanamke mwenye makope Kama fagio , makucha , mawigi basi hajatimia.
Naunga mkono hoja....kwanz unavhambaje mtoto wa kike au ndo unatumia tissue si utanuka mavi?...... Au kama una mtoto mdogo unsmuogesha vip ?
 
Back
Top Bottom