wakuu habar.
muda mref hawa wanaharakat fek wananichefua sana, eti tupige kura, tuwape chakula. wahunituu. rasilimali ngapi hatujatumia? madini, mbuga, ardh.....mpaka tunatukanwa na cameroon. bulsht, sipigi kura mimi....
GEDO, kama wewe umekataa, basi hata mimi sipigi kura! Kwanza sijawahi kufaidika hata kwa kupata kuni kutoka katika mlima huo..! Mbona hayazungumziwi maajabu ya TANZANITE, mbona hawazungumziwi VYURA WA KULE KIHANSI... Na vipi kuhusu kile KISIMA CHA MAJI YA BARAKA kule ukwereni.. Acheni hizi bhana..! Inauma sana kugawana mahalalio yetu kama zawadi jamani..
hii inahusika nini na mlima?si unamfuata camerun nahao bata waliotua nchini...
wewe ndio masaburi tena ya ccmyani wewe ndio masaburi tena mwingereza kwa ufisadi wa nchi hii kuwa mzalendo ngumu nani afanye kazi ya kumpaka kobe polish.
hali ikiwa mbata tanzania wa kwanza jkufa ni nana? Mafisadi??hatuwasusii!! Tunakata supply chain ya madawa ya kulevya..unapopga kura, unaendelea kusupply poda kwa mateja na kuendelea ku make things worse kwako na kwao..sasa tunakata supply ili waende arosto, na ikiwezekana wafe.
wakuu habar.
muda mref hawa wanaharakat fek wananichefua sana, eti tupige kura, tuwape chakula. wahunituu. rasilimali ngapi hatujatumia? madini, mbuga, ardh.....mpaka tunatukanwa na cameroon. bulsht, sipigi kura mimi....
wakuu habar.
muda mref hawa wanaharakat fek wananichefua sana, eti tupige kura, tuwape chakula. wahunituu. rasilimali ngapi hatujatumia? madini, mbuga, ardh.....mpaka tunatukanwa na cameroon. bulsht, sipigi kura mimi....
Unatala tuchangie nini sasa hapa mkuu? Kufurahishwa kwako, kuenguliwa kwa Kilimjaro, hao waliokuwa wameanza kujinufaisha, au nini? Hata sielewi!
Kweli kizazi hiki cha CCM (miaka 40.....70) inabidi wafe woootee!!hureee. ...... utakuja kushinda tu hawa washenzi wakiondoka wote. I mean wakifa na nchi ikawa chin ya systm mpya ya kimaendeleo zaidi.
Unatala tuchangie nini sasa hapa mkuu? Kufurahishwa kwako, kuenguliwa kwa Kilimjaro, hao waliokuwa wameanza kujinufaisha, au nini? Hata sielewi!
MLIMA Kilimanjaro uliopo nchini na ambao ni mrefu kupita yote barani Afrika, umetupwa nje ya orodha ya Maajabu Saba mapya ya dunia yaliyotangazwa juzi usiku.
Kuna wajanja walianza kujitajirisha nao.