yereeuwi, mie wa tandale nitayajulia wapi hayo, siku ukipanga kula ugali nishtue, au viazi au ndizi au wali au...au..., hilo ulotaja ndo naskia leo, au nije unifundisheSpaghetti carbonara na avocados salad.
Hahaha... Mkuu mbona kama umepanic? Of course kwetu tupo WATATU, boys wawili afu me wa mwisho, yaani full kupikiwa.Inaelekea hukuishi na baba yako au kwenu watoto wa kiume walikuwa wakipika, hilo si baya ila kusema mwanaume akija kukytembelea lazoma akupikie inaonesha huna adabu na sababu kubwa ni kutopata malezi kamili kutoka kwa wazazi wako wawili.
hapo mwake lakini hayo matambi kwakweli nitayaunguza, wapenda boko boko weye???Kesho utanipikia boko boko eee?