Jamani kuna wanaume wengine wanarudi majumbani mwao
wakifika ni chakula wakila ni ndani kitandani ukiwaambia jamani
uogi aaaapana mpaka asbh,uko ndani usiku ni kero ukifikiria kumpa
mgongo wa nne shida ni taabu tupu jamani
kama we ni mwanaume wa jinsia hiyo acha jitahidi uoge mkifika kwenda kullala
hata kama wanawake zenu awapigi kelele mjue wanateseka jamani
okoa maji
oga usiku
Mkuu nafikiri yupo sahihi, anawanaume kadhaa na wote wanamkera kwa kutooga usikuBadilisha title ya thread isomeeke hivi. "sipendi tabia ya mume wangu ya kutokuoga inanikera"
Mkuu nafikiri yupo sahihi, anawanaume kadhaa na wote wanamkera kwa kutooga usiku
Laki yy bado yumo tu, hawaachi wala nn
Hata asipooga inakuhusu nn? Kataa na mshiko wake basi. Inafika muda hata maji unaona mzigo
Jamani kuna wanaume wengine wanarudi majumbani mwao
wakifika ni chakula wakila ni ndani kitandani ukiwaambia jamani
uogi aaaapana mpaka asbh,uko ndani usiku ni kero ukifikiria kumpa
mgongo wa nne shida ni taabu tupu jamani
kama we ni mwanaume wa jinsia hiyo acha jitahidi uoge mkifika kwenda kullala
hata kama wanawake zenu awapigi kelele mjue wanateseka jamani
okoa maji
oga usiku
bibi wee huwa wanaogeshwa hao..tena shurti maji yana mdalasini...inahuuu!!
Jamani kuna wanaume wengine wanarudi majumbani mwao
wakifika ni chakula wakila ni ndani kitandani ukiwaambia jamani
uogi aaaapana mpaka asbh,uko ndani usiku ni kero ukifikiria kumpa
mgongo wa nne shida ni taabu tupu jamani
kama we ni mwanaume wa jinsia hiyo acha jitahidi uoge mkifika kwenda kullala
hata kama wanawake zenu awapigi kelele mjue wanateseka jamani
okoa maji
oga usiku
we koma kabisa yaani umeweka JF ni sehemu ya kitchen part tukufundishe namna ya kuwa handle waume zako eee! si uwaogeshe tu, pengine kavivu ka kuchota mayiJamani kuna wanaume wengine wanarudi majumbani mwao
wakifika ni chakula wakila ni ndani kitandani ukiwaambia jamani
uogi aaaapana mpaka asbh,uko ndani usiku ni kero ukifikiria kumpa
mgongo wa nne shida ni taabu tupu jamani
kama we ni mwanaume wa jinsia hiyo acha jitahidi uoge mkifika kwenda kullala
hata kama wanawake zenu awapigi kelele mjue wanateseka jamani
okoa maji
oga usiku
Huyo mwanaume wako haogi kwa vile akioga tu basi usiku huo lazima umpe mgongo wa nne kama ulivyosema mwenyewe kitu ambacho yeye hapendi kabisaaaa!.Jamani kuna wanaume wengine wanarudi majumbani mwao
wakifika ni chakula wakila ni ndani kitandani ukiwaambia jamani
uogi aaaapana mpaka asbh,uko ndani usiku ni kero ukifikiria kumpa
mgongo wa nne shida ni taabu tupu jamani
kama we ni mwanaume wa jinsia hiyo acha jitahidi uoge mkifika kwenda kullala
hata kama wanawake zenu awapigi kelele mjue wanateseka jamani
okoa maji
oga usiku
Mmh mwanakwetu wanitia aibu mume shurti aogeshe wataka akaonge mwenyewe? Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ndoa itakushinda