Sipendi mwanamke mchafu kabisa

Yaani acha tu
Nguo ya kitenge ufue kila unapovaa mbona utaichukia ndani ya muda mfupi sana, watakuja wadada hapa watakuambia wanafua mashuka kila baada ya siku mbili. Mtu naoga nalala nikiwa msafi nilalie shuka siku mbili inahu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapa mwezi sijafua nakazi ya kurudia rudia nguo tu.... Nikiona inatishatisha naweka kwenye kitenga cha nguo chafu.... Maswala ya kujipa shida siwezi mimi
Hahaaaahaaa!!!
 
Usafi muhimu;ukishindwa kujipenda ukiwa kijana (18-45yrs) ...ukiwa mzee ndio tabu zaidi,unaweza kuhisi kiloba cha gunia kinatembea.
 
Hizo ni sifa sasa jomba

Sasa kama natandika shuka hata wiki 2 halichafuki au linachafuka kidogo nifue lanini? Si litapauka?

Labda walale mamanzi wanne
 
Hizo ni sifa sasa jomba

Sasa kama natandika shuka hata wiki 2 halichafuki au linachafuka kidogo nifue lanini? Si litapauka?

Labda walale mamanzi wanne
Au sio...
 
Cha muhimu hapo mzee mama nenda kwa wazazi wako ukajilipie posa na mwishowe ujioe mwenyewe ili hasiwepo mtu wa kukusumbua.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anajasho kali siyo??..
 
Vipi wewe hauna jasho kali? Kuna wanawake wengine wakikaa siting room sebule nzima inanukia jasho lake...
 
Hakuna Siku imepita.mm sijafua nguo, labda niwe safarini, nikivua nguo kama nyeupe naloweka, naamka saa 11 nafua nafanya usafi ndo naenda kazini.

Sipendi kuona nguo chafu ndani.sipendi kuona chombo chochote kichafu ndani, sipendi nikanyage chini nisikie mchanga. Sipendi nifuliwe au nioshewe vyombo kila kitu napenda nijifanyie mwenyewe ndo moyo wangu unaridhika kiko safi.

Ni Mara chache unikute ndani sina kazi naishi mwenyewe ila nikogo busy Siku mzima.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Juzi mwaka mpya nimeenda kijijini kwa mama, nilikuta kisima kimejaa wanachota kwa jagi mpaka natoka Maji yalishashukaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mama anatania ness kaingia ni full kufua Siku mzima.
Watu aina yetu sometimes tunakuwa kero kwa wengine.maana unafuta vumbi hata sehemu ambayo kwa wengine sio lazima hilo vumbi litoke.

Sinaga muda wa kuuliza sijui nani kachafua hapa au kile nikikuta kichafu kiroho safi nasafisha .
Haya yote nilifundishwa na mama yangu nikiwa Mdogo ila funga kazi alikuwa Mme wa Mjomba alikuwa sijawahi ona dunia hii.

Mke wa Mjomba alinambia hata kama wa watu wana njaa kiasi gani kama sijamaliza usafi nisipike kitu chochoteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ till to day sijawahi kutana na mtu msafi kama mama success😁😁
 
Wachaweee Safi Sana [emoji38]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…