Sipendi mwanamke mchafu kabisa

Alisikika mlevi mmoja akisema :
Mtu msafi saaaana Huwa ni mchafu kuliko kawaida.. Yuko radhi akojolee kwenye kikombe kisa tu kasugua sinki asilichafue Kwa sababu tu anataka kukojoa... Chunguzeni
 
Mlioenda tofauti na mtoa mada wote nimewapa like. But nimkumbushe mtoa mada kuwa msafi sana ni mojawapo ya magonjwa ya akili na haipo kwenye lundi kundi la personalities
[emoji23][emoji23] psychopath
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu sidhani kama kuna mtu anapenda mke mchafu
 
Dhubutu [emoji777]

Thubutu[emoji3581]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kinachonifanya nifue kila siku asubuhi ni kwasababu sipendi kazi ya kufua hivyo nikizirundika nitaumwa kwa mawazo ya kufua. Nikizidisha ni siku mbili.
Shuka nalalia wiki nzima maana nalilalia mwenyewe. Nguo pekee ninazoweza rudia ni jeans na koti.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapa mwezi sijafua nakazi ya kurudia rudia nguo tu.... Nikiona inatishatisha naweka kwenye kitenga cha nguo chafu.... Maswala ya kujipa shida siwezi mimi
Mwezi ? Kah! [emoji3][emoji3] We Mtoa Mada Ndie Anaekufaa.
 
Makofi!!! umpate na uyo mnyonge kiasi icho..yaan mm ulinislap hata mara moja tuu basi atakaeamulia apo ni Mungu tuu tena aniongekeshe live vinginevyo utabuni mbinu mpya ya kuomba msamaha nikuelewe...ata ivi niko decent so sitegemei kumuudhi bae wangu kias cha kutaka kunipiga.....Hongerah kua mmoja kati ya wanaume wachache wasafi.
 
Mashoga huwa ni wasafi sana nikiona nwanaume anakuwa msafi kupitiliza najua ni chakula
 
Eti wametiana usiku halafu siku inayofuata hakufua mashuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Thubutuuuuu, atakufa kwa sumu ya taratibu..... Sikuhizi hatunyanyasani
 
Reactions: BAK
Sema usafi sawa ila kuna sehemu umezingu,

Jeans unavaaje siku moja unafua?

Kuna mavazi ya kuvaa siku moja na kufua sawa

Kama nguo za ndani (boxer + vest)

Sema wengine tupate wanawake wasafi la sivyo itakuwa gharika
 
Mi mwenyewe sipendi mwanaume mchafu kabisa

Napenda smart, ambaye usafi kwake ni kitu cha kwanza, nguo safi zimepasiwa, kiatu safi kimepigwa kiwi, kama raba safi rangi ionekane sio unavaa raba haijulikani rangi [emoji849]

Ndani kwake kusafi, kila kitu kimepangwa sehemu yake, sio nguo zinazagaa masoksi kule, jeans kwny uvungu wa kitanda, sufuria halijaoshwa wiki [emoji849],sio geto lina harufu kumi kidogo ukitoka hapo mafua wiki nzima! Nope.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…