Sipendi mwanamke mchafu kabisa

Wanawake wachafu kama nyie weka mbali na watoto
 
Anyway nguo za ndani moja unavaa kwa muda gani kwa siku na unafua baada ya kuvaa siku ngapi?
 
Haya maelezo yanaonyesha We ni mchafu sana!
 
Nguo ya kitenge ufue kila unapovaa mbona utaichukia ndani ya muda mfupi sana, watakuja wadada hapa watakuambia wanafua mashuka kila baada ya siku mbili. Mtu naoga nalala nikiwa msafi nilalie shuka siku mbili inahu
Kufua shuka baada ya siku mbili uwiii icho kibarua kilinishindaga kabisa
 
Wewe ni jinsia gani
 
Naomba kazi ya udobi tafazali[emoji3]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…